Posts

JE KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TATIZO LA UPARA KICHWANI NA TABIA YA KUJICHUA KWA WAVULANA ?

Image
    Katika   miaka   ya   hivi   karibuni   idadi   ya   vijana   wadogo   wenye   vipara   imekuwa   kubwa   kuliko   ilivyo   kuwa   hapo   zamani.   Miaka   ya   90   kurudi   nyuma   ilikuwa   ukimuoa   mtu   ana   upara   kichwani   basi   pasi   na   shaka   yoyote   mtu   huyo   alikuwa   ni   mtu   mzima   at least   kuanzia   miaka   hamsini   na   kuendelea.     Kama   angekuwa   kijana   sana   basi   at   least   angekuwa   kwenye   miaka   arobaini   mwishoni   yani   anaitafuta   miaka   hamsini.   Ilikuwa   ni   nadra   sana   kumuona   kijana   ana   upara. Miaka   hiyo   ya   zamani   dhana   ya   mtu   kuwa   na   upara   ilihusishwa   na   uzee ndio   maana   kipindi   hicho   ulisikia   watu   wakiitwa   Mzee   Kipara   nakadhalika. Ilikuwa   ni   nadra   sana   kumkuta   kijana   mdogo   akiwa   na   upara.   Lakini   hali   imekuwa   tofauti   sana   katika   miaka   ya   hivi   karibuni.   Siku   hizi   kumekuwa   na   vijana   wadogo   sana   amb

PUMU NI TATIZO LINALO WEZA KUDHIBITIWA KWA DAWA ZA ASILI NA MIMEA

Image
Pumu ni tatizo   la   kiafya   linalo   wasubumbua   mamilioni   ya   watu   duniani.    Kwa ufupi   tatizo   la   pumu   ni   tatizo   linalo   sababishwa   na kuathirika   kwa   mfumo   wa   kupitisha hewa   kwenye   mapafu   ya   binadamu.   Mtu   mwenye   tatizo   la   pumu   hupatwa   na   changamoto   ya   kuwa   na   hitilafu   kwenye   mirija   yake   ya   kupitishia   hewa   hali   ambayo   husababisha   ute   mzito   kujaa   kwenye   mirija   hiyo pampja   na   kuvimba   kwa   kuta   za   mirija   hiyo   mambo   ambayo   husababisha   kupungua   kwa   njia   ya   hewa   jambo   ambalo   humfanya   muathirika   kupumua   kwa   shida   sana   kwa   sababu   ya   kushindwa   kuvuta   na   kutoa   hewa   nje.     Pamoja   na   tatizo   la   pumu   kutajwa   kuwa   tatizo   tishio   kwa   uhai   wa   binadamu   lakini   zipo   tiba   mbalimbali   za   asili   ambazo   zina   uwezo   wa   kutibu   na   kudhibiti   kabisa     tatizo   la   pumu. Dawa   za   asili   zitumikaz

HABARI NJEMA KWA WANAO SUMBULIWA NA VIPELE VYA KISOGONI.

Image
  JE U nasumbuliwa  na  tatizo  la  kutokwa  na  vipele  kisogoni ? Vipele  vinavyo  sababishwa  na  kunyoa  saluni  ? Kama  jibu  lako  ni  NDIO , basi  hii  ni  HABARI  NJEMA  SANA  KWAKO.    Neema  Herbalist & Nutritional  Foods  Clinic   ni duka la  kuuza  dawa  mbalimbali  za  asili.  Tunakuarifu  kuwa, tunayo  dawa  asilia inayo  tibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  kutokwa  na  vipele  kisogoni. Dawa  yetu  ni  ya  asili  kabisa,  isiyo  na  kemikali  za  viwandani  na  inatibu  na  kukausha kabisa  tatizo la  kutokwa  na  vipele  kisogoni  ndani  ya  siku  thelathini. .Tunapatikana   UBUNGO jijini Dar  Es  Salaam, jirani  na  Shule  Ya  Msingi  Ubungo  National  Housing, nyuma  ya   jengo la  Ubungo  Plaza. Kwa  wateja wasio  weza  kufika  ofisini  kwetu, watapelekewa  dawa  mahali  walipo  ( DELIVERY ). Kwa  wateja  wa   mikoani, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  mabasi. Kwa  wateja  waliopo  Zanzibar, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  boti, na  kwa  DIASPORA  watatumiw

UHUSIANO KATI YA TATIZO LA SUKARI YA KUPANDA NA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME:

Image
Moja Kati ya changamoto  wazipatazo wanaume  wengi wenye tatizo la Sukari ya Kupanda ni pamoja Na tatizo la Ukosefu wa nguvu ZA kiume..  NI NINI TAFSIRI YA KUWA NA TATIZO LA SUKARI YA KUPANDA: Kuwa Na tatizo la Sukari ya Kupanda tafsiri yake ni kwamba KONGOSHO zako zako zimepoteza uwezo wake wa kufanya Kazi au Kwa lugha nyepesi zimefeli. Kazi kubwa ya KONGOSHO ni kuzalisha homoni zijulikanazo kama INSULIN.  Na Kazi ya INSULIN ni kudhibiti kiwango cha Sukari kwenye damu. Homoni za insulin zina usaidia na kuuwezesha mwili kufyonza hatimae kutumia wanga uliopo kwenye chakula Kwa ajili ya kuupa mwili nguvu.  Homoni za insulin husafirisha sukari kutoka kwenye damu kwenda kwenye seli mbalimbali za mwili Kwa ajili  ya kuupa mwili nguvu.    Kama KONGOSHO zikifeli maana yake ni kwamba zitashindwa kuzalisha insulini au zitazalisha kiwango kidogo Sana cha insulini.  Kama mwili una kiwango kidogo Sana cha insulini tafsiri yake ni kwamba seli zitashindwa kufyonza sukari kwenye damu na kuipeleka kat