Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2015

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI

Kitambi   ni   ile   hali   ya   tumbo   kuwa kubwa   na   kuchomoza   kwa   mbele   na   wakati mwingine   kufikia   hatua   ya   kunin’ginia. JINSI   KITAMBI   KINAVYO   PATIKANA Kwa   mujibu   wa   tafiti   mbalimbali   za   kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati   ya bilioni 50   hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika   sehemu   mbalimbali   za   mwili wa binadamu.   Kwa wanawake   seli hizo   zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye   nyonga, kiunoni na kwenye makalio. Kwa upande   wa   wanaume seli   hizo zinapatikana   sana kwenye kifua, tumboni na kwenye makalio pia. Mafuta ya tumbo yanayofanya kitambi hukusanywa kwa njia kuu mbili: i.                     Njia   ya kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu zilizo chini ya ngozi ii.                   Na   njia   ya pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k SABABU ZA KUPATA KITAMBI Sababu kubwa ya kitambi ni kukosekana ulingano wa nguvu(kalori) katika   mwili   w