Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ( LACK OF LIBIDO ) pamoja na tatizo la kutofika kileleni. Inasadikiwa kuwa, katika kila wanawake kumi, angalau wanne kati yao wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa na kutofika kileleni wakati wa tendo. SABABU ZA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA . Sababu zinazo changia tatizo hili zimegawanyika katika makundi makuu mawili : ( A ) Sababu za Kisaikolojia { Psychological ) na ( B ) Sababu za Kimwili { Physical } A. SABABU ZA KIMWILI " PHYSICAL" 1. Anaemia ( ugonjwa huu ni very common kwa wanawake kwa sababu ya kupoteza madini ya chuma wakati wa hedhi ) 2. Ulevi Kupita kiasi ( Alcoholism ) 3. Utumiaji wa Dawa Za Kulevya ( Kama Vile bangi n.k ) 4. Magonjwa makubwa kama vile kisukari. ( Sababu zipo nyi