![]() |
| PILIPILI |
Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi wenye umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao, na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto. Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa .
Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u nakadhalika
ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA.
Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanao jihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali na KUUA NGUVU ZA KIUME. Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayo fanya uume usimame. Mwisho wa siku uume hulegea na kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu. Athari za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.
MUNGU HAPENDI PUNYETO : ( MIONGONI MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA ONANISM )
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, upigaji punyeto ni moja kati ya matendo yanayo muudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanapigana na utaratibu aliouweka . Kwenye kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili aweze kumzalia watoto. ( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu wa kiume wa marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake, na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE )Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni. Biblia inasema katika kitabu kile cha Mwanzo 38: 10 "
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "
Umeona! Kumbe basi
adhabu ya kiroho
ya tendo la
masturbation ni “umauti!”. Umauti huo
unaweza usiwe kama
ulio mpata Onan, ila
unaweza kuja katika
sura tofauti. Mfano kufa
kwa nguvu za kiume,
ni adhabu tosha
sana kwa mwanaume
yoyote yule duniani
na inaweza kuwa
kali kuliko hata
ile aliyopewa Onan.
DAWA YA ASILI
NA YA UHAKIKA
YA KUKUFANYA UACHE
KUFANYA PUNYETO.
Uzoefu unaonyesha,
mtu anayepiga punyeto, hata
kama ameathiriwa na
tatizo la punyeto
kwa kiwango gani, endapo
atafanikiwa kutopiga punyeto
kwa muda wa
siku arobaini mfululizo, mtu huyo
hatopiga tena punyeto
katika siku zote
za maisha yake
kwani tayari mtu
huyo atakuwa amerudia
katika hali yake
ya kuto kuwa
addicted tena na
upigaji punyeto, na atalichukia
kabisa hata jina
la tendo hilo
achilia mbali tendo
lenyewe.
UFANYE NINI ILI
USIPIGE PUNYETO KWA
MUDA WA SIKU
AROBAINI MFULULIZO!
Sio rahisi kwa
mtu aliyekuwa addicted
na punyeto kustahimili
kujizuia kupiga punyeto
kwa muda wa
siku arobaini mfululizo. Anaweza kujizuia
kupiga punyeto kwa
siku mbili lakini
baada ya hapo
ataendelea tena na
mchezo wako.
ATUMIE DAWA IPI?
PILIPILI
Pilipili inayo hitajika
hapa ni yoyote
ile ili mradi
iwe kali sana,
( Ila inayo
pendekezwa ni pilipili
mbuzi ama pilipili
kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).
MATUMIZI
Kwanza kabla ya
kujua matumizi ni vyema
ukatambua muda ambao
huwa unapiga punyeto
( Mara nyingi
huwa ni asubuhi
baada ya kuamka,wakati
wa kuoga ama
usiku kabla ya
kulala ).
Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye
viganja vya vidole
vyako na kujipakaza
katika viganja vya
vidole vyako. Unaweza kutumia
pili moja kwa
kila kiganja, na kwa
kila muda ambao
huwa unapiga punyeto
lakini unaruhusiwa
kujipakaza zaidi ya
pilipili moja.
Ukishajipaka
pilipili kwenye viganja
vya vidole vyako, moja
kwa moja unakuwa
umekwisha jilazimisha kutokufanya
punyeto, kwa sababu ukipiga
punyeto kwa viganja
ambavyo vina pilipili
utawashwa sana wala
hautaweza kufurahia tendo
hilo.
JAMBO LA KUZINGATIA
: Hakikisha unakuwa na
walau pilipili mbili mpaka
nne kila unapokuwa
katika maeneo ambayo
yanaweza kukuchochea kufanya
punyeto.
UFANISI WA DAWA HII : Dawa
hii inawafaa wale
tu ambao wamedhamiria
kutoka mioyoni mwao
kuacha kufanya punyeto. Kwa
wale ambao hawajadhamiria haitaweza
kuwasaidia.
MWISHO,TUNAWATAKIA
KILA LA HERI
WATU WOTE WATAKAO
AMUA KUJARIBU KUTUMIA
NJIA HII KUACHANA
NA SUALA LA
UPIGAJI PUNYETO. TUTAFURAHI SANA ENDAPO
MTATUPA FEEDBACK BAADA
YA HIZO SIKU
AROBAINI TANGU MUANZE
KUFANYA ZOEZI HILI. MUNGU AWAPE NGUVU
NA AWABARIKI.

i wish u ze best lemm try it!
ReplyDeleteSikuwahi kuamini kwamba jambo kama hili lingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuvunjika kabisa.
DeleteMume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume aliyekuwa akinipenda na kunijali aligeuka kuwa mtu wa baridi, mwenye kujitenga na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha hamu ya kuendeleza ndoa yetu, alianza kuniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo sana kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook na Instagram — kana kwamba sikuwahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilikuwa nimefanya nini vibaya.
Siku moja, rafiki yangu wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtaalamu wa kiroho aitwaye Dr Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na mashaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu nilihisi sina cha kupoteza.
Dr Dawn alinifanyia usomaji wa kiroho, na nilishangaa sana. Alifunua mambo ya siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyekuwa akiyajua. Kila alichosema kilikuwa sahihi kabisa.
Kisha alieleza kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemwekea mume wangu uchawi. Mwanamke huyo alikuwa akimtembelea mara kwa mara, na kwa ujinga nilidhani walikuwa wakizungumza tu kuhusu kazi.
Dr Dawn alinisaidia kuondoa uchawi huo na akafanya tambiko lenye nguvu la kurejesha upendo katika ndoa yangu.
Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi baadaye mume wangu mwenyewe alinifungua kwenye mitandao na akaanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba kumsamehe na kurudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyokuwa amenisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni, akiniomba nimpe nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ina nguvu zaidi, ina furaha zaidi na ina amani kuliko hapo awali. Upendo wetu unahisi kana kwamba umeanza upya kabisa.
Kana kwamba hayo hayatoshi, baadaye Dr Dawn alinisaidia pia kwa tambiko la kupata ujauzito kwa sababu tulikuwa tumepambana kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata ujauzito kwa njia ya kawaida, na leo tumebarikiwa kupata watoto wawili wa kiume wenye afya njema.
Nitashukuru milele.
Ikiwa unahitaji:
• Uchawi wa mapenzi ili kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
• Msaada wa kurejesha ndoa
• Tambiko la kupata ujauzito
• Msaada wa kiroho kuhusu kesi za mahakamani au kurejesha urithi
• Mwongozo na ulinzi wa kiroho
Ninampendekeza sana Dr Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu ya leo ni ushahidi.
Wasiliana naye kupitia WhatsApp ikiwa unahitaji msaada wowote kati ya hizi.
WhatsApp yake: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com
Du! Noumer
ReplyDeletemmmmmmmh arooooooo tunawashwa jamani
ReplyDelete🤣🤣🤣🤣🤣
Deleteahsante sana niulize hivi mtu akiacha nguvu zake za kiume zitarudi kama zamani??my no is 0764224280
ReplyDeleteJe nini kitajiri baada ya hizo siku arobaini kwa huyo mtu je nguvu za kiume zitarejea tena ktk hali yake ya awali ama mpaka apate tiba?
ReplyDeleteMm naona iyo siyo dawa.hamu inapokuja asa.ata ujipake kitu gani.utajisafsha then kamawkawa
ReplyDeletehahaahah��������
Deletemi mbona nilifikisha siku arobaini mbona sikuacha?
ReplyDeleteOngeza zingine arobaini mpak mueshimiane
DeleteMmmh...hayer
ReplyDeleteMmmh...hayer
ReplyDeleteI wiki do my best
ReplyDeleteTanzania bila ugumba inawezekana tuache punyeto
ReplyDeleteDuh!!!? hiyo dawa ni nouma sana
ReplyDeleteAisee vijana weng tumetekwa sna na hali hii hivyo bas nawasihi vijana wenzangu tubadlike kwa kuachana na hii tabia maana tukiendkza tutakosa watoto na wanawake watatudharau sna maana raha ya mwanaume uwe na sifa hiyo ya kufanya kazi.maana hata uwe na mali nying lakin bila hicho kitu sio mwanaume halisi
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteDuh, hatareee
ReplyDeleteGuys i issue ni mbaya mbaya sana haifai kabisa yana inatesa, nyeto is a fool usikubali azimia kabisa utaiacha jaribu kutoiwaza
ReplyDeleteni nouma
ReplyDelete😁😁😁 ni jatar sana
ReplyDeleteTatizo kubwa la vijana wa kileo ni kuangalia Ponography xana kwa malengo yasiyo ya msingi matokeo yake tunajifunza vitu visivyofaa kwenye calture yetu
ReplyDeleteNa pia ukiangalia porn videoz ukiwa mwenyewe zinachangia sehemu kubwa sana kufanya punyeto
We hv to stop kabisa ni hatari xaana cz inaathiri hadi ubongo ( Sycology )
Tatizo kubwa la vijana wa kileo ni kuangalia Ponography xana kwa malengo yasiyo ya msingi matokeo yake tunajifunza vitu visivyofaa kwenye calture yetu
ReplyDeleteNa pia ukiangalia porn videoz ukiwa mwenyewe zinachangia sehemu kubwa sana kufanya punyeto
We hv to stop kabisa ni hatari xaana cz inaathiri hadi ubongo ( Sycology )
Mimi kwa maoni yangu ni mtu tuu amuombe mungu na amlilie kwa saan na ajitolee adhab kwa kumuomba mungu mfano: aseme eeh mola wangu nakuomba uni jaalie niki fanya tena nipate maumiv makali ya kichwa au tumbo liniume saaan nikifanya izo vitu nna iman, mungu aki kubali dua yako izo vitu uta acha moja kwa moja, au mna semaje mazeee!!
ReplyDeletep
ReplyDeleteYaaah wel said Abdul......lazima tumtangulize Mungu katika hili
ReplyDeleteDaaah nyeto hatari sana jaman
ReplyDeleteKiukwi nyeto imeni athirii sana kila wakati nakuwwa msahau rifu wa vitu
ReplyDeletePunyeto aifai vijana madem wengi sana mbona
ReplyDeleteEhe Mwenyezi Mungu twakusihi sana usaidie kizazi hiki katika janga hili.
ReplyDeleteKweli hiyo nihatari
ReplyDeleteHahahahaha tatizo kubwa nimadomo zege huwa ndo wanakutwa na hili tatizo
ReplyDeletehaaaaaaaa duuuuuuhh kweli iyo kali ila duu...! mh!!
ReplyDeletetatizo kuubwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaa ni izi X-Videos,binafsi nahilahaani hile sikuu,naichukia kuliko siku zote,HE MUNGU TUSAMEHEE,NA UTUSAIDIE,still tunapata shidaa
ReplyDeleteatua zipo ikiwa nipamoja na
-kufanya mazoezi
-kuacha kujitenga peke yako
*kucha looking x-videos
-kusoma neno la mungu,kuomba lkn daaaaah,,
Punyeto noma
ReplyDeleteukifikisha hizo siku 40 bila kupiga nguvu zako za kiume zitarudi ??
ReplyDeleteNYETO MBAYA SANA JMANI YAANI NINAPOTEZAGA MEMORY KABISA
ReplyDeletemwenyez mungu atufanyie wepec tuowe ndo dawa kubwa ya punyeto
ReplyDeleteOh oky that is a nice, ntaanza kuhesabu 2day
ReplyDeleteTuacha nyeto wadau
ReplyDeleteDaaah Mungu atusaidie vijana wako twaangamia
ReplyDeleteDaaah Mungu atusaidie vijana wako twaangamia
ReplyDeleteDaaah Inauma xn... Mungu atusaidie vijana wako twaangamia
ReplyDeleteDaaah Inauma xn... Mungu atusaidie vijana wako twaangamia
ReplyDeleteThanks sana kwa elimu yako
ReplyDeleteAsant Sana kk Ila km ipo block. Ya porn ili nzfunge zote mm cpg kwa mkn nangalia mpk zntoka wnyw
ReplyDelete