Mti wa
Mkomamanga ni mti
wenye faida nyingi
sana katika afya
ya mwanadamu.
Mti huu
una virutubisho –afya mbalimbali
ambavyo ni muhimu
katika afya ya
mwanadamu.
Virutubisho hivyo
vinapatikana kwenye magome, majani, mbegu, maganda ya
matunda, juisi ya matunda
pamoja na kwenye maua
ya mti wa
mkomamanga.
Zifuatazo ni
faida muhimu za mti wa
mkomamanga :
1.
Maganda ya
tunda la mkomamanga
yakichemshwa hutoa juisi
ambayo hutumika kama
dawa ya kufunga
kuhara.
2.
Majani
ya mkomamanga hutumika
kutibu hali ya
tumbo kujaa gesi
na kudhibiti tindikali
(acid) tumboni.
3.
Majani ya
mkomangana hutumika pia
katika kutibu tatizo
la kuhara damu
na kutibu maambukizi
ya bacteria katika
kibofu cha mkojo.
4.
Rojo
ya mbegu za
mkomamanga ikichanganywa na
maziwa fresh, hutumika kutibu
tatizo la mawe
kwenye figo.
5.
Fukuto
ya komamanga husaidia
kutibu minyoo aina ya
tegu pamoja na
uvimbe wa wengu.
6.
Komamanga husaidia
katika kutibu tatizo
la vidonda vya
tumbo.
7.
Komamanga pia
ni mahiri katika
kutibu magonjwa ya
kusendeka ( magonjwa ya
muda mrefu ), kama
vile saratani ya
tezi dume,saratani mbalimbali, kisukari, baridi yabisi
na uvimbe katika
maungio ya vidole ( gout )
8.
Komamanga husaidia
kuondoa sumu mwilini
9.
Husaidia katika
kupambana na tatizo
la uzito mwilini
10.
Husaidia kuua
virusi vya aina
mbalimbali mwilini
ANZA LEO, KUTUMIA
TUNDA LA MTI WA
MAKOMANGA KWA AJILI
YA KUTIBU AMA
KUJIKINGA NA MAGONJWA
MBALIMBALI.
Imeandaliwa na
NEEMA HERBALIST &
NUTRITIONAL FOODS CLINIC.
Simu :
0766 538384
Comments
Post a Comment