Skip to main content

JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE MAALUMU KWA AJILI YA KUTIBU NA KUPONYESHA KAB ISA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

                                                                                MAHITAJI:


 

1.   Uji Dume

2.   Dawa asili ya Jiko

 

Uji Dume ni nini ? Uji  Dume ni uji maalumu unao tumika pamoja na dawa asilia iitwayo Jiko. Dawa asilia iitwayo jiko kama mjuavyo  watu wengi, ni dawa ya  asili ambayo ina tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.

 

Uji  Dume unatengenezwa  kwa mchanganyiko wa nafaka za aina saba pamoja na ya aina tatu. Vyote kwa pamoja husagwa kupata unga  ambao ndio hutumika kupikia uji huu ambao  hutumika pamoja na dawa asilia  ya  jiko  katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la uksoefu wa nguvu za kiume.

 




MAANDALIZI  na  MATUMIZI

Pika  uji dume wako hadi uive. Ukisha iva ipua.  JINSI YA KUTUMIA  chukua vijiko vidogo viwili vya dawa yako ya jiko kisha tia kwenye  kikombe chenye uji dume wako, koroga hadi vyote dawa ya jiko na uji dume vichangamane  kisha tumia kunywa. Utafanya hivyo mara mbili kwa siku  asubuhi na usiku kwa siku thelathini.  Dawa hii hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume na  utaanza kuyaona matokeo  kamili siku ya tatu.

 

Jinsi ya kupata dawa yako ya jiko ( ambayo huambatana na uji dume) fika moja moja ofisini kwetu au agiza ufanyiwe delivery popote ulipo ndani ya viunga vya jiji la Dar Es Salaam.  Kama upo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, utatumia dawa hii kwa njia ya bus na kama upo Zanzibar utatumiwa kwa njia ya boti.

Wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu : 0766  53 83 84  au 0693 005 189.

 

Kufahamu zaidi kuhusu dawa ya jiko na tatizo la nguvu za kiume, tembelea :

https://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html

 

Kufahamu kuhusu uhusiano kati ya punyeto la tatizo la nguvu za kiume, na jinsi tatizo la punyeto linavyo sababisha  kusinyaa kwa nguvu za kiume,  tembelea :

https://neemaherbalist.blogspot.com/2024/03/uhusiano-kati-ya-punyeto-na-kusinyaa.html

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...