Skip to main content

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUWA NA MAUMBILE YALIYO SINYAA NA KURUDI NDANI


Related image


AFIKISHWA   MAHAKAMANI KWA  KUWA  NA  MAUMBILE  YALIYO SINYAA  NA  KURUDI NDANI
………………………………………………………………

Mwanaume  mmoja  ( JINA  KAPUNI ) mkaazi  wa  jijini  Dar  Es  Salaam, mwenye  umri  wa  miaka  50  ameelezea  namna  alivyo  kumbwa  na  balaa  la  kufikishwa  mahakamani  kwa  sababu ya  kuwa na  maumbile yaliyo sinyaa , legea  na  kunywea  ndani  kiasi  cha  kuyafanya  yaonekane  kama  ya  mtoto mdogo.

Hayo  yalisemwa  na  jamaa  huyo  siku  ya Jumatatu ya  tarehe  02  OKTOBA  2017  alipofika  katika  duka  la  NEEMA  HERBALIST  kwa  ajili  ya  kutafuta  tiba  ya  tatizo  la  kulegea na kusinyaa  kwa  maumbile  yake  ya  kiume, tatizo  ambalo  kwa  mujibu  wake  anasema  limemsumbua kwa  muda  mrefu  sana  na  limemletea   madhara  makubwa  ikiwa  ni pamoja  na  kufikishwa  mahakamani  na  mke  wake.
Jamaa  anasema


“  Nilifunga  ndoa ya  bomani  na  mke  wangu mpendwa, mnamo mwaka  wa  1997  hapa  hapa jijini  Dar  Es  Salaam.  Wakati  huo  sikuwa  na  shida  yoyote  kuhusu maumbile  yangu. Nilikuwa vizuri  tu  na  niliwajibika  vizuri  kwa  mke  wangu “.

Chanzo  cha  tatizo  kilianza  miaka  mitatu  baadae, yaani mwaka  2000. Nilipata  nafasi  ya  kazi  kwenye  nchi moja  iliyopo kusini  mwa  bara  la  Afrika.

Kwa  sababu  ya  kazi  hiyo  kuwa  na  mshahara  na  maslahi makubwa  kuliko  nilivyo kuwa  nalipwa, hapa  nililazimika kuondoka  Tanzania na  kwenda  kufanya  kazi huko.

Mke  wangu  alibakia  hapa  hapa  Dar  Es  Salaam, kwa  sababu   yeye  pia  alikuwa  muajiriwa wa serikalini.

So nikawa nimeondoka, na  makubaliano  na  mke  wangu  yalikuwa tuwe  tunatembeleana wakati  wa  likizo, eidha  mimi  niwe  nakuja Dar au  yeye  awe  ananifuata  huko.


Miezi  ya  mwanzo  hali  ilikuwa  shwari, nilikuwa nakuja  kumtembelea  Dar na  yeye  alikuwa  anakuja  kunitembelea  huko ugenini mara  moja  moja.

Muda  ulivyo kuwa  unazidi  kwenda ndo hali ya  kutembeleana  ikawa  inapungua, ilikuwa  naweza  kukaa  mwaka mmoja  bila  kurudi likizo nyumbani.


JINSI   TATIZO  LILIVYO MUANZA


Hiyo  nchi  niliyo kwenda kutembea inatajwa kuwa  na idadi kubwa  sana  ya  waathirika  wa  Ukimwi. 

Kwa  sababu  hiyo  sasa, nilipokuwa  huko,sikutaka  kabisa  kujihusisha  na  mahusiano na  mwanamke  yoyote, na  kila  nilipokuwa  nikijisikia  hamu  ya  tendo  la  ndoa  nilikuwa  nafanya  punyeto.

Nilifanya  hivyo ( Punyeto ) kwa  muda  mrefu  sana. Nilikuwa  nastop pindi  nilipokuwa  nakuja  likizo  Dar.


JINSI TATIZO  LILIVYO MUATHIRI


Mwaka  2010  nilirejea  rasmi  nyumbani  baada  ya  mkataba  wangu  huko ugenini  kuwa  umeisha.

Hata  hivyo  pamoja  na fedha  na  mali  nilizo  chuma  katika  kipindi chote  cha  miaka  kumi niliyo  kuwa  ugenini,. maumbile  yangu  ya  kiume  yalikuwa  yameathirika  kwa  kiasi  kikubwa  sana  kwa sababu  ya  kufanya  masturbation kwa  muda  mrefu na  hivyo  kuondoa  kabisa  furaha  yote  ya  fedha  na  mali  nilizo  chuma huko ugenini.

Maumbile yangu  ya kiume yalikuwa  yamelegea  sana. Maumbile  yalikuwa  yamenywea  sana  na  kurudi  ndani  kiasi  cha  kuonekana  kama  ya  mtoto mdogo.

Hali ilikuwa  mbaya sana  nyakati za  baridi  au  nikiwa  nimemaliza  kufanya  tendo  la  ndoa.

Kwa  kawaida  maumbile  yangu  ya  kiume  hayakuwa  madogo  kiasi  hiki., ila  hiyo  punyeto  ya muda  mrefu ndio  iliyo  sababisha  yote  hayo.


JINSI  TATIZO  LILIVYO  ATHIRI  NDOA YAKE

Tatizo  hili  lili iathiri  ndoa  yangu  kwa  kiasi  kikubwa  sana, kwa sababu kwanza  sikuwa  kabisa  na  hamu  ya  tendo la  ndoa, na  ilikuwa  ikitokea  nimefanya  basi  nilikuwa  sina  uwezo wa  kuchukua dakika  moja  nakuwa  nimemaliza  na  nikimaliza  kinacho fuatia  huwa  ni  maumivu makali  sana  kwenye  misuli  ya  uume  na  ninakuwa  sina  uwezo  wa  kurudia  tena  tendo  hadi  kesho  yake.

Kitu kingine, maumbile  yangu  yanakuwa  yamesimama  yakiwa  katika hali ya  ulegelege  na  ninapomaliza  tendo, basi  husinyaa sana na  kurudi  ndani  kiasi  cha  kuyafanya  yaonekane  kama  ya  mtoto mdogo.

Hali  ilizidi  kuwa  mbaya  kadri siku zilivyo  kuwa  zinasonga. Miezi  mitatu  baadae  ukatokea ugomvi mkubwa  sana baina  yetu.  Ugomvi ulisababishwa  na  kubadilika  kwa  mke  wangu. Akaanza  kuwa  ananionyesha  dharau  za  waziwazi.

Wakati mwingine  akawa  analala  nje  ya  nyumba  bila  taarifa  au  anakuja  usiku akiwa  amelewa  sana  na  hakuwa  akiniuliza  kabisa  kuhusu  tendo la  ndoa.

Kuna siku nilifuma  meseji  yake  kutoka  kwa  mwanaume  mwingine. Alikuwa  akimuomba  msamaha  mwanaume  huyo  na  kwa  jinsi  nilivyo soma  mazungumzo  yao  ni kwamba  mke  wangu ndio  alikuwa  anamtunza  huyo  mwanaume  .

Ulitokea ugomvi mkubwa  sana  ambap mwisho  wa  siku mimi na  mke  wangu  tukatengana  vyumba. Yeye akawa  analala kwenye  chumba  chake kilichopo  upande  mmoja wa  nyumba  na  mimi  nikahamia  nyumba  nyingine . Nyumba  zote  hizi  zipo ndani ya  compound  moja.



MKE AAMUA   KUVUNJA  NDOA


Tuliishi kwa  kutengana  vyumba  kuanzia  mwaka huo  wa  2010  hadi  mwaka 2013.

Na  katika  kipindi  chote  hiki  cha  miaka  mitatu  sikuwahi kukutana  kimwili na  mke  wangu  kwa  sababu  licha  ya  kutokuwa  na  maelewano mazuri, sikuwa  na  hamu ya tendo la  ndoa. Hali  yangu  ilikuwa  imezidi  kuwa  mbaya  maradufu.
Mwaka  huo  huo  wa  2003  katikati, mke  wangu akaenda  mahakamani  kufungua  kesi ya  kubatilisha  ndoa  yetu ili  aweze  kuomba  talaka.

Nililetewa  barua  ya  wito wa  kufika  mahakamani  kusikiliza shauri la  maombi  ya kubatilisha  ndoa lililo funguliwa  na  mke  wangu  mahakamani hapo.


SABABU   ALIZO TOA   MKE WANGU KATIKA  MAOMBI  YAKE  YA  TALAKA.

Wakati  wa  kusikilizwa  kwa  shauri, wakili wa  mke  wangu  alimuomba mtukufu  hakimu, aliye kuwa  anasikiliza  shauri  kubatilisha  ndoa  yetu  kwa  sababu, imevunjika  katika  namna  ambayo  haiwezi  kurekebishika.

Wakili  huyo  aliendelea  kutoa sababu  kama vile, mimi na mke  wangu  kutengana  kwa  zaidi  ya  miaka  miwili  pamoja  na malalamiko  ya  mke  wangu  kuhusu  mimi  kutokuwa na  uwezo  wa  kumtimizia  haki  yake  ya  ndoa.

Wakili  wa  mke  wangu  aliongeza “  Kutokuwa  na  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa  ni sawa  sawa  na  ukatili dhidi  ya  mwenzi  au  kumtelekeza  mwenzi, mambo  ambayo  yanaweza  kuifanya  ndoa  ivunjike  katika  namna  ambayo  haiwezi  kurekebishika . 

Hivyo  basi  ninaiomba  mahakama  hii  tukufu  ibatilishe  ndoa hii.

Katika  ushahidi  wake  mbele  ya  mahakama, mke  wangu alisema  hawezi  kuendelea  kuishi na  mimi  kwa  sababu  nimethibitika kutokuwa  na   uwezo  wa  kufanya  nae  tendo  la  ndoa  na  hivyo  kupoteza  mantiki  au  maana  halisi  ya  kuwa  katika  ndoa.

Shauri  hilo  lilisikilizwa  kwa  kama  muda wa  miezi  sita, na mwisho wa  siku  mahakama  ikabatilisha  ndoa.

Baada  ya  kubatilisha  ndoa ,ikatolewa  talaka, na  kufuatiwa  na  kugawana  mali  tulizo  chuma  pamoja.

Miezi  michache  baada  ya  ndoa  yetu  kuvunjwa  na  mahakama, mke  wangu  alifunga  ndoa  na  mwanaume  mwingine.

Jambo  hili  liliniumiza  sana  na  leo hii  nipo hai  kwa  Neema  za  Mungu  tu kwa  sababu  vinginevyo  ningekuwa  sipo tena  duniani.


Changamoto  aliyo kutana  nayo  mwanaume  huyo  hapo  juu, imewakumba  wanaume  wengi  sana  duniani, na  laiti kama  kila  mwanaume  akipewa  nafasi  ya  kuelezea  experience  yake  kutokana  na  tatizo  hili, basi sidhani  kama   kutakuwa  na  nafasi  itakayo  toshea  kuandika  maelezo  ya  kila  mmoja.


TATIZO  LA  KUDUMAA, KUSINYAA , KUNYWEA  NA  KURUDI NDANI KWA  MAUMBILE  YA KIUME  HUSABABISHWA  NA  MAMBO  MENGI,. MOJA  KATI  YA  MAMBO  MAKUU  YANAYO  SABABISHA  TATIZO  HILO  NI  SUALA  LA  UPIGAJI PUNYETO.
KUFAHAMU  JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO LA KUDUMAA , KUSINYAA  NA  KUNYWEA  KWA  MAUMBILE  YA  KIUME, PAMOJA  NA  TIBA  YAKE, TEMBELEA :

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...