Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2017

MTI WA MCHOCHO NA TIBA YA WATOTO KUKOJOA KITANDANI

MTI  WA  MCHOCHO  NA  TIBA  YA WATOTO KUKOJOA  KITANDANI Kukojoa  bila  kukusudia  ama  kujikojolea  ni  tatizo  linalo  wakabili  watu wengi duniani . Kukojoa  bila  kukusudia  ama  kujikojolea   ni  ile  hali  ya   mtoto  mwenye  umri  wa  miaka  mitano  au zaidi  kushindwa  kuzuia  mkojo  wakati  wa  mchana  au  usiku  na  hivyo  kujikojolea  kitandani wakati  wa  usiku  au kujikojolea   kwenye  nguo  wakati  wa  mchana. Tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu  zinaeleza  kuwa  watoto wengi wanaacha kukojoa kitandani wakati  wa usiku katika umri wa miaka mitatu.    Kuchelewa kukomaa kwa uwezo wa kibofu kuzuia mkojo kunaelezwa  kuwa  ndio  chanzo  kikuu  cha  tatizo  la  kujikojolea  kitandani kwa  watoto  wadogo. Katika  tiba  asilia, ipo  mimea  mbalimbali  inayo  tajwa  kuwa  na  uwezo  wa  kutibu  tatizo  la  mtoto  kukojoa  kitandani.  Kati    ya  mimea  hiyo, upo  mti  wa  mchocho. Mmea  huu  umekuwa  ukitumiwa  na  wenyeji  wa  mkoa  wa Pwani  nchini  T

Diandra Forrest, mwanamitindo anaetumia fani ya mitindo kuielimisha jamii yake kuhusu changamoto wanazo kutana nazo albino.

Diandra  Forest Anafahamika  kwa  jina  la  Diandra  Forest. Mwanamitindo  kutoka  nchini  Marekani  ambae  ameonyesha  uwezo  wa  hali  ya  juu  katika  tasnia  ya  mitindo  nchini  Marekani  na  duniani  kwa  ujumla.  Fahamu  zaidi  kuhusu  maisha  ya  mwanamitindo  huyu  kupitia  maelezo  hapo  chini.  PICHA  NA  MAELEZO  KWA  HISANI  YA  MTANDAO  WA BORAPANDA.COM ============================================ Model and Actress Diandra Forrest is an African-American model and actress. She is the first female model with albinism to be signed to a major modelling agency. Her striking beauty has caught the attention of many magazines and she has walked in numerous international fashion shows. Her passion for art and creativity has also drawn her into the world of acting. Early Years I realised I had albinism at the age of nine. I grew up in a family of five children, in which only my younger brother and I had the condition. As a child, I often fe

MKATABAWAZIRI; DAWA ASILIA INAYO TIBU MARADHI YA BAWAZIRI KWA NAMNA YA KIPEKEE

Mkomavikali; Huu ni  miongoni  mwa  mimea  michache  inayo  weza  kutumika  kama  tiba  dhidi  ya  maradhi  ya  bawaziri, Kutokwa  na  kinyama  ama  uvimbe  kwenye sehemu  ya  haja  kubwa  ni  tatizo  linalo  wakabili mamilioni  ya watu  duniani. Tatizo  hujulikana  kwa  Kiswahili  kama  Bwaziri,  katika  lugha  za kisukuma  na  kinyamwezi  huitwa  “Man’gondi” na  katika  lugha  ya  kiingereza  hujulikana  kama  Hemorrhoids. Ufwambo. Moja  kati  ya  dawa  zinazo  tumika  katika  tiba  dhidi ya  maradhi ya  bawaziri. Majani  ya  luwambo  yanaweza  kutumika  kutengeneza  sukari  ya  asili, kwa  sababu  ni  matamu  kama  sukari. AINA  ZA  BAWAZIRI  : Kwa mujibu  wa  tafiti mbalimbali  za  kitaalamu, zipo  bawaziri  za  aina  mbili, bawaziri  ya  ndani  na  bawaziri  ya  nje. Kwa  kawaida  mtu  huweza  kuwa  na  moja  wapo kati  ya  aina  hizo   na  wakati  mwingine, mtu  mmoja  anaweza  kuwa  na  bawaziri  za  aina  zote  mbili  kwa  wakati  mmoja.

KISUKARI NI UGONJWA UNAO WEZA KUDHIBITIWA KWA KUTUMIA TIBA ASILIA

Kisukari  ni  tatizo  la  kiafya  linalo wasumbua  na  kuwatesa  mamilioni  ya  watu  duniani. Miongoni  mwa  dalili  za  ugonjwa  wa  kisukari ni pamoja  na i.                    Kukojoa  mara  kwa  mara  ( Watoto kukojoa  kitandani ) ii.                  Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati. iii.               Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati. iv.                Kupungua uzito  kwa  kasi  au kukonda pamoja na kwamba unakula  vizuri  tena kila  wakati  kwa  sababu  ya  kusikia  njaa kila  wakati  kunakosababishwa  na  maradhi  ya  kisukari v.                  Wanawake  kupatwa  na  tatizo  la kuwashwa ukeni. vi.               Kupoteza  uwezo  wa Kuona  vizuri. vii.             Wanaume  kupatwa  na  tatizo  la  ukosefu na / ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  na  wanawake  kukosa  hamu  ya  tendo  la  ndoa. viii.          Kupatwa  na  ganzi,  kusikia  hali  ya  kama  kuchomwachomwa au kutohisi chochote  pindi