Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2019

KWANINI BAADHI YA WATU WANA UZITO MDOGO KUPITA KIASI ? ( Kukonda na kudhoofu mwili )

Kuna   idadi   kubwa   ya   watu   ambao wana   kabiliwa   na   tatizo   la kuwa   na   uzito   mdogo kupita   kiasi.   Kwa   mujibu   wa    tafiti   mbalimbali   za   kitaalamu, kuwa   na   uzito   mdogo   kupita   kiasi   ni   jambo   linalo weza   kuhatarisha   afya   ya   mhusika. Kama   ilivyo   kwa   suala   la   kuwa   na   uzito   mkubwa   kupita   kiasi,   suala   la   kuwa   na   uzito   mdogo   kupita   kiasi   pia   lina   madhara   mengi   katika   afya   ya   binadamu. MADHARA    YA KUWA   NA   UZITO   MDOGO   KUPITA   KIASI   (   KUKONDA   NA   KUDHOOFU   MWILI ) Kwa   mujibu   wa   tafiti   mbalimbali   za   kitaalamu, yafuatayo   ni   madhara   ya   kiafya   yanayo   weza   kumpata   mtu   mwenye   tatizo   la   uzito   mdogo   kupita   kiasi. 1.     Kupungua   na   kudhoofika   kwa   kinga   ya   mwili 2.     Kuwa   katika hatari   ya   kushambuliwa   na   magonjwa   ya   mifupa   kwa   sababu   mwili hushindwa   kupokea   na   ku