Skip to main content

ZIJUE FAIDA KUMI ZA MTI WA MSTAFELI





Stafeli  ni  tunda  lenye  faida  lukuki  kwa  afya  ya  mwanadamu.  Zifuatazo  ni  faida  muhimu  za  mti  wa  Mstafeli.

·       Juisi  yake  hutibu  kansa  kwa  haraka  na  kwa  ufanisi  zaidi.  Ina  nguvu  mara  elfu  kumi  ( 10,000/=)  zaidi  ya  tiba  ya  mionzi  katika  kuzuia  seli  za  kansa.



·       Hutumika  kutibu  maumivu  ya  nyuma  ya  mgongo  (  low  back pain )

·       Majani  ya  mti  wa  mstafeli  hutumika  kutibu  maumivu  ya  mishipa.  Yasage  majani  yake  mpaka  yalainike  kabisa, kasha  paka  taratibu  eneo  la  mishipa  lililo  na  maumivu  mara  mbili  kwa  siku.

·       Mstafeli  hutumika  kutibu  maumivu  ya  jongo/gout

·       Hurekebisha  usawa  wa  kiasi  cha  damu  na  sukari  mwilini.

·       Huongeza  kinga  ya  mwilini

·       Hudhibiti  ukuaji  wa  bacteria, virusi, vijidudu  nyemelezi  na  uvimbe.

·       Huongeza  stamina  ya  mwili  na  kurahisisha  kupona  haraka  unapokuwa  mgonjwa.

·       Hutibu  jipu  na  uvimbe.

·       Hukimbiza  chawa.

IMEANDALIWA  NA  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC
Tunapatikana  jijini  Dar  es  salaam  kwa  simu  namba  0766  53 83  84

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...