Ufuta Vidonda vya tumbo ni tatizo linalo watesa, mamilioni ya watu duniani. Hata hivyo, kama wewe ni mhanga wa tatizo la vidonda vya tumbo, unaweza kupona tatizo lako kwa kutumia lishe ( Tiba-Lishe ) Asilia. Asali Tiba lishe asilia ya kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la vidonda vya tumbo, inaandaliwa kama ifuatavyo : MAHITAJI. i. Maziwa fresh nusu lita. ii. Mayai manne ya kuku wa kienyeji iii. Asali mbichi ya nyuki wadogo nusu lita. ( Igawanye katika robo lita ) iv. Kijiko kimoja kikubwa cha unga wa makaratusi v. Kijiko kimoja kikubwa cha unga wa Habat Sodah. vi. Ufuta robo kilo vii. Dawa asilia ya Mkatavido. MATAYARISHO : A. Chukua maziwa fresh kiasi cha nusu lita na uyachemshe, kisha yaipue halafu yaache hadi yapoe. Yakisha poa, tia ndani yake viini