Kisukari
ni tatizo la
kiafya linalo wasumbua na
kuwatesa mamilioni ya
watu duniani. Miongoni mwa
dalili za ugonjwa
wa kisukari ni pamoja na
i.
Kukojoa
mara kwa mara (
Watoto kukojoa kitandani )
ii.
Kunywa maji
mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.
iii.
Kuwa
dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.
iv.
Kupungua uzito kwa
kasi au kukonda pamoja na kwamba
unakula vizuri tena kila
wakati kwa sababu
ya kusikia njaa kila
wakati kunakosababishwa na
maradhi ya kisukari
v.
Wanawake kupatwa
na tatizo la kuwashwa ukeni.
vi.
Kupoteza uwezo
wa Kuona vizuri.
vii.
Wanaume kupatwa
na tatizo la
ukosefu na / ama upungufu wa
nguvu za kiume
na wanawake kukosa
hamu ya tendo
la ndoa.
viii.
Kupatwa
na ganzi, kusikia hali
ya kama kuchomwachomwa au kutohisi chochote pindi unapoguswa
kwenye
sehemu za miguu, viganjani na kwenye vidole.
ix.
Miguu kuoza
na hata kupata gangrini.
x.
Kukaukwa na
ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu.
xi.
Vidonda au
majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.
xii.
Kutokwa na Majipu
kwenye sehemu mbalimbali mwilini.
Kwa
mujibu wa tafiti mbalimbali za
kitaalamu , watu walio katika makundi yafuatayo wapo katika
hatari kubwa ya
kupatwa na ugonjwa wa kisukari kuliko watu wengine. Watu
hao ni kama
ifuatavyo :
i.
Watu wenye uzito uliozidi,
ii.
Watu wanao
toka katika familia
zenye historia ya
kuwa na wagonjwa
wa kisukari.
iii.
Wanawake
waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi,
iv.
Watu wasio
fanya mazoezi
v.
Wagonjwa wa shinikizo la damu,
vi.
Watu
wenye kiasi kikubwa
cha lehemu mbaya
( Bad Cholestrol ) kwenye damu.
vii.
Watu
wenye virimba
tumo ( vitambi): Wataalamu wa afya
wanaeleza kuwa, kuna hatari kubwa
ya kupatwa na maradhi ya kisukari ikiwa mtu ana mafuta mengi katika
tumbo na kiuno chake kuliko katika mapaja yake. Mafuta katika kongosho na ini
huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi cha sukari kwenye damu
viii.
Watu wenye msongo
wa mawazo na
ix.
Watu wanao tumia pombe
na kupita kiasi pamoja
na wale wavutaji
wa sigara kupita
kiasi: Wavutaji wa sigara wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi ya kupatwa na
tatizo la kisukari,kwani kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali za
kitaalamu, uvutaji sigara
huathiri moyo na mfumo wa mzunguko wa
damu na kubana mishipa ya damu. Tafiti
mbalimbali za kiafya
zinaeleza kwamba asilimia 95 ya
watu wanaougua kisukari ambao hulazimika kukatwa viungo ni wavutaji wa sigara.
x.
Kundi jinginge
la watu walio
katika hatari ya
kupatwa na maradhi
ya kisukari ni
watu wenye umri mkubwa
kuanzia miaka 55
na kuendelea
Wataalamu wa afya wanashauri watu walio kwenye orodha iliyo tajwa hapo juu, kujiwekea utaratibu wa kuwa wanapima afya zao walao mara moja kila mwakaili waweze kuchukua hatua stahiki za kiafya endapo watakutwa na tatizo la sukari.
.
TIBA ASILIA KWA WAGONJWA WA KISUKARI
TIBA ASILIA KWA WAGONJWA WA KISUKARI
Zipo tiba asilia
mbalimbali zinazo saidia
kkupunguza maradhi ya
kisukari. Miongoni mwa tiba
hizo ni pamoja
na tiba ijulikanayo
kama Mkatasukari. Tiba hii inasaidia kushusha na
kudhibiti kiwango cha
sukari kwa mgonjwa mwenye sukari
ya kupanda. Kama unasumbuliwa na maradhi
ya kisukari ( Sukari ya
kupanda ), unaweza kujaribu kutumia
tiba hii.
JINSI YA KUANDAA
TIBA ASILIA YA
MKATASUKARI
Mahitaji ;
i.
Nanasi moja
kubwa
ii.
Majani ya
chai vijiko vitatu vya chakula
iii.
Maji lita
tano
iv.
Dawa asilia ya
Mkatasukari vijiko vikubwa
vitatu.
MATAYARISHO : Chukua
nanasi
lako lililo iva
vizuri, limenye kisha likate
vipande vidogo vidogo, kisha
liweke kwenye sufuria
halafu ndani ya sufuria
hilo, ongeza lita tano
ya maji safi.
Baada ya hapo
weka majani ya chai vijiko
vikubwa vitatu, kisha ongeza
vijiko vikubwa vitatu vya
dawa asilia ya Mkatasukari, kisha chemsha
kwa muda wa
dakika thelathini (30).
Baada ya dakika thelathini, ipua na
uchuje, makapi weka pembeni, kisha hifadhi
kimiminika chako kwenye
chombo safi.
MATUMIZI
:
Tumia
kunywa kikombe kidogo chenye ujazo milimita mia
mbili na hamsini
( 250 mills ) au robo lita
kwa lugha nyepesi. Utafanya hivyo
mara tatu kwa
siku, asubuhi mchana na
jioni hadi dozi
yako itakapo kamilika.
Baada
ya kutumia dozi
hii, unashauriwa kwenda hospitali
kupima tena sukari
ili ujue sukari
yako imeshuka kwa
kiasi gani pamoja
na kupata ushauri
wa daktari wako.
Kwa
mahitaji yako ya tiba
asilia ya Mkatasukari, fika katika
duka la NEEMA
HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO
jijini DAR ES SALAAM,
jirani na SHULE
YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING nyuma
ya jengo la
UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja wetu
waliopo jijini DAR ES
SALAAM, ambao hawawezi kufika
ofisini kwetu., tunatoa
huduma ya kuwapelekea
dawa mahali walipo
( HOME & OFFICE DELIVERY ),
kwa wateja waliopo
Zanzibar watasafirishiwa dawa
kwa njia ya
usafiri wa boti, kwa
wateja waliopo mikoani
watatumiwa dawa kwa
njia ya usafiri
wa mabasi mbalimbali. Wateja waliopo NAIROBI na
MOMBASA watatumiwa dawa
kwa njia ya usafiri
wa mabasi mbalimbali.
Na
kwa wateja waliopo
UGHAIBUNI watatumiwa dawa kwa
njia ya POSTA
au DHL.
Wasiliana nasi
kwa simu namba 0766 53 83 84
Na
kwa taarifa zaidi
kuhusu huduma zetu, tutembelee kila
siku katika blogu
yetu ;
Comments
Post a Comment