Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2016

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia hatua  ya  kunin’ginia. JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANA Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati  ya bilioni 50  hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika  sehemu mbalimbali  za  mwili wa binadamu.  Kwa wanawake  seli hizo  zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye  nyonga, kiunoni na kwenye makalio. Kwa upande  wa  wanaume seli  hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye makalio pia. Mafuta ya tumbo yanayofanya kitambi hukusanywa kwa njia kuu mbili: i.                      Njia  ya kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu zilizo chini ya ngozi ii.                    Na  njia  ya pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k SABABU ZA KUPATA KITAMBI Sababu kubwa ya kitambi ni kukos

JIKO , DAWA YA ASILI YENYE NGUVU ZA AJABU! KILA MWANAUME ANAE ITUMIA, ANAPONA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME. IMETHIBITISHWA NA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YA TANZANIA

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na   hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa   STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA   YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KW