Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2017

MARIAH CAREY AONYWA KUHUSU UZITO WAKE

Baadhi  ya  madaktari  nchini Marekani, wamemuonya  mwanamuziki  Mariah  Carey  kuwa  endapo  hatofanya  jitihada  za  kupunguza  uzito  wake, basi  atakuwa  katika  hatari  kubwa  ya  kupatwa  na shambulio  la  moyo. ( Heart Attack )   Onyo  hili  limekuja  baada  ya  mwimbaji huyo  nguli  kuripotiwa  kuwa  na  uzito wa  Pounds  263   ambazo ni  sawa  sawa  na  Kilogram 119  point  295 Kwa  mujibu  wa  mtandao  mmoja  wa  habari  nchini Marekani, uzito  wa  Mariah  Carey  umesababishwa  na  ulaji  mbaya  wa  vyakula. Iliripotiwa  pia, kwenye  tamasha  la  Caesars  Palace, Mariah  Carey alilazimika  kubebwa  kila  alipokuwa  akitaka  kupanda  au  kushuka  stejini  na  kama  hiyo  haitoshi  alipumzika  kwa  muda  mrefu  kuliko  kawaida  wakati  anajiandaa  kuimba  wimbo  wake  namba  19. SOURCE : MITANDAO  MBALIMBALI  YA  HABARI NCHINI  MAREKANI.

PUNYETO ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA

·          PUNYETO     ILISABABISHA     NINUSURIKE     KWENDA   JELA ·         Mimi ni kijana  mwenye  umri  wa  miaka  32 ·        Tabia ya  kujichua  ilisababisha  nisurike  kwenda  jela. ·        Ni  hivi, nilianza  kujihusisha  na tabia  ya kujichua mwaka  2004  nikiwa  na umri  wa  miaka  19. ·        Tofauti  na  vijana  wenzangu, mimi  niliingia  kwenye  tabia  ya  kujichua  sio  kwa  sababu  ya  kukosa  msichana, la  hasha  ila  kwa  sababu, nilikuwa  naogopa  sana  ukimwi ·        Niliamini  kujichua  ndio  njia  pekee  na  ya  uhakika  ambayo  ingeniepusha  na hatari  ya  kupata  maambukizi  ya  virusi ·        Kabla  ya  kuanza  kujichua  tayari  nilikuwa katika  mahusiano  ya kimapenzi  na  wasichana  kadhaa. ·        Baada  ya  kujaribu  kujichua, nikawa  addicted. ·        Kujichua  ikawa  ndio  mchezo wangu wa  kila  siku . ·        Ilifikia  kipindi  nikawa  najichua  asubuhi  mara  tatu na  usiku najichua  pia. ·