Mkomavikali; Huu ni miongoni mwa mimea michache inayo weza kutumika kama tiba dhidi ya maradhi ya bawaziri, |
Kutokwa
na kinyama ama uvimbe kwenye sehemu ya
haja kubwa ni tatizo linalo wakabili mamilioni
ya watu duniani.
Tatizo
hujulikana kwa Kiswahili kama Bwaziri,
katika lugha za kisukuma na kinyamwezi
huitwa “Man’gondi” na katika lugha ya
kiingereza hujulikana kama Hemorrhoids.
Ufwambo. Moja kati ya dawa zinazo tumika katika tiba dhidi ya maradhi ya bawaziri. Majani ya luwambo yanaweza kutumika kutengeneza sukari ya asili, kwa sababu ni matamu kama sukari. |
AINA ZA BAWAZIRI : Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za
kitaalamu, zipo bawaziri za aina mbili, bawaziri
ya ndani na bawaziri ya nje. Kwa
kawaida mtu huweza kuwa na moja wapo
kati ya aina hizo na wakati mwingine,
mtu mmoja anaweza kuwa na bawaziri za
aina zote mbili kwa wakati mmoja.
Ufwambo ukiwa umestawi porini |
NINI HUSABABISHA BAWAZIRI ?
Mchicha pori |
Mchicha pori au Mnunganunga. Mizizi ya mmea hutumika kama sehemu ya tiba ya maradhi ya bawaziri. |
Mpaka
sasa wataalamu bado hawaja baini chanzo
halisi cha tatizo la bawaziri. Hata hivyo
tafiti mbalimbali za kitaalamu zinabainisha mambo
kadhaa yanayo changia kutokea kwa tatizo
la bawaziri.
Mambo
hayo ni pamoja na :
i. Kukosa
choo kwa muda mrefu
ii. Kuharisha
kwa muda mrefu
iii. Kukaa
kwenye choo kwa muda mrefu
iv. Kukaa
kwa muda mrefu
v. Unene
na uzito kupita kiasi: Tafiti mbalimbali zina
onyesha kuwa, asilimia kubwa ya watu wenye
tatizo la unene na uzito ulio zidi, huwa
katika hatari kubwa ya kupatwa na
tatizo la bawaziri.
vi. Ujauzito : Tafiti
mbalimbali za kitaalamu zinaonyesha kuwa,
asilimia kubwa ya wanawake wajawazito huwa
katika hatari ya kupatwa na tatizo la
bawaziri, sababu ikiwa ni kuongezeka kwa
shinikizo ndani ya mfuko wa uzazi.
vii. Kutofanya
mazoezi kwa muda mrefu
viii. Kutotumia
vyakula vyenye nyuzi nyuzi
ix. Sababu
za kinasaba : Tafiti zinaonyesha kuwa, wapo watu
wanao patwa na bawaziri, kwa sababu za
kijenetiki
NINI DALILI ZA BAWAZIRI ?
Dalili
kuu za bawaziri ni pamoja na kutokwa
na kinyama ama uvimbe kwenye sehemu
ya haja kubwa, kukosa choo, kupatwa maumivu
makali sana wakati wa kujisaidia au wakati
unatembea na wakati mwingine maumivu
huendelea hata ukiwa haupo katika matendo yaliyo tajwa
hapo juu. Dalili nyingine ni pamoja na
kuhara damu ama kutoa kinyesi chenye damu.
JINSI YA KUJIKINGA USIPATWE NA
BAWAZIRI :
Kujikinga
usipatwe na bawaziri, unashauriwa
i. Kujenga
tabia ya kuwa unakula vyakula vyenye nyuzi nyuzi
( fibre) kwa wingi
ii. kula
matunda kwa wingi
iii. Kunywa
maji mengi
iv. Fanya
mazoezi ya mwili mara kwa mara
v. Usikae
maliwatoni kwa muda mrefu
vi. Usiruhusu
unene na uzito kubwa.
TIBA ASILIA YA TATIZO LA BAWAZIRI :
Zipo
dawa mbalimbali za asilia ambazo zina
tibu na kuponyesha kabisa maradhi ya
bawaziri. Baadhi ya dawa
hizo ni pamoja
na Lufwambo ama Ufwambo, Mkomavikali, Nun’ganun’ga au Mchicha Pori,
Zumanguku, Luwawa na Mkatabawaziri.
Kati ya
dawa zilizo orodheshwa
hapo juu, dawa ya
Mkatabwaziri inakubalika
zaidi kwa sababu
kuu mbili, kwanza ni
ufanisi wake katika kutibu
maradhi ya bawaziri
na pili ni
namna inavyo tumika katika
tiba ya bawaziri.
Wakati dawa
nyingine za kutibu
maradhi ya bawaziri, zinatumika kwa
mgonjwa kunywa au
kupaka. Mkatabawaziri yenyewe
inatumika kwa namna
ya kipekee sana.
JINSI MKATABAWAZIRI
INAVYO TUMIKA KATIKA
TIBA YA MARADHI
YA BAWAZIRI.
Mgonjwa anatumia
kunywa halafu anatumia
kujifukiza mvuke wa dawa
ya mkatabawaziri. Katika
kujifukiza, dawa hii huchemshwa
kisha huwekwa kwenye
ndoo halafu mgonjwa anakalia
juu ya ndoo
ili mvuke wa
dawa hii uweze
kufika kwenye sehemu
iliyo athirika ( sehemu
yenye bawaziri ).
Zoezi hili hufanyika mara
mbili kwa siku
kwa muda wa
siku ishirini na
moja mfululizo.
Ufanisi wa
tiba hii ni
mkubwa sana. Mgonjwa huanza
kuona mabadiliko ndani
ya siku saba
na baada ya
siku ishirini na
moja tatizo la
bawaziri linakuwa limekwisha
kabisa na mgonjwa
anakuwa amepona kabisa
tatizo la bawaziri.
Tiba
hii
imemsaidia na kumponyesha
kila alie itumia. Kama
umesumbuliwa na maradhi
ya bawaziri kwa
muda mrefu na
umehanganika kutafuta tiba
bila mafanikio, basi jaribu
kutumia tiba ya
Mkatabawaziri, ili uweze
kuondokana na mateso ya
tatizo la bawaziri.
JINSI DAWA ASILIA
YA MKATABAWAZIRI INAVYO PATIKANA.
Kupata dawa ya
Mkatabawaziri, fika katika duka
la NEEMA HERBALIST.
TUNAPATIKANA UBUNGO JIJINI DAR ES
SALAAM, JIRANI NA SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING,
NYUMA YA JENGO LA UBUNGO PLAZA.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0766 53
83 84.
Kwa wateja waliopo
jijini Dar Es
Salaam, ambao hawana nafasi
ya kufika dukani kwetu
Ubungo, tunayo huduma ya
kuwapelekea dawa mahali
walipo ( HOME & OFFICE DELIVERY )
Kwa wateja waliopo mikoani , tunawatumia dawa
kwa njia ya mabasi mbalimbali.
Kwa wateja waliopo
Zanzibar, tunawatumia dawa kwa
njia ya usafiri
wa boti.
Kwa wateja waliopo
NAIROBI na MOMBASA ,
tunawatumia dawa kwa
njia ya usafiri wa
magari mbalimbali.
Na kwa wateja
waliopo UGHAIBUNI, tunawatumia dawa
kwa njia ya
POSTA au DHL.
Na kwa taarifa zaidi kuhusu tiba
mbalimbali za asili,
tutembelee kila siku katika blogu yetu:
Comments
Post a Comment