Skip to main content

FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI






Kitunguumaji ni aina ya mboga ya yungiyungi.

Ni mboga yenye harufu kali inayochangamsha.

Kitunguu  kimethibitika  kisayansi kuwa  na  manufaa  makubwa  sana  katika  afya  ya  mwanadamu.

FAIDA   ZA   KIAFYA  ZA  KITUNGUU  MAJI





Zifuatazo  ni  faida  za  kiafya  za  kitunguu  maji.

1.        Juisi  ya  Kitunguu  Huua  vijidudu  vya  kifua  kikuu.


Tafiti  mbalimbali  za  kisayansi  zimethibitisha   kuwa juisi ya  kitunguu  ina  uwezo  wa  kuua vijidudu vinavyo  sababisha  maradhi ya kifua-kikuu  (  Huua baada tu ya mgonjwa  kunusa moshi wake )

2.  Kitunguu  maji  huongeza  hamu  ya  kula.

Kitunguu maji kikifanyiwa kuwa  achari, ukali wake hupungua huongeza mno  hamu ya kula.

2.        Huupa  mwili  nishati  na  nguvu
Kitunguu  maji kikiliwa  kikiwa kimechomwa, huongeza nguvu na  nishati  mwilini  na  huimarisha misuli  ya  mwili.



3.         Huufanya  uso kunawiri
Kitunguu  maji  kikichomwa  na  kasha  kuliwa huufanya uso kuwa mweupe, mn’gavu  na  wenye  kunawiri.

4.         Kitunguu  maji  huongeza  hamu  ya  kula
5.         Kitunguu  husaidia  kulainisha  tumbo
6.         Kitunguu  husaidia  kutibu  tatizo  la  kukosa haja  kubwa
7.         Kitunguu  maji  kikipikwa  na  kuliwa  pamoja  na  samli  , husaidia  kuongeza  nguvu  za  kiume  pamoja  na  kuboresha  nguvu  za  kiume.
8.         Kitunguu  kikitengenezwa  supu  pamoja  na  nyama, huongeza hamu  ya  tendo  la  ndoa  kwa  wanawake.
9.         Kitunguu  maji  husaidia  kutibu  homa  ya  manjano.
10.    Kitunguu  maji  husaidia  kuvunja  vijiwe  tumboni
11.    Kitunguu  maji  hutumika  kutibu  tatizo  la  kukosa  hedhi  kwa  wanawake
12.    Kitunguu  maji  kina  utajiri  wa  Vitamini  C  ambayo  husaidia  kuzuia  kukua  kwa  bacteria  kwenye  jeraha na  kuongeza  nishati  kwenye  mbegu  za  kiume.
13.    Kitunguu  maji  kina  madini  ya  salfa,chuma  na  vitamin  ambayo  husaidia  kutia  nguvu  kwenye  mishipa
14.    Kitunguu  maji  husaidia  kuwatibu  wagonjwa  wa  kisukari.
15.    Kitunguu  maji  husaidia  kutibu  maradhi  ya  moyo  pamoja  na  kuimarisha  mfumo  wa  mzunguko  wa  damu mwilini.
16.    Kitunguu maji  kimethibitika kuwa  vijiuasumu  vyenye nguvu zaidi kuliko penesilini (penicillin) kwa hivyo hupoza kifua kikuu, kaswende (syphillis) na kisonono (gonorrhea), pamoja  na  kuua  vijidudu vingi vya hatari.


17.  Hutibu   tatizo  la  Pumu:
Kitunguu  maji  kikitumika  pamoja  na  asali, husaidia  kutibu  tatizo  la  pumu.

17.    Husaidia  kutibu  tatizo  la Uvimbe wa pafu (Pneumonia )


18. Kituu  maji  husaidia  kutibu  tatizo  la Saratani  za  aina  mbalimbali.(Cancer):

19. Kitunguu  maji  husaidia  kutibu  vidonda  ndugu.


20. Kitunguu  maji  husaidia  kutibu  tatizo  la  mvilio wa damu

21. Kitunguu  maji  husaidia  kutibu  majipu


22. Husaidia  kutibu  tatizo  la Chunusi:
23.  Husaidia  kuondoa  tatizo  la  Ukurutu (Eczema) kwenye  ngozi.

24.  Husaidia  kutibu  Saratani ya ngozi.

25. Husaidia  kutibu  matatizo  ya  figo.

26. Husaidia  kutibu  tatizo  la  Kikohozi kwa wakubwa na wadogo

27. Husaidia  kutibu  maradhi ya macho:
Kikohozi:

28. Husaidia  kupunguza uzito  wa  mwili.

IMETAYARISHWA  NA  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL FOODS  CLINIC  0766  538384.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA