Siku ya
tare 19 /09/2017 kama sijakosea hiyo tare nilileta uzi wa kuomba msaada kwa
anayefahamu tiba ya maumivu ya kidole yanayokuwa yanatokea ghafla tu pasipo
kufahamika chanzo chake.
Wengine wanasema ni mdudu ambapo wengine inawapelekea kupoteza kidole yaani kukatwa kidole . Nilipokea maoni na ushauri tofauti tofauti
Wapo walioniambia nimuone Daktari, wapo walioniambia nisithubutu kwenda Hospitali wakipasua tu basi kuna uwezekano mkubwa wa kukata kidole.
Aliyeniambia nisiende Hospitali alinishauri nitumie mafuta ya taa kuloweka kidole kwa muda dakika 5 ila nililoweka kwa muda wa dakika 10 kutwa mara tatu kwa siku 1
nilifanya hivyo kwa siku moja tu!
Hivi mpaka naandika uzi huu nathubutu kusema nimepona kabisa pia natoa shukrani kwa wote mlionipa ushauri na tiba!!
Ahsante sana JF!!
Najivunia kuwa hapa!
CREDIT
: JAMII FORUMS
MAKALA NYINGINEZO
JINSI KISUKARI KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment