Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2017

JINSI MBUZI ANAVYO TUMIKA KATIKA TIBA DHIDI YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.

Mbuzi  wa  maziwa. Maziwa  ya  mbuzi  yana  faida  nyingi  sana  katika  afya  ya  mwanadamu kwa  ujumla. Maji  kati ya  kazi  za  maziwa  ya  mbuzi  ni  pamoja  na kutumika  kama  lishe  maalumu kwa  wanaume  wenye  tatizo la  ukosefu na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume. Wanyama  na  ndege  au bidhaa ama  vitu  vitukanavyo nao  huweza  kutumika  katika  tiba dhidi  ya magonjwa  na  matatizo  mbalimbali  ya  kifaa.  Mbuzi  Dume  aliye  komaa.  Nyama, korodani  na  dhakari  zinazo  faa  kutumika  kama  lishe  maalumnu  kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  ukosefu na  upungufu  za  kiume vinatakiwa  kutokana  na  mbuzi  beberu  aliye  komaa  kama  huyu. Mfano  nyama  ya bata  iliyo chemshwa  bila  kutiwa  chumvi  hutumika  katika  tiba  ya  kuongeza  sperm count   huku  mayai  ya  kuku wa  kienyeji  yakitumika  katika  tiba  dhidi ya  vidonda  vya  tumbo. Katika   makala  ya  leo  tutatazama  namna  mnyama mbuzi  anavyo  tumika  katika  tiba  asilia  ya  tatizo  la  ukos

WANAUME WALIO KATIKA KUNDI HILI, HAWAWEZI KUFANYA PUNYETO.SOMA HADI MWISHO UJUE SABABU NI NINI ?

Pamoja  na  kwamba, asilimia  kubwa  ya  wanaume, hudhaniwa  ama  kuchukuliwa  kuwa  wamewahi  kufanya punyeto   wakati  fulani  katika  historia  ya  maisha  yao, lakini  lipo  kundi  la  wanaume  ambao  hawawezi  kufanya  kabisa  punyeto. Kwa  mujibu  wa  uzoefu   wetu, wanaume  walio  katika  kundi  hili ni  wanaume  marijali. Wanaume   marijali , hawawezi  kufanya  punyeto  sio  kwa   sababu  hawajui  jinsi  punyeto  inavyo fanyika, laah!    Wala  si  kwa  sababu  labda wana  uwezo   mkubwa  wa  kujizuia  kufanya  punyeto , Hapana..     Mwanaume  rijali  hawezi kufanya  punyeto  kwa  sababu  ambazo  zipo  nje  ya  uwezo  wake.. Sababu  ambazo  hawezi  ku zi  control  kwa  namna  yoyote  ile hata  kama  yeye  mwenyewe  anatamani  kufanya  punyeto Ni   nini  Sababu zipi  hizo ? Kabla sijaeleza sababu  zinazo  wazuia  wanaume  marijali  kushindwa  kufanya  punyeto  kabisa, ni  vema  na  haki, nikitoa definition  ya  mwanaume  rijali. Mwanaume  Rijali  ni 

AINA KUU MBILI ZA MAUMBILE MADOGO YA KIUME

AINA   KUU   MBILI  ZA  MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME Maumbile  madogo  ya  kiume  yamegawanyika  katika  makundi  makuu  mawili: 1.    Maumbile  Madogo  ya  kiume  kwa  kuzaliwa ( Kurithi ) 2.    Maumbile  Madogo  ya  kiume  yatokanayo  na  kufanya  punyeto kwa muda  mrefu. MAUMBILE   MADOGO   YA  KIUME  KWA  KUZALIWA (  Kurithi  ) Tafiti  za  kitaalamu  zinaeleza  kuwa, kama  ilivyo  kwa baadhi  ya  wanaume  wenye  maumbile  makubwa  ya  kiume, baadhi  ya  wanaume  wana  maumbile  madogo  ya  kiume  kwa  sababu  za  kinasaba.  Kwa  lugha  nyingine  ni kwamba, wanaume  hawa  wanakuwa  wamerithi  maumbile  yao  kutoka  kwa  wazazi  au  mababu  zao. Hii  ndio  sababu  kubwa, wanaume  kutoka  kwenye  baadhi  ya  makabila  au  jamii, husifika  kwa  kuwa  na  maumbile  makubwa  ya  kiume  ilihali  wanaume   kutoka  kwenye  baadhi  ya  makabila  na  /au jamii  wakisifika  kuwa  na  maumbile  madogo  ya  kiume. Mfano  mzuri  unatolewa  hapa, ni  kuhusu  wanaume  wa  China