Mbuzi wa maziwa. Maziwa ya mbuzi yana faida nyingi sana katika afya ya mwanadamu kwa ujumla. Maji kati ya kazi za maziwa ya mbuzi ni pamoja na kutumika kama lishe maalumu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. |
Wanyama na ndege au bidhaa ama
vitu vitukanavyo nao huweza
kutumika katika tiba dhidi
ya magonjwa na matatizo
mbalimbali ya kifaa.
Mbuzi Dume aliye komaa. Nyama, korodani na dhakari zinazo faa kutumika kama lishe maalumnu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu za kiume vinatakiwa kutokana na mbuzi beberu aliye komaa kama huyu. |
Mfano nyama
ya bata iliyo chemshwa bila
kutiwa chumvi hutumika
katika tiba ya
kuongeza sperm count huku mayai
ya kuku wa kienyeji
yakitumika katika tiba dhidi
ya vidonda vya tumbo.
Katika makala ya
leo tutatazama namna
mnyama mbuzi anavyo tumika
katika tiba asilia
ya tatizo la
ukosefu na/ama upungufu
wa nguvu za
kiume.
Asali ya Tende |
Mbuzi jike na dume kwa pamoja wanaweza kutumika katika tiba dhidi ya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume kwa namna tofauti tofauti.
Hiriki ya unga ( Hiriki iliyo sagwa ) |
Wanyama hawa hawatumiki kama tiba persee
ila wanatumika kama
lishe maalumu kwa
watu wanao tumia tiba
asilia za tatizo la
nguvu za kiume .
Matumizi ya mnyama
huyu si tu
kwa wanaume wenye
tatizo la ukosefu
na ama upungufu
wa nguvu za
kiume, bali hata kwa
wanaume ambao hawana
tatizo hilo lakini
wanataka kuzitunza,kuzilinda na / ama kuziimarisha
nguvu zao.
JINSI MBUZI
WANAVYO TUMIKA KATIKA
TIBA YA TATIZO
LA UKOSEFU NA/ AMA
UPUNGUFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Mbuzi anaweza kutumika
kama sehemu ya
tiba -lishe ama
lishe maalumu kwa
wanaume wanao sumbuliwa
na tatizo la
ukosefu na /ama
upungufu wa nguvu
za kiume kwa
kufuata utaratibu ufuatao
A.
MBUZI
JIKE
Mahitaji
1.
Lita
moja ya maziwa ya mbuzi
2.
Punje kumi
na nne za tende
au vijiko vikubwa vinne
vya asali ya
tende
3.
Kijiko kimoja
kikubwa cha unga wa
hiriki (Unga wa
hiriki unapatikana kwa
kusaga hiriki. Kwa lugha
nyingine, unga wa hiriki ni
hiriki iliyo sagwa )
4.
Vijiko
viwili vidogo vya
dawa asilia ya
Jiko.
5.
Kikombe cha
maji ya moto au vuguvugu chenye
ujazo wa mills
250.
Matayarisho
1.
Changanya
lita moja ya
maziwa fresh ya mbuzi na
punje kumi na nne
za tende au changanya
hiyo lita moja ya
maziwa fresh ya
mbuzi na vijiko vikubwa
vinne vya asali
ya tende. Tia
kwenye chupa au chombo
chochote kisafi na salama
na ambacho unaweza
kukitumia kuhifadhia, kisha koroga
na uhifadhi ndani
ya friji halafu
acha mchanganyiko wako usiku kucha.
2.
Ikifika asubuhi, changanya mchanganyiko huu na kijiko kimoja
kikubwa cha hiriki
iliyo sagwa, vijiko vitatu
vya dawa ya
jiko iliyo katika
mfumo wa unga unga
kisha koroga halafu
gawanya dawa yako katika portion mbili zenye
ujazo sawa.
MATUMIZI
Tumia
kunywa lishe hii mara
mbili kwa siku asubuhi
na usiku na utafanya hivyo
mara moja kwa
wiki kwa wiki
nne mfululizo. Hapa maana
yake ndani ya mwezi mmoja, utatakiwa kuwa umetumia
lishe hii mara
nne tu.
JAMBO
LA KUZINGATIA
Lishe
hii inaenda sambamba na
matumizi ya dawa
asilia ya jiko.
Unashauriwa kutumia lishe
hii katika kipindi ambacho
unatumia jiko pia. Ingawa
lishe hii utakuwa ukiitumia mara
moja kwa wiki kwa muda wa
wiki nne, dawa ya
jiko utatakiwa kuitumia
mara mbili kwa
siku kwa muda
wa siku thelathini.
B: MBUZI DUME
Sehemu ya mbuzi
dume inayo tumika
katika tiba dhidi
ya tatizo la
ukosefu na upungufu
wa nguvu za
kiume ni KORODANI, NYAMA (HUSUSANI NYAMA YA MBAVU
AU SHINGO ) pamoja na DHAKARI.
MAHITAJI
i.
Korodani za
mbuzi zilizo
ii.
Pink salt (
Chumvi ya pink )
kijiko kidogo kimoja
iii.
Dawa ya
jiko ( Eidha iliyo sagwa
katika unga au
iliyo katika mfumo wa
mizizi )
iv.
Sufuria lenye
uwezo wa kubeba kuanzia
lita tatu za maji
na kuendelea
v.
Maji lita
moja na nusu
MATAYARISHO
i.
Chukua
korodani
za mbuzi kisha tia
kwenye sufuria
ii.
Ongeza maji
lita moja na
nusu
iii.
Ongeza pink salt
kijiko kidogo kimoja
iv.
Ongeza vijiko
vitatu vidogo vya dawa
ya jiko iliyo katika
mfumo wa unga
au kipande kimoja cha mzizi wa
jiko.
v.
Chemsha mchanganyiko
wako hadi utokote.
vi.
Ipua,
chuja makapi weka
pembeni ubaki na
supu yako.
MATUMIZI
Tumia
kunywa supu yako
hii mara moja tu.
JAMBO
LA KUZINGATIA
Lishe
hii inaenda sambamba na
matumizi ya dawa
asilia ya jiko.
Unashauriwa kutumia lishe
hii katika kipindi ambacho
unatumia jiko pia. Ingawa
lishe hii utakuwa ukiitumia mara
moja kwa wiki kwa muda wa
wiki nne, dawa ya
jiko utatakiwa kuitumia
mara mbili kwa
siku kwa muda
wa siku thelathini.
Ama kwa
upande wa DHAKARI
ya mbuzi, jinsi inavyo tumika
kama lishe maalumu
kwa wanaume wenye
tatizo la ukosefu
na upungufu wa nguvu
za kiume , matayarisho yake
yapo kama ifuatavyo :
i.
Dhakari za
mbuzi kuanzia tatu hadi
tano ambazo zimenyonyolewa tayari( Hizi
unaweza kuzipata ukienda
machinjioni )
ii.
Pink salt
nusu kijiko kidogo
iii.
Vijiko vudogo
viwili vya dawa
ya jiko iliyo katika
unga.
JINSI YA
KUTAYARISHA
Kausha dhakari zako
kwenye mwanga wa jua.
Zikisha kauka, zisage hadi zisagike
kisha changanya na
nusu kijiko cha pink salt, na
vijiko viwili vidogo
vya daw ya jiko
iliyo katika ungaunga
kisha tumia kulamba
mchanganyiko wako . Utakuwa unafanya
hivyo mara mbili
kwa siku asubuhi
na jioni. Utafanya hivyo
hadi mchanganyiko wako
utakapo kamilika.
NYAMA
YA BEBERU ( NYAMA YA
MBUZI DUME ) KAMA
LISHE MAALUMU KWA WANAUME
WENYE TATIZO LA
UKOSEFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Jinsi ya
kutumia nyama ya
beberu la mbuzi kama
lishe maalumu kwa
mwanaume mwenye tatizo
la ukosefu na / ama upungufu
wa nguvu za
kiume, fuata maelekezo yafuatayo :
Mahitaji
i.
Nyama ya
beberu iliyo chomwa, kiasi cha
nusu kilo au kilo moja
kulingana na uwezo
wako wa kula.
ii.
Nusu lita
ya asali ya tende
au robo kilo ya
tende
iii.
Pink
salt kijiko kidogo kimoja
iv.
Vijiko vidogo
vitatu vya dawa
ya jiko.
MATAYARISHO
Changanya kijiko
kimoja kidogo cha
pink salt kwenye nusu lita ya
asali ya tende kisha ongeza
ndani yake vijiko vidogo
vitatu vya dawa
ya jiko halafu koroga
hadi vichangamane.
MATUMIZI
Chukua kipande cha
nyama yako ya
mbuzi, chovya kwenye mchanganyiko
wako kisha kula
hadi utakapo maliza
vipande vyako vyote
vya nyama. Utafanya hivyo mara
moja tu inatosha sana.
AU
KAMA HAUNA ASALI YA
TENDE
Changanya pink salt
na dawa ya
jiko, halafu chukua kipande
chako cha nyama, chovya kwenye
mchanganyiko wa jiko
na pink salt halafu
kula pamoja na punje moja ya tende(Naposema punje simaanishi
mbegu, namaanisha ile sehemu ya tende
inayo faa kuliwa )
Utafanya hivyo hadi kiasi chote cha
tende kitakapo isha. Na
utafanya hivyo mara
moja tu.
JIANDAE KUSOMA
MAKALA NYINGINGE KUHUSU
AINA MBALIMBALI ZA
LISHE MAALUMU KWA
WANAUME WENYE TATIZO LA
UKOSEFU NA UPUNGUFU
WA NGUVU ZA
KIUME.
MAKALA HAYA
YAMEANDALIWA NA DUKA
LA NEEMA HERBALIST LILILOPO
UBUNGO JIJINI DAR ES
SALAAM, JIRANI NA SHULE
YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING NYUMA
YA JENGO LA
UBUNGO PLAZA.
WASILIANA NASI
KWA SIMU NAMBA
0766 53 83 84.
NA
KWA HABARI NA
MAKALA MBALIMBALI KUHUSU
TIBA ASILIA. TUTEMBELEE KILA
SIKU KUPITIA BLOGU YETU : www.neemaherbalist.blogspot.com
Comments
Post a Comment