Documentary : JINSI YA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, NA KUPUNGUZA UNENE NA UZITO KWA KUTUMIA DAWA ASILI YA " MKATAA KITAMBI"
Ni documentary inayo fundisha na kuelekeza kwa vitendo :
1. Jinsi ya kuondoa KITAMBI na kufanya tumbo lako kuwa flat kabisa.
2. Jinsi ya kuondoa manyama Uzembe.
3. Jinsi ya kupunguza unene na uzito.
Kwa kutumia :
1. Dawa ASILI ya MKATAA KITAMBI. ( Inakuwa pamoja na unga wa uji wake maalumu)
2. Ndizi mbichi za kupikwa ( Kabla ta kupikwa, zinaandaliwa kwa utaratibu maalumu na zinapikwa kwa utaratibu maalumu)
3. Maharage.
4. Karanga za kukaanga.
5. Pamoja na nazi.
Ndani ya documentary hii, wataonekana washiriki mbalimbali wenye vitambi vilivyo pitiliza, unene na uzito mkubwa kupita kiasi, wakiwa wanatumia dawa ASILI ya KITAMBI ( Na uji wake) pamoja na hizo ndizi mbichi za kupikwa, maharage ya kupikwa, karanga za kukaanga pamoja na nazi.
Ndani ya siku ishirini na nane, washiriki wote kwenye documentary hii ambao wote ni wa kazi wa Dar Es Salaam, wataonekana wakiwa vitambi vyao vimeondoka na matumbo Yao kuwa flat kabisa, manyama Uzembe yote yataondoka, unene na uzito utapungua kwa kiwango cha juu Sana.
Documentary hii itarushwa hewani kupitia account yetu ya You Tube.
Na itaanza kurushwa tarehe 05 December 2025.
Kwa maelezo zaidi KUHUSU documentary hii, endelea kututembelea kila siku hapa hapa kwenye blogu yetu.
Simu : WHATSAPP: 0745 - 433 595.
AU Kawaida : 0766 - 53 83 84.

Comments
Post a Comment