Muigizaji Desmond ELLIOT akiwa mke wake na watoto wake. Hakuna jambo zuri kwa mwanaume kama kuwa baba Utasa ni changamoto inayo wakabili watu wengi hapa Tanzania na duniani kwa ujumla. Zipo tiba mbalimbali za asili ambazo zinatibu tatizo la utasa. Miongoni mwa tiba hizo ni pamoja na hii ifuatayo ; MAHITAJI : i. Unga wa Habbat Sawdah. ii. Unga wa Uwatu iii. Mbegu Ya Figili. iv. Asali v. Maziwa Ya Ngamia. Atachukua unga wa Habbat-Sawdaa, unga wa uwatu na mbegu ya figili kwa vipimo sawa, atakula kijiko kimoja asubuhi na jioni ilihali imekorogwa katika nusu kikombe cha asali, baadae MATAYARISHO i. Chukua vijiko viwili vya vya chai vya unga wa Habbat Sawdah ii. Changanya na kijiko kimoja kikubwa cha chakula cha unga wa uwatu iii. Ongeza kijiko kimoja cha chai cha