Skip to main content

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA/KUDUMAA KWA MAUMBILE YA KIUME





Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na  kunywea kiasi cha  kuyafanya yaonekane    kama maumbile  ya mtoto.

SABABU YA KWANZA:

Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ATERI.


Kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo makuu mawili.

1.     Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka.


KUPANUKA NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MAUMBILE YA KIUME.

 Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa.


2.     Lakini pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume.

 Mambo haya mawili yanapo tokea, huathiri uzalishaji wa homoni zinazo husika na kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume. Homoni hizi hujulikana kitaalamu kama HGH na huzalishwa kwenye ini.


Hali hii inapo tokea basi maumbile ya kiume ya mhusika husinyaa na kudumaa kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto mdogo.


             



                        SABABU YA PILI:

Upigaji wa punyeto huathiri utendaji wa ini. Na katika ini ndimo zinamo zalishwa homoni ziitwazo HGH ambazo hu husika na kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.

Kinacho fanya ini la mwanaume anae jihusisha na.punyeto lishindwe kuzalisha homoni za HGH ni mwili wa mhusika kukosa kiwango cha kutosha cha nishati kinacho hitajika katika uzalishaji wa homoni hizo. Nishati hii hupotea kwa wingi wakati wa tendo la upigaji punyeto.


Mwanaume anae piga punyeto hutumia nguvu, akili na nishati nyingi sana . Nishati hii ambayo inahitajika mwilini ili itumike katika kazi mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa homoni za HGH kwenye ini inatumika kwenye tendo la upigaji punyeto na hivyo kupotea bure.

Kibaya zaidi ni kwamba waathirika wengi wa punyeto huanza kujihusisha na punyeto wakati wa balehe.

Na  kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu,  ni katika kipindi hiki hiki cha balehe ndio kipindi ambacho homoni za HGH huzalishwa kwa wingi na huhitajika kwa wingi mwilini katika kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume pamoja  na  sehemu  nyingine  za  mwili.

Matokeo yake ini linashindwa kufanya kazi ya kuzalisha homoni hizo kwa sababu ya kukosa kiwango cha nishati kinacho hitajika ili kuweza kuzalishwa kwa homoni hizo.

Kukosekana kwa homoni hizo hupelekea maumbile ya kiume ya mhusika kushindwa kuongezeka ambako huenda sambamba na kusinyaa, kulegea na kunywea ndani kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto.


NINI SULUHISHO LA MAUMBILE YA KIUME YALIYO ATHIRIKA KWA PUNYETO 

Mwanaume ambae maumbile yake ya kiume yame athiriwa na upigaji punyeto wa muda mrefu anatakiwa apate tiba maalumu ya asili ambayo INATIBU na KUPONYESHA kabisa tatizo la maumbile ya kiume ambayo yameathirika kwa punyeto. Tiba hii ya asili mbali na kufanya kazi ya KUREFUSHA na KUNENEPESHA maumbile ya kiume ambayo yamesinyaa kwa ajili ya punyeto lakini pia INATIBU na KUPONYESHA kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume linalo tokana na kufanya punyeto kwa muda mrefu.

Tiba  hii  husaidia  kuimarisha  misuli  ya  uume  ulio  legea  kwa  sababu  ya  punyeto  na  kuurejesha  uume  katika  hali  yake  ya  kawaida  na  hivyo  kumfanya  mhusika  kufurahia  tendo  la  ndoa  kwa  kumpa  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  muda mrefu  na  kuwa  na  uwezo  wa kurudia  tendo  hilo  mara  nyingi  bila  kuchoka, jambo  ambalo  ni  gumu sana  kwa  muathirika  wa  punyeto.

Waathirika  wengi wa  punyeto  hawana  uwezo wa kufanya tendo  la  ndoa  kwa  muda mrefu  na  pindi  wanapo maliza  kufanya  tendo, kurudia  tendo  hilo  huwa  ni  mtihani  mkubwa  sana.  Uume  unakuwa  hauna  uwezo  wa  kusimama  tena  na huhisi  maumivu  kwenye  misuli  ya  uume.

Mwanaume  anae fanya punyeto hutumia  nguvu  nyingi  na  hivyo  kuua  nguvu  ya  misuli ya  uume.  Matokeo  yake  misuli  hiyo  hukosa  afya  na  kushindwa  kusimama  barabara  wakati  wa tendo la ndoa.


Mbali  na  KUTIBU tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  mwanaume  ambae  ameathirika  na  upigaji  punyeto, tiba  hii  pia ina  faida  nyingine  lukuki  kwenye  mwili  wa  binadamu. Baadhi ya  faida hizo  ni  pamoja  na :

1.     Kushusha  na  kudhibiti  presha  kwa  hiyo  humsaidia hata  mwanaume mwenye  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  ambalo  linatokana  na  tatizo  la  presha.
2.     Kudhibiti  kiwango  cha  sukari  kwenye  damu  kwa  hiyo  humsaidia hata  mwanaume  ambae  tatizo  lake  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  linasababishwa  na  kuwa  na  sukari  nyingi kwenye  damu.
3.     Husaidia  kuondoa  sumu  kwenye  mishipa  ya  damu.  Sumu  hizo  kwa mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu endapo  zita achwa  bila  kudhibitiwa  mapema  huweza  kusababisha athari  kubwa kiafya  kama  vile  kuwa  katika  hatari  ya  kushambuliwa  na  magonjwa  hatari  yasiyo  ambukizwa  kama  vile  tatizo  la  presha,sukari  na matatizo  katika  moyo.
4.     Kudhibiti  la  mapigo  ya  moyo  kwenda  kasi
5.     Kudhibiti  tatizo  la  kushuka  kwa  mapigo  ya  moyo.
6.     Kudhibiti  hatari  ya  kupatwa  na  magonjwa  hatarishi  kama  vile shambulio  la  moyo.
7.     Kudhibiti  hatari  ya  kupatwa  na tatizo  la kupooza  ama  kiharusi  kwa  lugha  nyingine.
8.     Kudhibiti   kuganda  kwa  mafuta ndani  ya  mishipa ya  ateri
9.     Kuondoa  mafuta  yasiyo hitajika  kwenye  damu (  Lehemu/kolestrol)
10.                         Kudhibiti  uzito pamoja  na  faida  nyingine  nyingi za  kiafya.
11.                        Dawa  hii  ina  kiwango  kikubwa  cha  madini ya  magnesium ambayo  ni  madini  muhimu  sana  kwenye  afya  ya  mwili. Kwa  mujibu  wa  tafiti mbalimbali  za  kitaalamu, magnesium  ni  moja  kati  ya  madini  muhimu sana kwenye  mwili wa  binadamu.  Ukosefu  wa  madini  ya  magnesium mwilini huweza  kusababisha matatizo  mbalimbali kwenye  mwili wa  mwanadamu  kama  vile tatizo  la  presha  ya  kupanda na hitilafu  katika  mapigo  ya  moyo.
12.                        Dawa ina  virutubisho  vingi muhimu  katika  afya  ya  mwili.



                       JINSI  YA  KUPATA  DAWA  HII

Kupata  dawa  hii  fika  katika  duka  la  kuuza  dawa  za  asili  la 
NEEMA  HERBALIST. Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.

Kwa  wateja  wetu  waliopo  jijini  DAR  ES  SALAAM  ambao  hawana nafasi  ya  kufika  dukani  kwetu  tunayo  huduma  ya  kuwapelekea dawa  mahali  walipo  (  HOME  &  OFFICE  DELIVERY)  na  kwa  wateja  wetu  waliopo  nje  ya  mkoa  wa  Dar Es  Salaam, tunatumia  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  mbalimbali.

WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA:  0766  53 83  84  AU  0693  005  189.

Na  kufahamu  zaidi  jinsi  suala  la  upigaji  punyeto  linavyo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  kiume, tembelea:


  

Comments

  1. How about those who are far from area how that service given to them
    Example in differ region

    ReplyDelete
  2. Kuna huo uwezekano WA kupata huduma hyoo nikiwa nje ya mkoa

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...