Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2020

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA/KUDUMAA KWA MAUMBILE YA KIUME

Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na   kunywea kiasi cha   kuyafanya yaonekane       kama maumbile   ya mtoto. SABABU YA KWANZA : Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ATERI. Kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo makuu mawili. 1.      Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka. KUPANUKA NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MAUMBILE YA KIUME.   Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa. 2.      Lakini pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume.   Mambo haya mawili yanapo to