WANAUME WANAO PIGA PUNYETO NDANI YA NDOA : Ni kitabu kinacho elezea mateso mazito wanayo yapitia wanaume ambao wameingia kwenye ndoa huku wakiwa tayari wameathirika na tatizo la upigaji punyeto wa muda mrefu
WANAUME WANAO PIGA PUNYETO NDANI YA NDOA : Kitabu kinacho elezea mateso mazito wanayo yapitia wanaume ambao wameingia kwenye ndoa hukuwa wakiwa wameathirika na tatizo la kupiga punyeto kwa muda mrefu.
Sura Ya
Kwanza : NILIFANYA PUNYETO KWA MUDA WA MIAKA 20 KUANZIA 2004 NIKAJA KUACHA
2024.
Kitabu hiki kinahusu
masimulizi kutoka kwa wanaume wapatao arobaini ( 40) kutoka mikoa mbalimbali ya
Tanzania bara na visiwani ambao waliingia kwenye ndoa huku wakiwa tayari
wameathiriwa na tatizo la upigaji punyeto kwa muda mrefu.
Ni kitabu chenye mafunzo
mazito sana kwa wanaume na kwa jamii nzima kwa ujumla. Wewe kijana ambae bado
unajihusisha na suala la upigaji punyeto, unalo jambo la kujifunza ndani ya
kitabu hiki, na wewe mwanaume ambae upo
kwenye ndoa lakini bado unajihusisha na punyeto, unacho kitu kikubwa sana cha
kujifunza hapa. Na kwako wewe mwanaume, ambae ume kuwa addicted na masturbation,
unatamani kuacha lakini unashindwa, pia unacho kitu kikubwa sana cha kujifunza ndani ya kitabu hiki.
Kikubwa zaidi, kwako wewe
mwanaume ambae umeathiriwa na masturbation na unataka kurudi katika hali yako
ya kawaida ili uwe na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kama wanaume wengine, pia
unacho kitu kikubwa sana cha kujifunza. Ndani ya kitabu hiki , utapata faida
nyingi sana.
Wahusika wa kitabu hiki, ni
wanaume mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania bara na visiwani ambao
walikuja kwetu kutafuta tiba ya athari za masturbation, na baada ya kupona
kabisa tatizo lao, wamekubali kushare story zao ili wanaume wengine ambao bado
wana struggle na tatizo la masturbation pamoja na effects zake, wapate kitu cha
kujifunza na kikubwa zaidi, wapate faida kuu kabisa wanayo ihitaji ambayo si
nyingine, isipokuwa uponyaji. Wapone kabisa tatizo la athari za masturbation na
warejee kuwa kama wanaume wengine.
Ili kulinda faragha (
privacy) ya wateja wetu, katika masimulizi haya, hatutumii majina yao halisi,
lakini pia tumebadilisha locations ( maeneo) ambako matukio yametokea, japo
wengine walisema hawana tatizo na location lakini kama sisi kwa kuzingatia
ethics za kazi, hatutaja location halisi. Hatutaja kabisa locations na pale
tutakapo lazimika , basi tutabadilisha location.
Na ili kukusaidia na kukurahisishia wewe mwanaume ambae bado una struggle na
tatizo la masturbation ama side effects za masturbation ama vyote kwa pamoja, tumeamua
kuchapisha kitabu hiki kupitia hapa hapa kwenye blogu yetu ( Neema
Herbalist BLOG) ili na wewe uweze kupata faida.
Na kwa kuanza, tuna anza na
kisa cha mteja wetu mmoja ambae yeye alijihusisha na masturbation kwa muda wa
miaka 20, kuanzia mwaka 2004 hadi pale alipo acha mwaka 2024. Katika hicho
chote alicho fanya masturbation alikumbana na athari na madhara mengi sana
ambayo yanahusiana moja kwa moja nay eye kujihusisha na masturbation. Kisa cha mtu huyu kina mafunzo makubwa sana kwa
wanaume wote ambao bado wanajihusisha na masturbation au wale ambao wamecha
masturbation lakini bado wana struggle na side effects za masturbation hasa hasa
wale ambao wapo ndani ya ndoa.
Lakini kabla ya kuanza na
kisa hiki ambacho kinaunda chapter ya kwanza ya kitabu hiki, ni vema
nikakukumbusha kidogo suala la uhusiano uliopo kati ya suala la punyeto na
kusinyaa kwa maumbile ya kiume, kwa sababu hili ni swali ambalo tumekuwa
tukiulizwa na wanaume wengi sana ambao wameathirika na masturbation.
Ni kweli kabisa mwanaume
akijihusisha na punyeto kwa muda mrefu, basi maumbile yake ni lazima yasinyae
na kudumaa kama ya mtoto mdogo.
Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu
maumbile yao husinyaa na kuwa kama ya mtoto.
SABABU
YA KWANZA: Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu
misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika
kwenye mishipa ya ATERI.
Kujengeka
kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo
makuu mawili. Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka.
KUPANUKA
NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA
MAUMBILE YA KIUME. Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri
ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa.
Lakini
pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri
huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume. Mambo haya mawili
yanapo tokea huathiri uzalishaji wa homoni zinazo husika na kuchochea ukuaji wa
maumbile ya kiume. Homoni hizi hujulikana kitaalamu kama HGH na huzalishwa
kwenye ini.
Hali
hii inapo tokea basi maumbile ya kiume ya mhusika husinyaa na kudumaa kiasi cha
kuyafanya yaonekane kama ya mtoto mdogo.
SABABU
YA PILI: Upigaji wa punyeto huathiri utendaji kazi wa ini. Na katika ini ndimo
zinamo zalishwa homoni ziitwazo HGH ambazo hu husika na kufanya kazi ya
kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.
Kinacho
fanya ini la mwanaume anae jihusisha na.punyeto lishindwe kuzalisha homoni za
HGH ni mwili wa mhusika kukosa kiwango cha kutosha cha nishati kinacho hitajika
katika uzalishaji wa homoni hizo. Nishati hii hupotea kwa wingi wakati wa tendo
la upigaji punyeto.
Mwanaume
anae piga punyeto hutumia nguvu, akili na nishati nyingi sana . Nishati hii
ambayo inahitajika mwilini ili itumike katika kazi mbalimbali ikiwemo
uzalishaji wa homoni za HGH kwenye ini inatumika kwenye tendo la upigaji
punyeto na hivyo kupotea bure.
Kibaya
zaidi ni kwamba waathirika wengi wa punyeto huanza kujihusisha na punyeto
wakati wa balehe. Na ni katika kipindi hiki hiki cha balehe ndio kipindi
ambacho homoni za HGH huzalishwa kwa wingi na huhitajika kwa wingi mwilini
katika kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.
Matokeo
yake ini linashindwa kufanya kazi ya kuzalisha homoni hizo kwa sababu ya kukosa
kiwango cha nishati kinacho hitajika ili kuweza kuzalishwa kwa homoni hizo.
Kukosekana
kwa homoni hizo hupelekea maumbile ya kiume ya mhusika kushindwa kuongezeka
ambako huenda sambamba na kusinyaa, kulegea na kunywea ndani kiasi cha
kuyafanya yaonekane kama ya mtoto.
SULUHISHO
: Mwanaume alie athirika na masturbation anatakiwa kupatiwa dawa ya asili
ambayo itamtibu na kumponyesha kabisa athari zote alizo zipata kwa kufanya masturbation.
Suala hili tumesha lielezea kwa kina sana
kwenye makala zetu zilizo pita, na ambazo zote zinapatikana hapa hapa
kwenye blogu yetu.
Sasa turudi kwenye kisa cha huyu ndugu yetu ambae
alifanya punyeto kwa muda wa miaka 20 kuanzia mwaka 2004 hadi mwaka 2024. Ndani
ya miaka hiyo ishirini, aliingia pia katika mahusiano na wanawake wengine, na
kama hiyo haitoshi, aliingia katika ndoa pia, ambayo hata hivyo haikuchukua
muda, ilikufa huku sababu kuu ikiwa ni yeye kuathiriwa na tatizo la masturbation.
Ndani ya kitabu hiki, tumembatiza jina “ Mandevu” Safari ya Bwana Mandevu kwenye mahusiano yake
ndani ya hiyo miaka 20, ina mafunzo mengi sana mazito kwa wanaume wote hususani
wale ambao bado wanajihusisha na masturbation au wale ambao bado wana struggle
na masturbation , hasa hasa wale ambao wapo kwenye ndoa lakini bado wanafanya masturbation.
Muda si mrefu kuanzia leo, tuna post hapa hapa,
bloguni kuhusu story ya Bwana Mandevu. Kaa mkao wa kula, tembelea kila siku
blogu hii, na waalike na wenzako pia.. Sio
tu story ya Bwana Mandevu, lakini pia tuta post na story za wanaume wengine
thelathini na tisa ( 39) ambao visa vya maisha yao kwenye suala zima la namna
punyeto ilivyo waathiri kwenye ndoa na mahusiano yao na wanawake kwa ujumla,
vimechapishwa ndani ya kitabu hiki.
Na kwako wewe
mwanaume ambae umeathirika na punyeto, upo ndani ya ndoa, bado una
struggle na punyeto ukiwa ndani ya ndoa, bado una struggle na athari za
punyeto, na unataka kupona kabisa tatizo
lako, wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu
kama ifuatavyo :
KAWAIDA : 0766- 53 983
84 AU 0693 -005 189
AU
WHATSAPP : 0745 -433
595.
Tutakupatia dawa ya asili ambayo itakutibu na
kukuponyesha kabisa na utarudi katika uanaume wako. Dawa hii ni ya asili kabisa
na inatibu kabisa tatizo la nguvu za kiume ndani ya siku thelathini, na matokeo unaanza kuyaona siku ya saba. Dawa
hii itakuja kwako pamoja na lishe yake maalumu ambayo utaitumia pamoja na dawa
yako.
Gharama ya dawa hii ni ile ile ya siku zote, SHILINGI ELFU THEMANINI TASLIMU (
Tshs.80,000/=)
Tunapatikana Chanika Mwisho jijini Dar Es Salaam ( Zamani tulikuwa
Ubungo, now tumehamia Chanika )
Kwa wewe mteja wetu ambae upo jijini Dar Es
Salaam, lakini hauna nafasi ya kufika
ofisini kwetu Chanika, tunayo huduma ya kukuletea dawa ( HOME & OFFICE DELIVERY)
mahali popote ulipo ndani ya jiji la Dar Es Salaam.
Kwa wewe ambae upo nje ya mkoa wa Dar Es
Salaam,tunakutumia dawa kupitia usafiri wa bus au boti kama upo Zanzibar.
Tembelea kila siku Neema Herbalist Blog upate
kujifunza masuala mbalimbali kuhusu afya yako.
Comments
Post a Comment