Chiwa Seeds zinatajwa kuwa na umuhimu mkubwa sana katika afya ya mwanadamu. Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaeleza kuwa Chiwa ni mmea wenye faida nyingi sana katika afya ya mwanadamu. Baadhi ya faida za Chiwa Seeds ni pamoja na : 1. Husaidia kuimarisha afya ya moyo 2. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu 3. Husaidia kuupa mwili nguvu 4. Husaidia kuimarisha mifupa 5. Husaidia kulainisha ngozi na kupunguza dalili za uzee 6. Husaidia kuimarisha mfumo wa mmen’genyo wa chakula 7. Husaidia kuzuia utengenezaji wa seli za saratani ya matiti na saratani ya shingo ya kizazi Zao hili kwa sasa linalimwa nchini Tanzania kama inavyo onekana pichani juu zao la Chiwa likiwa katika hatua mbalimbali. Photo Credit to Serious Peasant