Skip to main content

AINA KUU MBILI ZA MAUMBILE MADOGO YA KIUME

Neema  Herbalist    &  Nutrtional  Foods  Clinic
AINA   KUU   MBILI  ZA  MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME
Maumbile  madogo  ya  kiume  yamegawanyika  katika  makundi  makuu  mawili:
1.   Maumbile  Madogo  ya  kiume  kwa  kuzaliwa ( Kurithi )
2.   Maumbile  Madogo  ya  kiume  yatokanayo  na  kufanya  punyeto kwa muda  mrefu.

MAUMBILE   MADOGO   YA  KIUME  KWA  KUZALIWA (  Kurithi  )
Tafiti  za  kitaalamu  zinaeleza  kuwa, kama  ilivyo  kwa baadhi  ya  wanaume  wenye  maumbile  makubwa  ya  kiume, baadhi  ya  wanaume  wana  maumbile  madogo  ya  kiume  kwa  sababu  za  kinasaba. 
Kwa  lugha  nyingine  ni kwamba, wanaume  hawa  wanakuwa  wamerithi  maumbile  yao  kutoka  kwa  wazazi  au  mababu  zao.
Hii  ndio  sababu  kubwa, wanaume  kutoka  kwenye  baadhi  ya  makabila  au  jamii, husifika  kwa  kuwa  na  maumbile  makubwa  ya  kiume  ilihali  wanaume   kutoka  kwenye  baadhi  ya  makabila  na  /au jamii  wakisifika  kuwa  na  maumbile  madogo  ya  kiume.
Mfano  mzuri  unatolewa  hapa, ni  kuhusu  wanaume  wa  China  ambao  wanatajwa  kuwa  na  maumbile  madogo  ya  kiume.
Mfano  mwingine  unatajwa  kuwa,  asilimia  kubwa  ya  vijana  wa  kiume  walio zaliwa  katika  familia  moja  huwa  na  maumbile  ya  kiume  yenye  size  zinazo  karibiana.
Wanaoamini  katika  nadharia  hii  wanadai  kuwa, ni    nadra  sana  kukuta katika  familia  yenye watoto  wa kiume  mfano  watano, halafu  size  za  maumbile  yao  ya  kiume  zikawa  zinato fautiana  sana.
Huwezi  kukuta  katika  familia  moja, mtoto  mmoja  akawa  na  maumbile  madogo   halafu mwenzake  akawa  na  maumbile  makubwa.
Katika  familia  moja, kama  kuna  kijana  wa  kiume  ana  maumbile  madogo  ya kiume, basi  kuna  uwezekano  mkubwa , ndugu zake  wa  kiume  wakawa  na  maumbile  madogo  pia.
Vivyo  hivyo  kama  kuna kijana  ana  maumbile  makubwa  ya  kiume, basi  kuna  uwezekano  mkubwa, kaka  zake  nao wakawa  na  maumbile  makubwa  ya  kiume.
Hii ni  kwa  sababu  wamerithi  maumbile  yao, kutoka  kwa  wazazi  ama  babu  zao.

HATA  HIVYO  upo  uwezekanao  mkubwa, baba  mwenye  maumbile  madogo  ya  kiume  akawa  na  watoto  wa  kiume  wenye  maumbile  makubwa  ya  kiume  au  kinyume  chake .
Chanzo  cha  hali  hii  kinatajwa  na  wataalamu  kuwa, inawezekana   watoto  wakawa  wamerithi  vinasaba  kutoka  kwa  wazazi ama  mababu  wa  upande  wa  umamani.
Wapo  wazazi  wa  kiume  ambao  wana maumbile  makubwa kupita  kiasi  lakini  wanapata  watoto  wa  kiume  wenye  maumbile  madogo.
Vile  vile  wapo  wazazi  wa  kiume  wenye  maumbile  madogo  ya  kiume  kupita  kiasi  lakini wanapata  watoto  wa  kiume  wenye  maumbile  makubwa kupita.
Hii  inatokea  mara nyingi  sana, na  sababu  inayo tolewa  na  wanasayansi  ni kwamba,  watoto  hao  wanakuwa  wamechukua  vinasaba  vya  maumbile  hayo  kutoka  kwa   wazazi   ama  mababu  wa  upande  wa  mama  zao.

NINI TIBA  YA  KUREFUSHA  MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME   KWA  KUZALIWA ?
Mpaka  sasa, hakuna  tiba  iliyo  thibitishwa  kitaalamu  na  kisayansi  kuwa  na  uwezo  wa  kurefusha  na/ama  kunenepesha  maumbile  madogo   ya  kiume  yatokanayo  na  kuzaliwa  ama  kurithi.
Tiba  iliyopo  ni  kama  maumbile  hayo  yamesinyaa  na  kudumaa  kwa  sababu  ya  mhusika  kufanya  punyeto  kwa muda  mrefu . Tiba  hii  ya  asili  huyarudisha  maumbile  hayo  katika  hali yake  ya  kawaida.

( LIPO  KUNDI  LA   WANAUME   WAO  KAMA WANO  WANA  MAUMBILE  MADOGO  BY NATURE  BUT IN ADDITION TO THAT  MAUMBILE  HAYO HAYO  MADOGO  YAMESINYAA  NA  KUWA  MADOGO  MARADUFU  KWA  SABABU  YA  KUPIGA  PUNYETO  KWA  MUDA  MREFU. WANAUME  WALIO  KATIKA  KUNDI  HILI   NDIO  WANAWEZA  KUSAIDIWA  KITABIBU, KWA  KUPEWA  TIBA  AMBAYO  ITAYARUDISHA  MAUMBILE  HAYO  MADOGO  YALIYO SINYAA, KATIKA  HALI  YA  KAWAIDA. YATASALIA  KUWA  KATIKA  UMBO LAKE  LA  ASILI, LAKINI  YAKIWA  IMARA  NA  THABITI )


MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME  YATOKANAYO   NA   KUFANYA  PUNYETO  KWA  MUDA  MREFU
Haya  ni  maumbile  ya  kiume  ambayo  yamedumaa, yamesinyaa, yamelegea, yamenywea  na  kurudi  ndani  kiasi  cha  kuyafanya  yaonekane  ya  mtoto  mdogo.
 Kwa  ufupi , maumbile  haya  yamesinyaa  na  kuwa  madogo  kwa  sababu  ya  kufanya  punyeto  kwa muda  mrefu. 

JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA NA  KURUDI  NDANI  KWA  MAUMBILE  YA  KIUME PAMOJA  NA  TIBA  DHIDI  YA MAUMBILE  YA  KIUME  YALIYO  DUMAA NA KUSINYAA  KWA  SABABU  YA  PUNYETO.

Kudumaa , kusinyaa  na  kunywea  au kurudi ndani  kwa  uume  ni tatizo  linalo  wakabili wanaume  wengi  duniani.

Dalili  za  tatizo  hili  ni  pamoja  na  kuwa na  maumbile madogo sana yaliyo dumaa, sinyaa  na  kurudi ndani  kiasi  cha  kuyafanya  yaonekane  kama  ya  mtoto  mdogo.

VYANZO  VYA  TATIZO  LA  KUDUMAA  NA  KUSINYAA  KWA  MAUMBILE  YA  KIUME.
Kwa  mujibu wa  tafiti  mbalimbali  za  kisayansi, tatizo la  kudumaa  na  kusinyaa  kwa  maumbile  ya kiume  huchangiwa na  mambo mengi.


Baadhi  ya  mambo  hayo  ni  pamoja na  kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu,  kuugua  chango  la  kiume,  kuugua  ngiri,  kuwa  na  uzito & unene  ulio pitiliza, kufanyiwa  upasuaji  wa  tezi  dume , uzee  na  kuugua  maradhi  yasababishayo  kupinda  kwa  uume.
Katika  makala  haya , tutaangazia  namna  suala  la  upigaji  punyeto  linavyo  sababisha  kudumaa  na  kusinyaa  kwa  maumbile  ya  kiume.



NINI  HUSABABISHA  UUME  KUSINYAA,KUDUMAA, KUNYWEA  NA  KURUDI  NDANI KIASI CHA  KUUFANYA  UONEKANE  KAMA  WA  MTOTO ?

Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali za kisayansi, Sababu  kubwa   inayo  sababisha  kudumaa, kusinyaa  na  kurudi  ndani    kwa  uume  ni kupungua  ama  kukosekana kabisa   kwa  homoni  zijulikanazo  kitaalamu  kama  HGH  ambazo  pamoja  na  mambo mengine , zina  husika  na  kuchochea  ukuaji  wa  seli zinazo  husika na  ukuaji  wa  misuli ya  uume na  uume  kwa ujumla.

MAMBO  YANAYO  SABABISHA  KUPUNGUA  AMA  KUKOSEKANA  KWA  HOMONI  ZINAZO  SAIDIA  KUCHOCHEA  UKUAJI  WA  MISULI  YA  UUME.

Kwa  mujibu  wa  tafiti za  kitaalamu, mambo  yanayo  sababisha  kupungua  na/ ama  kukosekana  kwa  homoni zinazo  saidia kuchochea  ukuaji  wa  misuli ya  uume ni  pamoja  na :
1.   Kujengeka kwa  mafuta kwenye  mishipa  ya ateri ipitishayo  damu kwenda  kwenye  misuli ya  uume  na  hivyo  kuzuia kutiririka  kwa  damu kwenda  kwenye  misuli  ya  uume.
2.    Kujengeka  kwa  tishu zisizo  vutika ndani ya  mishipa  ya  ateri. Tishu  hizi  huzuia  mishipa ya  ateri kupanuka  na hivyo  kushindwa kuongezeka ukubwa.

KWANINI  PUNYETO HUSABABISHA  UUME KUSINYAA, KUNYWEA  NA  KURUDI  NDANI KIASI CHA  KUONEKANA  KAMA  UUME  WA  MTOTO  MDOGO ?

Kwa mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  huathiri  na  kuharibu  mishipa  na  misuli  ya  uume na  hivyo kusababisha  kujengeka  kwa  mafuta na  tishu  zisizo vutika  kwenye  mishipa  ya  ateri na  hivyo  kuzuia  mishipa ya  ateri  kupanuka na  kuongezeka  pamoja  na  damu  kutiririka  kwenda  kwenye  misuli  ya  uume.

Mambo  hayo  mawili yanapotokea  huathiri  uzalishaji  wa homoni muhimu  zinazo  husika  na ukuaji wa misuli ya  uume, na hatimaye  hufanya  uume  wa  mhusika  kudumaa, kusinyaa, kunywea  na  kurudi ndani  kiasi  cha  kuufanya  uonekane  kama wa  mtoto.

 Homoni  hizo hujulikana  kama  HGH  na  huzalishwa  kwenye  ini.


Sababu nyingine   inayo  tajwa  na  wataalamu  ni kwamba, mtu  anaye fanya punyeto   hutumia  akili,  nguvu na  nishati  nyingi sana, jambo ambalo  huathiri utendaji  wa  ogani  nyingine  muhimu  katika  mwili , likiwemo  ini.

Ini  linapo kosa  nishati   ya kutosha  hushindwa  kufanya kazi  zake  vizuri  na  moja  kati  ya  kazi kubwa  za  ini  ni  pamoja  na  uzalishaji  wa  homoni  zijulikanazo  kitaalamu kama  HGH  ambazo  kama  ilivyo andikwa  hapo juu, zinahusika na  kuchochea  ukuaji  wa  sehemu mbalimbali  katika  mwili  wa  mwanadamu  ikiwemo   misuli  ya  uume.

Mbali na  kuathiri  utendaji  wa  ogani  nyingine  mwilini, upigaji  punyeto  husababisha  athari nyingine  kwenye  mwili wa  mwanadamu  kama  vile uchovu  sugu  wa mwili  pamoja na kunyonyoka kwa  nywele.

Athari nyingine  za  upigaji punyeto  ni  pamoja  na  kupoteza  kumbukumbu, kuwahi  kufika  kileleni  ambako  husababishwa  na  kulegea  kwa  mishipa  ya  ateri, kushindwa  kurudia  tendo  la  ndoa, kukosa  hamu  ya  tendo  la  ndoa, uume  kusimama  katika  hali  ya  ulegelege,   maumivu  wakati  wa  tendo  la  ndoa  husuani  wakati  wa  kurudia  tendo  la pili na    mara  baada  ya  tendo  la  ndoa  la  kwanza.

KWANINI   WATU WENGI  WANAO  JIHUSISHA  NA  UPIGAJI  PUNYETO  WANA  MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME YALIYO  DUMAA, SINYAA  NA  KURUDI NDANI.

Uzeofu  unaonyesha  kuwa,  asilimia  kubwa  ya  wanaume  ambao  wamewahi  kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu, wanakabiliwa  na  tatizo  la kuwa  na  maumbile  ya  kiume yaliyo dumaa, sinyaa  na  kurudi ndani.

SABABU  KUBWA   NI  HII  HAPA
Sababu  kubwa  ni kwamba   vijana wengi  wa  kiume, huanza  kujihusisha  na  punyeto   wakiwa  na  miaka  kumi  na sita , kumi na  saba  au  chini  ya  hapo.
Hiki ni  kipindi  ambacho  vijana  hawa  ndio  wanakuwa  wamebalehe.
Na kwa mujibu  wa  tafiti  za kisayansi, katika  kipindi  hiki cha  balehe  ndio  kipindi  ambacho  homoni za  HGH  ambazo huhusika   ukuaji  wa  sehemu  mbalimbali  za  mwili  ikiwemo  maumbile ya  kiume, huzalishwa  kwa wingi.
Kama  tulivyo ona  hapo  juu, upigaji  punyeto  huathiri  uzalishwaji  wa   homoni  hizo.
Mwisho wa  siku  maumbile  ya  kiume  ya  wahusika, hushinda  kukua  na  kuishia  kudumaa na  kusinyaa.
Na  hii ndio  sababu  kubwa  wanaume  wanao  kabiliwa  na  tatizo  hili  husalia  kuwa  na  maumbile yenye  ukubwa  ule  ule  wakati wa  kubalehe.

NINI  TIBA  ASILIA  YA  TATIZO  LA  KUDUMAA, KUSINYAA  NA  KURUDI NDANI KWA  MAUMBILE  YA  KIUME.

Kama uume wako  umedumaa, umesinyaa, umelegea, umenywea  na  kurudi ndani  kwa  sababu  ulifanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  na  unataka  kuondokana  na  hali  hiyo.
HII  NI HABARI NJEMA  SANA  KWAKO! 

Ipo  DAWA  YA  ASILI  ambayo  HUTIBU  na  KUPONYESHA  KABISA  tatizo la  KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA  NA  KURUDI NDANI  KWA MAUMBILE  YA  KIUME.
Ni  dawa  ya  asili  kabisa  isiyo  na  kemikali  yoyote ya  kiwandani  ambayo  hutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la kudumaa  na  kusinyaa  kwa  uume  ndani ya siku thelathini.

JINSI   YANAVYO   TUMIKA
Dawa  hii  ya  asili  hutumika  kwa  kuchua  uume. Na hutumika  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni kwa  muda  wa  siku  thelathini.


MAMBO   YANAYO FANYWA  NA  DAWA  HII YA  ASILI.

Dawa  hii  ya  asili  husaidia  katika  mambo  yafuatayo :
1.    Kuimarisha  na  kuipa  nguvu mishipa  iliyo legea kwa  sababu  ya  punyeto
2.   Hunenepesha  uume  ulio sinyaa  kwa  sababu  ya  punyeto
3.   Hurefusha  uume  ulio dumaa  na  kurudi ndani  kwa  sababu  ya  punyeto.
4.   Huimarisha  na  kuongeza  nguvu  za  kiume
5.   Hukupa  uwezo wa  kurudia tendo  bila  kuchoka
6.   Hukupa  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  muda  mrefu.
7.   Husaidia  kuongeza  na  kuimarisha  nguvu  na  nishati ya  misuli ya  uume.

JINSI YA  KUPATA  DAWA  HII

Kupata  dawa  hii, fika  katika  duka  la  kuuza  dawa  za  asili  la  NEEMA  HERBALIST  lililopo  UBUNGO  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  PLAZA  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.

Kwa  wateja  wetu  waliopo  jijini Dar  Es  Salaam, ambao  hawana  muda  wa  kufika  ofisini kwetu, tunayo huduma  ya  kuwapelekea  dawa  mahali  walipo  ndani ya  jiji la  Dar  Es Salaam  ( HOME & OFFICE  DELIVERY )
Kwa wateja  wetu waliopo  nje  ya mkoa  wa Dar  Es  Salaam na  Zanzibar, tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  mabus  na boti.

WASILIANA NASI  KWA  SIMU  NAMBA  0766  53  83  84
Na kufahamu  kuhusu  tiba  asilia ya  magonjwa  na  matatizo mbalimbali  ya  kiafya, tutembelee  kila  siku :



Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA 

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka