Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2012

MZIGO MPYA UMEINGIA : DAWA SAFI SANA ZA ASILI ZINAZO TIBU MARADHI MBALIMBALI.

1.  SHABAB Ni  dawa  ya  asili  ambayo  hutibu kwa  haraka  na kwa  uhakika  maradhi  yafuatayo : 1. Maleria  Sugu 2. Ngiri  aina  zote 3. Mingurumo  ya  tumbo. 4. Taifodi. 5. Maumivu chini  ya  kitovu. 6. Choo  kigumu. 7. Uuume  kurudi ndani. 8. Kusafisha  mkojo  wa  njano  unaouma. 9. Kuchoka upesi  katika  tendo  la  ndoa. 2.  ROJO Hii  ni  dawa  ya  asili  inayotibu  magonjwa  yafuatayo : 1. Maumivu  yote  ya  viungo. 2.  Ganzi, miwako  ya  moto. 3.Chembe ,kiuno, mgongo. 4. Kichwa, misuli, magoti Dawa  hii  inafanya  kazi  kwa  haraka  sana. 3. JINOBO  : Ni  dawa  ya  asili  ambayo  huondoa  hutibu  maradhi yafuatayo : 1.  Jino  kuuma. 2. Fizi  kuvimba. 3. Harufu  mbaya  mdomoni. 4. Meno  kutoa  damu. 5.  Kuzuia  meno  kuwa  na  tundu 4.  FARAJA Hii ni  dawa  ya  asili  ambayo  hutibu matatizo  yafuatayo : 1.  Sukari 2. Pressure 5.  FANGASIDA Ni  dawa  ya asili  ambayo  hutibu kwa  haraka sana magonjwa  yote ya  ngozi   ( Fangasi  ya  ngoz

SLIMMING JUICY YA KUKATA KITAMBI.

SLIMMING  JUICY   YA  KUKATA  TUMBO (  KITAMBI  ). Wapendwa  wateja  wetu, tunapenda  kuwaatarifu  kuwa     tumewaletea dawa  nyingine  safi  ya  kukata  tumbo  (  kitambi )..Kama  kawaida  yetu  dawa  zetu zote   ni  za  asili  na  hazina  madhara  yoyote  kwa  mtumiaji  .Maelezo  zaidi  kuhusu  dawa  hii  yapo  kama  yanavyo  someka  hapo  chini.KARIBUNI  SANA. NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC  ni  wauzaji  wa  dawa  safi  za  asili  za  kutibu  magonjwa  mbalimbali. Tunapenda kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  sasa    tunayo  dawa  nyingine  safi  sana  ya  kutibu  tatizo  la  kitambi.  Ni  dawa  ya  asili (  iko processed ), ipo  katika  liquid  form, ina ladha  nzuri   na  inakata  tumbo (  kitambi  )  ndani  ya  siku  thelathini. Ipo  katika  ujazo mkubwa, unaweza kuendelea  kuitumia  hata  mara  baada  ya  muda  wa dozi  kuisha, pia  dawa  hii   haina  effect  ya kukufanya  uende chooni  mara  kwa  mara. Imewasaidia  watu  wengi  na  imetjibi