Total Pageviews

Friday, January 20, 2012

MZIGO MPYA UMEINGIA : DAWA SAFI SANA ZA ASILI ZINAZO TIBU MARADHI MBALIMBALI.

1.  SHABAB

Ni  dawa  ya  asili  ambayo  hutibu kwa  haraka  na kwa  uhakika  maradhi  yafuatayo :
1. Maleria  Sugu
2. Ngiri  aina  zote
3. Mingurumo  ya  tumbo.
4. Taifodi.
5. Maumivu chini  ya  kitovu.
6. Choo  kigumu.
7. Uuume  kurudi ndani.
8. Kusafisha  mkojo  wa  njano  unaouma.
9. Kuchoka upesi  katika  tendo  la  ndoa.

2.  ROJO

Hii  ni  dawa  ya  asili  inayotibu  magonjwa  yafuatayo :

1. Maumivu  yote  ya  viungo.
2.  Ganzi, miwako  ya  moto.
3.Chembe ,kiuno, mgongo.
4. Kichwa, misuli, magoti

Dawa  hii  inafanya  kazi  kwa  haraka  sana.


3. JINOBO  :

Ni  dawa  ya  asili  ambayo  huondoa  hutibu  maradhi yafuatayo :

1.  Jino  kuuma.
2. Fizi  kuvimba.
3. Harufu  mbaya  mdomoni.
4. Meno  kutoa  damu.
5.  Kuzuia  meno  kuwa  na  tundu

4.  FARAJA
Hii ni  dawa  ya  asili  ambayo  hutibu matatizo  yafuatayo :

1.  Sukari
2. Pressure


5.  FANGASIDA
Ni  dawa  ya asili  ambayo  hutibu kwa  haraka sana magonjwa  yote ya  ngozi   ( Fangasi  ya  ngozi  na  damu )...Dawa  hii  humaliza  matatizo hayo  kabisa  na  kuirejesha  ngozi  katika  hali  yake  ya  kawaida.

6. CHURURURU
Ni dawa  ya  asili  ambayo  huondoa  haraka  maradhi ya   mtoto kukojoa  kitandani na mkubwa  pia.

7. MCHOKONOA
Ni  mzizi wa  asili  ambao hutumika  kwa  njia  ya  kutafuna  kama  muwa, maji  kumeza  na  makapi  kutema. Dawa hii  hutibu  magonjwa  yafuatayo :

1. Gesi   2.  Choo  kigumu   3. Kuchelewa  kupata  choo  4.  Kutosikia njaa (  Kukosa hamu  ya  chakula  )  5. Kustarehe  ndoa kwa  muda mrefu  mpaka  kutoshana  (  kwa  wanawake  na  wanaume )

Friday, January 13, 2012

SLIMMING JUICY YA KUKATA KITAMBI.SLIMMING  JUICY   YA  KUKATA  TUMBO (  KITAMBI  ).

Wapendwa  wateja  wetu, tunapenda  kuwaatarifu  kuwa     tumewaletea dawa  nyingine  safi  ya  kukata  tumbo  (  kitambi )..Kama  kawaida  yetu  dawa  zetu zote   ni  za  asili  na  hazina  madhara  yoyote  kwa  mtumiaji  .Maelezo  zaidi  kuhusu  dawa  hii  yapo  kama  yanavyo  someka  hapo  chini.KARIBUNI  SANA.
NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC
 ni  wauzaji  wa  dawa
 safi  za  asili  za  kutibu  magonjwa  mbalimbali. Tunapenda
kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  sasa    tunayo  dawa  nyingine  safi
 sana  ya  kutibu  tatizo  la  kitambi.  Ni  dawa  ya  asili (  iko
processed ), ipo  katika  liquid  form, ina ladha  nzuri   na  inakata
 tumbo (  kitambi  )  ndani  ya  siku  thelathini. Ipo  katika  ujazo
mkubwa, unaweza kuendelea  kuitumia  hata  mara  baada  ya  muda  wa
dozi  kuisha, pia  dawa  hii   haina  effect  ya kukufanya  uende
chooni  mara  kwa  mara. Imewasaidia  watu  wengi  na  imetjibitishwa
kwa  matumizi  ya  binadamu.
Ewe  kaka, ewe  dada, usiendelee  kuadhirika  na  huo  ugonjwa  wa
kitambi  unao  kusumbua, wakati  tiba   yake  ipo. Wasiliana  nasi
kwa  simu

0767010756 AU 0753644583 AU 0657743183 AU 0682862744  . Kwa  maelezo
  au  fika  katika  ofisi  zetu
zilizopo  katika  eneo  la  Changanyikeni  karibu  na  Chuo  Cha
Takwimu.
KARIBUNI  SANA.