Skip to main content

Nilianza Punyeto 2004 nikaacha 2024. Na haya ndio masahibu niliyo kutana nayo kwenye mahusiano

Kisa hiki kinatoka kwenye kitabu chetu kiitwacho " WANAUME WANAO FANYA PUNYETO NDANI YA NDOA" na kina muhusu jamaa aitwae " Mashoto" ( Sio jina lake halisi) 

Kisome kisa hiki kama ifuatavyo: 👇👇


Jina langu naitwa Mashoto nimezaliwa mwaka 1985.


Nianze kuelezea story yangu moja kwa moja. 


Kwa bahati mbaya Sana nilianza kujihusisha na ngono nikiwa bado mdogo Sana. Nadhani ilikuwa ni kwa sababu kuu mbili; Ya kwanza kwa sababu niliwahi sana kubalehe na sababu ya pili nilikuwa nina umbo kubwa ikilinganishwa na umri wangu. 


Nikiwa nna miaka 15 nilionekana kama mtu mwenye miaka 18 au 20 hivi. Wasichana wa umri wangu niliwaona watoto. 


Nakumbuka hadi tarehe ilikuwa tarehe 18 Novemba 2000. 


Nilikuwa tayari nimeshafanya mitihani yangu ya taifa ya kidato cha pili, na hapo nilikuwa nasubiri majibu ya kuingia kidato cha tatu. 


Mwanamke wa kwanza kutembea nae alikuwa Baa Medi. Kwa kumtazama alikuwa ananizidi  kama  miaka minne au mitano hivi. 

Nilikua naenda sana kuangalia mpira kwenye bar aliyo kuwa anafanyia kazi na hapo ndipo nilipo fahamiana nae. 

Siku hiyo kwa sababu ya mihemko yangu nililala nae bila kutumia kinga yoyote. 


Hakuna siku niliyo jisikia vibaya kama siku hiyo mara baada ya kumaliza kufanya nae tendo. 

Ile furaha ya kufika kileleni ilifuatiwa na majuto makubwa Sana. Majuto ambayo sikuwahi kuyapata katika maisha yangu yote. 

Kwanini nilipata majuto? Kwa sababu nilihisi mwanamke huyo ana ukimwi. 


Kwa watoto wa elfu 2 hawawezi kuelewa Jambo hili, lakini ni hivi. Miaka ya elfu 2 mwanzoni kulikuwaga na kampeni kubwa Sana dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi. 


Ukifungulia Radio One unakutana na Mama Terry anazungumza kuhusu Ukimwi, hujakaa sawa unakutana na Wimo wa Uswahilini Matola usemao " Kosa la Marehemu hakuvaa kondomu"  Mara huku unakutana na wimbo wa Ferooz " Starehe", Mara kule Profesa Jay na wimbo wake " Msinitenge " Mara huku Solo Thang na wimbo wake " Kuwa Mwaminifu" ( Mkipenda Sana Ngono mbona mtakwisha) 

So moja kwa moja kwa moja nikaamini na Mimi tayari kwa sababu nilifanya mapenzi na mwanamke ambae sijapima nae bila kutumia kondomu. 

Mbaya zaidi mwanamke huyo alikuwa Baamedi na miaka hiyo tuliaminishwa kwamba ma Baamedi wengi wana wanaune wengi hivyo wapo kwenye kundi hatarishi la watu walio katika hatari ya kupatwa na maambukizi ya Ukimwi. 


Takwimu zilikuwa zinasema katika kila watu kumi watu watatu kati Yao wana maambukizi ya virusi. 


So nilikuwa nikijumlisha nimetembea na Baa Medi bila kinga na ma Baamedi wanatembea wanaume wengine zaidi ya kumi. So nika a mini moja kwa moja na Yule. Baamedi atakuwa ameathirika. 


Nilijilaumu Sana kwa Jambo lile na ndanu ya nafsi yangu nikaamini kabisa kwamba tayari na mimi, hivyo nikaanza kuishi huku nikiwa na hofu kwamba Yule baamedi hakuwa mzima. 


Pamoja na hofu hiyo nika weka nadhiri ya kujiepusha kabisa na ngono tena kwa sababu akina ama Terry w alikuwa wanasema kama una virusi unashauriwa usilale na wanawake wengine bila kutumia kinga kwa sababu mtabadilishana virusi na tatizo Lita kuwa Mara kumi yake. So nilihisi kwa hofu kubwa Sana na nilitamani siku zirudi nyuma na kwenye bar ile sikuenda tena kuangalia mpira.. 


Hata hivyo baada ya wiki moja nilijikuta napatwa na hali moja ya ajabu Sana. 


Je ni hali gani hiyo? Tembelea BLOGU hii kesho kwa muendelezo wa story. 


..... 

Na kwako wewe unae sumbuliwa na madhara ya PUNYETO. Tumia dawa yetu ya ASILI iitwayo JIKO. DAWA HII INATIBU NA KUPONYESHA KABISA MADHARA YOTE YATOKANAYO NA PUNYETO NA INA REFUSHA NA KUNENEPESHA MAUMBILE YA KIUME YALIYO SINYAA KWA SABABU YA PUNYETO YA MUDA MREFU. 


Wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu : 


0766 - 53 83 84  au


WhatsApp : 0745 - 433 595.




Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...