Majibu kuhusu swali hili ambalo limekuwa likiulizwa na watu wengi sana yatakujia hivi karibuni kupitia hapahapa NEEMA HERBALIST BLOG, ila habari njema kwako wewe mwanamke unae sumbuliwa na tatizo la uzazi ni kwamba ile dawa yetu ya uzazi sasa huu ndio msimu wake, inapatikana kwa uchache. Kama mnakumbuka kwenye makala yetu kuhusu tatizo la uzazi iliyo toka mapema mwaka 2019 tulisema kwamba mti wa dawa hii ya uzazi huvunwa kila baada ya miaka mitano. Toka mwaka 2019 hadi 2024 ni miaka mitano sasa imefika, kwa hiyo tumeanza tena kutoa huduma maalumu ya tatizo la uzazi kwa wanawake wachache wenye tatizo la uzazi ambao watajaaliwa kupata tiba hii mapema. Ninasema hivyo kwa sababu kiwango cha dawa iliyopo ni kidogo ikilinganishwa na uhitaji wa watu. Kwa wewe muhitaji wa dawa hii ya uzazi, wasiliana nasi mapema kupitia namba zetu za simu: 0766 53 83 84 AU 0693 005 189.
JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE MAALUMU KWA AJILI YA KUTIBU NA KUPONYESHA KAB ISA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
MAHITAJI: 1. Uji Dume 2. Dawa asili ya Jiko Uji Dume ni nini ? Uji Dume ni uji maalumu unao tumika pamoja na dawa asilia iitwayo Jiko. Dawa asilia iitwayo jiko kama mjuavyo watu wengi, ni dawa ya asili ambayo ina tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. Uji Dume unatengenezwa kwa mchanganyiko wa nafaka za aina saba pamoja na ya aina tatu. Vyote kwa pamoja husagwa kupata unga ambao ndio hutumika kupikia uji huu ambao hutumika pamoja na dawa asilia ya jiko katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la uksoefu wa nguvu za kiume. MAANDALIZI...