Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2018

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA/KUDUMAA KWA MAUMBILE YA KIUME.

  Wanaume   wanao   jihusisha   na   upigaji   wa   punyeto   kwa   muda   mrefu   husalia   kuwa   na   maumbile   ya   kiume   yaliyo   sinyaa   na   kudumaa. Kwa mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  huathiri  na  kuharibu  mishipa  na  misuli  ya  uume na  hivyo kusababisha  kujengeka  kwa  mafuta na  tishu  zisizo vutika  kwenye  mishipa  ya  ateri na  hivyo  kuzuia  mishipa ya  ateri  kupanuka na  kuongezeka  pamoja  na  damu  kutiririka  kwenda  kwenye  misuli  ya  uume. Mambo  hayo  mawili yanapotokea  huathiri  uzalishaji  wa homoni muhimu  zinazo  husika  na ukuaji wa misuli ya  uume, na hatimaye  hufanya  uume  wa  mhusika  kudumaa, kusinyaa, kunywea  na  kurudi ndani  kiasi  cha  kuufanya  uonekane  kama wa  mtoto.  Homoni  hizo hujulikana    kitaalamu kama  HGH  na  huzalishwa  kwenye  ini. Sababu nyingine   inayo  tajwa  na  wataalamu  ni kwamba, mtu  anaye fanya punyeto   hutumia  akili,  nguvu na  nishat