Skip to main content

ORODHA YA DAWA TULIZO NAZO

Tunazo  dawa   za  asili  zinazo  tibu  magonjwa  mbalimbali  yanayo  msaidia  mwanadamu.  Ifuatayo  ni  orodha  ya  baadhi  ya  dawa  tulizo  nazo :


1.   Dawa  ya  kuondoa  kitambi.
2. Dawa  ya  kupunnguza  unene
3. Dawa  ya  kupunguza  uzito.
4. Dawa  ya  kisukari.
5. Dawa  ya  kutibu  presha.
6. Dawa  ya   kuongeza  nguvu  za  kiume ( JIKO )
7. Dawa  ya  kuongeza  askhki  ya  tendo  la  ndoa  kwa  wanawake (  Hii  inawasaidia  hata  wanawake  wasiofika  kileleni )
8. Dawa  ya  kuondoa  harufu  mbaya  kinywa (  Dawa  ya  kunywa  na  kusukutua )
9. Dawa  ya  kutibu  tatizo  la  fizi  kuvimba.
10. Dawa  ya  kutibu  meno  bila  ku'ngoa.
11. Dawa   ya  kutibu  sikio  lililo  vimba.
12. Dawa  ya  kutibu  chango  la  kike  ( fibroid/ uvimbe  wa  tumboni  kwa  wanawake  )
13. Dawa  ya  kuondoa  maumivu  wakati  wa  hedhi  kwa  wanawake.
14. Dawa  ya  kutibu  chango  la  kiume.
15. Dawa  ya  uzazi  kwa  wanawake.
16. Dawa  ya  kutibu  tatizo  la  kujikojolea  kwa  watoto  na  watu  wazima ( BED WETTING )
17. Dawa  ya  kutibu  kolestrol.
18.  Dawa  ya  kuondoa  chunusi  na  madoa  ya  kwenye  ngozi.
19. Dawa  ya  kuzifanya  nywele  kuwa  nyeusi  na  zenye  afya.
20. Dawa  ya  kuondoa  fangasi  za  ukeni.
21. Dawa  ya  kutibu  tatizo  la  harufu  mbaya  ya  mwili.
22. Dawa  ya  kuondoa  sumu  mwilini.
23. Dawa  ya  GAUTI.
24. Dawa  ya  miguu  kuwaka  moto.
25. Dawa  ya  vidonda  vya  tumbo.
26. Dawa  ya  kuacha  pombe, sigara  na  punyeto  kwa  wanaume.
27. Dawa  ya  kutibu  tatizo  la  mdomo  kwenda  upande.
28.  Dawa  ya  kutibu  fangasi  za  miguuni.

29. Vipele (chunusi) Na Ngozi:
 30. Upara (Alopeshia):
31. Pumu: 

32. Kuumwa kwa Mgongo (Sehemu ya Chini):
33. Mwiba Wa Nyuki Na Nyigu:
34. Kibofu cha Mkojo/Figo:
35. Jiwe La Figo:
36. Maathiriko Ya Figo:
37. Mafua:
38. Kikohozi: 
39. Bawasiri:
40. Shinikizo la damu (high blood pressure):
41. Uwasho Na Maumivu Ya Jino Na Ufizi:
42. Kumbukumbu (memory):
43. Utaratibu Wa Ulinzi Wa Mwili:
44. Kutoweza kuzuia haja ndogo (mkojo):
45. Jaundice:
46. Maumivu Sugu ya kichwa (Maumivu ya kichwa ya upande mmoja, maumivu ya kichwa):   
47. Ngozi kavu:
48. Upepo:
49. Minyoo:
50. Kunyonyoka Nywele
51. Maumivu ya Kichwa
52. Ukosefu Wa Usingizi
53. Chawa Na Mayai Yake
54. Kisunzi Na Maumivu Ya Sikio
55. Upaa Na Mabaka
56. Malengelenge ya Neva katika Ngozi
57. Maradhi Ya Wanawake Na Uzazi
58. Meno Na Maumivu Ya Mafido na Koo
59. Maradhi Ya Tezi
60. Chunusi (Acne)
61. Maradhi Yote ya Ngozi
62. Sugu (Chunjua) (Wart)
63. Kuung`arisha Uso Na Kuurembesha
64. Kuunganisha Mvunjiko Haraka
65. Mvilio Wa Damu (Contusion)
66. Baridi Yabisi (Rheumatism)
67. (Ki) Sukari (Diabetes)
68. Shinikizo la Damu (High Blood)
69. Uvimbe Wa Figo(Nephritis)
70. Kuvunjavunja Vijiwe Vya Tumboni
71. Kukojoa Kwa Maumivu (Dysuria)
72. Kukojoa Bila Kukusudia
73. Jongo (Edema)
74. Kifuko Cha Nyongo Na Vijiwe Vyake
75. Wengu
76. Maradhi Yote ya Kifua na Baridi
77. Moyo na Mzungukoa wa Damu
78. Mchango (Msokoto Wa Tumbo) (Colic)
79. Kuhara
80. Uziwi
81. Gesi Na Maumivu
82. Asidi (Acidness) 
83. Uvimbe Wa Tumbo
84. Maradhi Ya Macho
85. Amiba (Vijidudu) (Amebiasis)
86. Kichocho (Bilharziasis)
87. Kutoa Wadudu Tumboni
88. Utasa
89. Tezikibofu (Prostate gland)
90. Pumu (Asthma)
91.Kidonda
92. Udhaifu kwa Ujumla
93.Kuleta Hamu Ya Kula
94.Kutibu Ulegevu Na Uvivu
95. Nishati akilini Na Wepesi Wa Kuhifadhi
.



 PAMOJA  NA  DAWA  NYINGINEZO  NYINGI.  Kwa  leo  orodha  hii  inatosha, tutaendelea  kuwa  tunaweka  orodha  ya  dawa  tulizo  nazo  mara  kwa  mara  na  kujibu  baadhi  ya  maswali  yanayo  ulizwa  mara  kwa  mara  na  wateja  wetu  pamoja  na  wasomaji  wa  blogu  yetu. Endelea  kutembela  blogu  yetu  mara  kwa  mara  na  KARIBU  SANA  NEEMA  HERBALIST



 .

 KWA  MAELEZO  ZAIDI, WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  0767010756   AU  0766538384

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA 

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka