Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2017

JINSI TANGAWIZI, MANJANO NA TUI LA NAZI VINAVYO SAIDIA KUREKEBISHA KIWANGO CHA SUKARI MWILINI PAMOJA NA KUONDOA SUMU MWILINI

Tui   la   nazi, mafuta   ya   nazi,   tangawizi , pilipili   na   binzari   ya   unga au   manjano   vinapo changanywa   kwa   pamoja   huwa   na   faida   kubwa   sana   kwenye   afya   ya   mwanadamu. Mchanganyiko   huu   pamoja   na faida   nyingine, husaidia   kurekebisha   kiwango   cha   sukari kwenye   damu, kuondoa   sumu kwenye   ini na     mwilini   kwa ujumla   pamoja   na   kuondoa   lehemu   isiyo faa. MAHITAJI : 1.     Kijiko kidogo   cha   unga   wa   manjano 2.     Tangawizi   kipande   kimoja 3.     Vikombe   vikubwa   viwili   vya   tui   la   nazi 4.     Kijiko   kimoja   kikubwa   cha   mafuta   ya   nazi 5.     Kipande   kimoja   cha   pilipili   au   kama   utatumia   pilipili   manga, weka   punje   saba   za   pilipili   manga. 6.     Kijiko   kikubwa   cha   asali 7.     Mdalasini   nusu   kijiko   kidogo MATAYARISHO Weka   mchanganyiko   wako   kwenye   sufuria   kisha   chemsha   huku   ukiwa   unakoroga   kwa   muda   wa   da

MUONEKANO WA MWANAMUZIKI MAARUFU BILA MAKE UP!

Ni mama  wa  watoto  wawili  mwenye  umri  wa  miaka  36  aliye  sumbua  sana  mwanzoni  mwa  miaka  ya  2000.     Picha  za  muonekano  wake  bila  make  up  zimewafanya  watu  washindwe  kumtambua  haraka.  Baadhi  ya  wachangiaji    wa   maoni   kwenye   picha   hiyo   wamekuwa   na   maoni   kwamba,  mwanamuziki  huyu     anao onekana   mkubwa   kwa   miaka   kumi zaidi    kuliko   umri   wake.   Yaani  kwa  lugha  nyingine anaonekana  akiwa  na  umri  wa  miaka  46  wakati  yeye  ana  umri  wa  miaka  36. Anaitwa  Britney  Spears  na  hii  hapa  chini  ndio  picha  yake  akiwa  amefanya  make  up MWANAMKE  ANAWEZA  KUTUMIA  NJIA  GANI   ILI KUONDOA  MUONEKANO  WA  UZEE? Zipo  njia  nyingi  ambazo  mwanamke  anaweza  kuzitumia  kwa  ajili  ya  kunawirisha  sura  na  muonekano  wake  wa  ngozi  na  kufanya  aonekane  mbichi.  Moja  kati  ya  njia  hizo  ni  pamoja  na  ile  ya  kutumia  maziwa , asali , maji  ya  mchele    ambavyo  vinaandaliwa 

Picha Ya Kupendeza : Mama, Mtoto, Mjukuu na Kitukuu

JINSI YA KUREFUSHA KUCHA NA KUZIFANYA KUWA NGUMU KWA NJIA ZA ASILI

Baadhi  ya  wanawake  hupenda  kuwa  na  kucha  ndefu  na nguma  lakini  hawajui  wafanye  nini.   Unaweza  kurefusha  kucha  zako na  kuzifanya  kuwa  ngumu   kwa     njia  za  asili  kwa  kufuata  maelekezo  yafuatayo :     Njia  ya  kwanza  :  Chukua  maji  ya  vuguvugu  kiasi  cha  nusu  lita, halafu  ndani  yake  tia  asali  vijiko  vikubwa  viwili  na  na  ndimu  mbili  kisha loweka  mikono  yako  humo  kwa  dakika  tano  hadi  kumi. Hivyo  mara  moja  kila  siku  kwa  muda  wa  siku  thelathini  na  utapata  matokeo  mazuri  sana. Njia  nyingine  unachukua  mishumaa  unaiwasha  halafu  yale  maji  ya  mshumaa unayatumia  kuccha  zako  halafu  baada  ya  hapo  unapaka  hina.  Fanya  hivyo  mara  mbili  kwa  wiki  kwa  muda  wa  mwezi  mmoja  hadi  miezi  mitatu. Utapata  matokeo  mazuri  sana.                                                           MAKALA  NYINGINEZO JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME http://ne