Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2016

JINSI YA KUTENGENEZA TIBA-LISHE YA KUTIBU NA KUPONYESHA KABISA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO.

Ufuta Vidonda  vya  tumbo  ni  tatizo  linalo  watesa,  mamilioni  ya  watu  duniani.  Hata  hivyo, kama  wewe  ni  mhanga  wa  tatizo  la  vidonda  vya  tumbo, unaweza  kupona  tatizo  lako  kwa  kutumia   lishe  ( Tiba-Lishe )  Asilia. Asali Tiba lishe  asilia  ya  kutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  vidonda  vya  tumbo, inaandaliwa  kama  ifuatavyo : MAHITAJI. i.                   Maziwa  fresh   nusu   lita. ii.               Mayai  manne  ya  kuku  wa  kienyeji iii.            Asali mbichi  ya  nyuki  wadogo  nusu  lita. ( Igawanye  katika  robo lita ) iv.             Kijiko  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  makaratusi v.                Kijiko  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  Habat   Sodah. vi.             Ufuta  robo  kilo vii.         Dawa  asilia  ya  Mkatavido. MATAYARISHO : A. Chukua  maziwa  fresh  kiasi  cha  nusu  lita  na  uyachemshe, kisha  yaipue  halafu  yaache  hadi  yapoe.  Yakisha  poa, tia  ndani  yake  viini 

JINSI DAWA ASILIA YA MVUNGE INAVYO TUMIKA KATIKA KUNENEPESHA NA KUONGEZA UKUBWA WA MWILI.

Mti  wa  mvunge  ni  mti  ulio  thibitishwa  kisayansi, kuwa  na  uwezo   mkubwa  wa  kusaidia  kunenepesha  na  kuongeza  ukubwa  wa  mwili.  http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1675676/-/11rp5fp/-/index.html Mti  wa mvunge  ni  mti  wenye faida  na  matumizi  mengi.  Karibu  kila  sehemu  ya  mti  huu  ina  faida  kwa   mwanadamu.   Tunda  la  mvunge  husaidia  kunenepesha  mwili  na  kuongeza  ukubwa  wa  mwili. Pia  husaidia  kunenepesha  pamoja  na  kuongeza  nguvu  ya  mwili  kwa  watu  walio  dhoofika  kutokana na  sababu  mbalimbali  kama  vile  kuugua  maradhi  tofauti  tofauti  pamoja  na  msongo  wa  mawazo. JINSI  YA  KUTUMIA  MTI  WA  MVUNGE  KATIKA  KUNENEPESHA   MWILI. Ili uweze  kunenepesha  mwili  wako  kwa  kutumia  tiba  ya  mti  wa  mvunge, unatakiwa  kufanya  kama  ifuatavyo : 1.    MAHITAJI : i.                   Unga  wa   mti  wa  mvunge  vijiko  vidogo  vitatu. ii.               Maji  lita  moja. 2.    MATAYARISHO

ZIJUE HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME.

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu. Dalili   kuu   za   ukosefu   & upungufu   wa   nguvu   za   kiume   ni   kufika   kileleni   haraka   na kushindwa   kurudia   tendo   zaidi ya   mara moja. HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu