Kitabu hiki kitatoka rasmi tarehe 05 DECEMBER mwaka huu 2025. Kinaelezea namna NDIZI MBIVU, zinavyo tumika pamoja na MAHARAGE YA KUPIKA, KARANGA ZA KUKAANGWA, NAZI pamoja na DAWA YA ASILI IITWAYO MKATAA KITAMBI katika kuondoa KITAMBI na kufanya tumbo kuwa flat kabisa.
Kwa combination hii ya :
1. NDIZI MBICHI ZA KUPIKA
2. MAHARAGE
3. KARANGA ZA KUKAANGWA
4. NAZI
5. Na kikubwa zaidi : DAWA ASILI IITWAYO MKATAA KITAMBI, Kiriba tumbo ( KITAMBI) ulicho nacho kitaondoka chote na kufanya tumbo lako kuwa flat kabisa ndani ya siku 28.
NDIZI zinaandaliwa kwa siku moja na kesho yake ndio zinapikwa kwa kufuata utaratibu maalumu ambao ume elezewa ndani ya kitabu.
MAHARAGE yanapikwa. KARANGA zinakaangwa. Nazi inatumika kwa utaratibu maalumu pia ambao ume elezewa ndani ya kitabu chetu.
Na dawa ya MKATAA KITAMBI inakuwa pamoja na UNGA WAKE MAALUMU AMBAO UNATUMIKA KAMA UJI.
Yani kuna kuwa na dawa ya MKATAA KITAMBI halafu pili, kuna kuwa na UNGA MAALUMU WA UJI ambao unatumika pamoja na dawa ya MKATAA KITAMBI pamoja na hizo NDIZI.
Dozi hii inatumika kwa utaratibu wa aina mbili kwa pamoja.
Zoezi namba moja la matumizi ya dawa hii linafanyika mara moja tu kwa wiki kila wiki kwa wiki nne mfululizo.
Kwa maana ya kwamba, wiki ya kwanza linafanyika mara moja, wiki ya pili linafanyika mara moja, wiki ya tatu linafanyika mara moja na wiki ya nne linafanyika mara moja.
Zoezi namba mbili linafanyika mara moja kwa siku kila siku kwa muda wa siku 21 mfululizo.
Kwa dozi hii, KITAMBI chako kitaondoka na tumbo lako litakuwa flat kabisa bdani ya hizo siku ishirini na nane, lehemu mbaya ( Bad Cholesterol) itaondoka, sumu itatoka mwilini, nyama uzembe zitaondoka na hautoitwa tena mnene.
Dawa hii ya MKATAA KITAMBI ni ya ASILI kabisa ambayo haina kemikali yoyote ya viwandani. Imetoka porini moja kwa moja, ikakaushwa juani na kusagwa mashineni.
Na UNGA wa uji huu wa MKATAA KITAMBI umekuwa blended kwa kutumia dawa hii ya mkataa KITAMBI pamoja na nafaka mbali mbali.
Dawa hii ya MKATAA KITAMBI inauzwa SHILINGI ELFU HAMSINI TU na inakuja pamoja na UNGA wa uji wake.
Kwa mahitaji ya dawa yako ya MKATAA KITAMBI pamoja na UNGA wake, unaweza kufika kwetu.
Tunapatikana Chanika Mwisho jijini Dar Es Salaam ( Zamani tulikuwa Ubungo and now tumehamia Chanika Mwisho)
Kama huna nafasi ya kuja ofisini kwetu Chanika Mwisho, tunayo huduma ya kukuletea dawa ofisini kwako au nyumbani kwako ( HOME & OFFICE DELIVERY) popote pale ulipo ndani ya jiji la Dar Es Salaam.
Na kwako wewe ambae upo Zanzibar, tuna kutumia dawa kwa njia ya boat.
Na kwako wewe ulie nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, tuna kutumia dawa kwa njia ya bus.
Na kwako wewe ulie Mombasa au Nairobi, tuna kutumia dawa kwa njia ya bus.
Namba zetu za Simu ni : 0766 - 53 83 84
Au WHATSAPP: 0745 - 433 595.
.jpeg)
.jpeg)
Comments
Post a Comment