Skip to main content

MAJANI YA MPERA NA TIBA DHIDI YA KUNYONYOKA NYWELE


Image result for BOILING GUAVA  LEAVES  IMAGES

Tafiti  mbalimbali  zap  kitaalamu  zimeuthibitisha  mti  wa  mpera  kuwa  na  faida  nyingi  kiafya. Moja  kati  ya  faida  lukuki  za  mmea  wa  mpera  ni  pamoja  na  majani  ya  mpera  kutumika  katika  tiba  dhidi  ya  tatizo  la  kunyonyoka  kwa  nywele.

Image result for BOILING GUAVA  LEAVES  IMAGES

Majani  ya  mpera yana tajwa  kuwa  na  virutubisho  muhimu  katika  kuimarisha  afya  ya  nywele  pamoja  na  ukuaji  wa  nywele.
Image result for BOILING GUAVA  LEAVES  IMAGES

JINSI  YA  KUTUMIA  MAJANI  YA  MPERA   KATIKA  KUKUZA  NYWELE   NA  KUTIBU  TATIZO  LA  KUNYONYOKA  KWA  NYWELE
Chukua  majani  ya  mti  wa  mpera , chemsha  kwenye  maji kwa  muda  wa  dakika  ishirini, kisha  ipua  halafu  tumia  majani  hayo  uliyo  yachemsha  pamoja  na  kimiminika  chake  kujikanda  kichwani  na  kusugua  sehemu  yenye  upara  au  yenye  nywele  zilizo  nyonyoka.  Fanya  hivyo  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni  hadi  utakapo  pata  matokeo  yatakayo kuridhisha.

Ndugu msomaji  mwenye  tatizo  la  kunyonyoka  nywele  au  mwenye  nywele zisizo  na  afya, una  ngoja  nini  kujaribu  tiba  hii? JARIBU  LEO  UONE  MATOKE  YAKE.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA