Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2015

Mwanamuziki K.Michele afanya operation kupunguza ukubwa wa makalio

K. Michelle gets butt reduction ...shares photos of her new size Singer K. Michelle said she was going to reduce her butt implant because it was taking attention away from her and her talent, and she's started the process. She's had her first booty reduction surgical procedure and reportedly removed a gallon of fat from her butt. She will remove more. She shared photos of the size of her new butt. Read what she wrote and more photos after the cut...

APOPO : Shirika linalofunza panya kunusa na kutafuta mabomu ya kutegwa ardhinika

Shirika linalofunza panya kunusa na kutafuta mabomu ya kutegwa ardhini limetuma picha hizi za panya wakiwa wamevaa kofia za 'Father Christmas' kusherekea Krismasi. Panya hawa wanapewa mafunzo na shirika la Apopo mkoani Morogoro nchini Tanzania, na hutumika kusaka mabomu ya kutegwa  ardhini nchini Angola na Msumbiji.

Pics: See the luxury resort where Obama will spend his Christmas vacation

The Hale Reena in Kailua, Hawaii, dubbed the other White House is the vacation home of Obama and his family in what will be their eighth consecutive Christmas vacation to Hawaii and at $3500-a-night, it doesn't come cheap. Amenities include a spa, pool, steam room and excellent out door facilities. See more photos after the cut... President Obama will be paying the rent out of his pocket but other expenses such as security and the daily expenses of his security detail will be picked up by the taxpayer. The first family first stayed at the Hale Reena in 2011 when their usual first choice, The Plantation Estate wasn't available, that can cost between $5000-$10000 a night depending on the season. Posted by  Linda Ikeji   at  9:13 AM  

KILIMO BORA CHA MDALASINI - CINNAMON

. Mti wa mita 10 au zaidi. Hutoa machipukizi na kuota miti zaidi ya mmoja kwenye shina moja na kuongeza mavuno mengi, haya mashina mapya yasing'olewe bali yaachwe yakue na kuwa mti mkubwa AINA Mchanganyiko; za kienyeji (ndogo) na za kigeni ( kubwa) HALI YA HEWA NA UDONGO · Mvua nyingi za kutosha 2000mm -2500mm kwa mwaka · Udongo wenye rutuba · Joto kwa wingi · Hewa yenye unyevunyevu KUSIA MBEGU KWENYE VITALU · Mbegu hupatikana kwenye miti iliyokomaa · Sia mbegu kwenye kitalu zikiwa nusu sentimeta chini ya udongo · Baada ya kuchipua, mbegu huchukua miezi 6 hadi mwaka mmoja kufikia umri wa kupandikiza shambani · Panda miche wakati wa masika · Panda kwa nafasi ya 2m x2m. Nafasi hizi huwezesha miti kutoa machipukizi mengi. Nafasi kubwa hufanya miti kuwa na matawi mengi pia mashina hayanenepi wala kurefuka UTUNZAJI · Acha machipukizi kwenye shina · Toa matawi kwenye mashina ili kunenepesha mashina · Weka shamba katika hali ya safi · Zuia magonjwa ka

FAIDA ZA KIAFYA ZA MAFUTA YA NYONYO

Habari yako msomaji, Natumaini uko vema, unaendelea na kusaka mahela hapa duniani lakini usimsahau MUNGU katika kusaka na kutumia mahela. Leo tuyakumbuke haya mafuta mazuri mno, ya nyonyo. Wengi tunaoyafahamu haya mafuta tunayajua kwa kazi yake kwenye kutatua tatizo la kutopata choo; yanafanya kazi vizuri tu nyanja hiyo. Mafuta ya Nyonyo katika Kukuza Nywele Mafuta ya nyonyo yanakuza nywele haraka, ukiyapasha joto kidogo kabla ya kupaka, kisha unapaka kwenye ngozi ya kichwa na kuyatawanya vizuri katika ngozi taratibu kama una massage kichwa chako pia bila kupasha kule kumassage kunayongezea joto linayoyapa uwezo wa kupenya vizuri. Unapopaka na kutawanya vizuri unasaidia kuongeza mzunguko wa damu kichwani hivyo virutubisho vinavyoletwa na damu kukuza nywele zako vinafika kwa utoshelevu.  Mafuta haya yana virutubisho mbali mbali ikiwemo Omega 6 fatty acids ambazo huongeza virutubisho vinavyoleta afya katika nywele zako. Iwapo unataka utumie kama conditioner basi

NINI TIBA ASILIA YA MWILI KUWAKA MOTO?

Habari  za  leo, ninaitwa  Beka, naishi  Ukonga, Dar  Es  Salaam, ninasumbuliwa  na  tatizo  la  mwili  kuwaka  moto. Ninaomba  kujua  nifanye  nini  ili  niondokane  na  tatizo  hili. =================================================== Ndugu  Beka, zipo tiba  mbalimbali za  asili, zinazo weza  kusaidia  kutibu  tatizo  la  mwili kuwaka moto. Kati  ya  tiba  hizo, ifuatayo  ni miongoni  mwa  tiba  asilia  za  tatizo  la  mwili  kuwaka  moto  ambazo zimeonekana  kuwa  na  mafanikio  makubwa  zaidi. MAHITAJI : i.   Mafuta  ya  nyonyo  (Castor  Oil ) ii. Mafuta  ya  mzeituni. MATAYARISHO : Changanya  mafuta ya  nyonyo  robo  lita  na  mafuta  ya  mzeituni  robo  lita, kisha  koroga   hadi  mchanganyiko  wako  uchanganyikane, halafu  hifadhi  kwenye  chupa  ama  kopo  safi. MATUMIZI :  Tumia  kujichua  mara  tatu  kwa  siku, asubuhi  mchana  na  jioni. Utaendelea  kujichua  hadi  tatizo  litakapo  isha. Kama  tatizo  lako  litaendelea  kuwepo  bila  kupata  nafuu  yoyo