Skip to main content

KISA MARADHI YA KISUKARI, MKE AMKIMBIA MUME WAKE NA KUHAMIA KWA JIRANI !




Picha  haihusiani  na  tukio


Mwanaume    mmoja  wa  makamo mkaazi  wa  mkoani  Morogoro, nchini  Tanzania, amekutana na  adha  ya  maisha, baada  ya kukimbiwa    na  mke  wake wa ndoa huku  sababu  kuu    ikitajwa kuwa  maradhi  ya  kisukari  yanayo mkabili  mwanaume  huyo kwa  muda  mrefu.

 Shuhuda  wa  kisa  hiki, ameeleza  kuwa,  mwanamke  huyo  baada  ya  kumkimbia  mume  wake  wa  ndoa, amehamia  kwa  mwanaume  mwingine  ambae  anaishi  katika  nyumba  jirani  na  ananapoishi  mume  wake  huku  akimuacha  mumewe  akiwa  anateseka  na  maradhi  ya  kisukari pasi  na  msaada  wowote !.




Kisa  hiki  kinasimuliwa  na  Mchungaji & Mwinjilisti  Daniel  Kulola, alipokuwa  akihubiri  huko  Chamwino, mkoani  Dodoma.  Katika  mahubiri  haya, Mchungaji   Daniel  Kulola  anasikika  akisema :

   Wakati  nakuja  kwenye  basi, mtu  mmoja  akanipigia  simu. Aliokoka  mwaka  97  wakati nahubiri  Shinyanga. Yule  ni  mwalimu  wa  sekondari, sasa  hivi   amepandishwa  cheo, amekuwa  Mratibu wa  Elimu. Anasema  ‘ KILA  NIKIFUMBA  MACHO, NAONA  KIFO!  PRESHA  YANGU  IPO  JUU  KULIKO  KAWAIDA, NA  NIMEPIMWA  NIMEKUTWA  NINA  KISUKARI.

KISUKARI  KIMENIFANYA  MKE  WANGU  ANIKIMBIE. AMEENDA  KUOLEWA  NA  JIRANI  YANGU. KWA  HIYO  MKE  WANGU  ANAPITA  MBELE  ZA  MLANGO  WA  NYUMA  YANGU. NA  MWANAUME   MWNGINE!

Fikiria maumivu  hayo. Mke  wako  wa  ndoa!, halafu  anapita  mbele  ya  nyumba  yako,kwa  sababu  wewe  ni  masikini, tena  unaumwa ! Umepata  kisukari, na  presha  ni kubwa! Yule  mtu  anasema  am ready  YANI  NINAONA  KIFO  KIPO  MBELE  YANGU….. "

Kusikiliza  clip hii, bofya  kwenye  link hii : https://www.youtube.com/watch?v=P5M2WyDR-FE

Kisukari ni  tatizo  linalo wasumbua  watu  wengi  duniani. Ama  kwa  upande  wa  wanaume, tatizo  la  kisukari  kuja  na  madhara  mengi. Moja  kati  ya  madhara  yanayo  letwa  na  tatizo  la  kisukari  ni  pamoja  na  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

Kwa  wanaume  tatizo  la  kisukari  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  huenda  sambamba.  Mara  nyingi, ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  huweza  kuchukuliwa  kama dalili  ya kuwa  na  tatizo  la  kisukari.

Tatizo  hili  huweza  kuja  na  athari nyingine  za  kijamii  na kifamilia. Mfano  wa  athari  hizo  inaweza  kuwa  kukimbiwa  na  mke, mchumba, mpenzi  nakadhalika.
Kisa  hiki  cha  kusikitisha  ni  mfano  wa  visa  vingi  vinavyo  husiana  na  changamoto  wanazo kutana  nazo  wanaume  wenye  maradhi  ya  kisukari.


UHUSIANO  ULIOPO  KATI  YA  KISUKARI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Kuna uhusiano  mkubwa  sana  kati  ya  ugonjwa  wa  kisukari  na  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume .  Kufahamu  namna  ugonjwa  wa  kisukari  unavyo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, tembelea : 

http://www.neemaherbalist.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html

NINI  TIBA  YA  TATIZO  LA  NGUVU  ZA  KIUME  KWA  MWANAUME  MWENYE  KISUKARI.
Kufahamu  kuhusu  tiba  ya  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, kwa  mwanaume  mwenye  tatizo  la  kisukari, tembelea : 

http://www.neemaherbalist.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-ugonjwa-wa-kisukari-na.html

 
HABARI  HII  IMELETWA KWENU  NA  NEEMA  HERBALIST  BLOG, KWA  UDHAMINI  MKUBWA  WA   NEEMA  HERBALIST &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC, WAUZAJI  WA  DAWA MBALIMBALI  ZA  ASILI  KAMA  VILE : 


1.                             Dawa  asilia ya  kuunganisha  mifupa, pingili  na kukomaza mifupa.
2.                             Dawa  asilia ya kuondoa  maumivu ya  misuli, kurekebisha  mishipa  na  misuli
3.                             Dawa  asilia  kwa  wagonjwa wa  kiharusi (Kupooza)
4.                             Dawa  asilia ya  kutibu  majeraha
5.                             Dawa  asilia  ya  kutibu  vidonda ndugu
6.                             Dawa asilia  ya  kuondoa  uchovu na  kuwashwa
7.                             Dawa  asilia  ya  kuondoa mafuta  kwenye damu ( kolestrol /lehemu)
8.                             Dawa  asilia  ya  kutibu tatizo  la  nyongo
9.                             Dawa  asilia  ya  kutibu  gauti
10.                        Dawa  asilia  ya  uzazi  wa  mpango
11.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  Goita
12.                        Dawa asilia ya  kutibu  tatizo  la  change  la watoto wachanga.
13.                        Dawa  asilia  ya kutibu  vidonda  vya  tumbo
14.                        Dawa  asilia  ya  kutibu mzio     ( Allergy)
15.                        Dawa asilia  ya  kutibu  tatizo  la  degedege  kwa watoto  wenye  umri  wa  kati  ya  miezi  6  hadi  tisa.
16.                        Dawa asilia  ya  kurutubisha  mayai  ya  uzazi  na  kuzibua  mirija  ya  uzazi  kwa  wanawake.
17.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  utasa  kwa  wanaume.
18.                        Dawa  asilia  ya  kusaidia  kugeuza  mtoto  aliye  kaa  vibaya  tumboni ( Mfano: Katanguliza mikono, makalio n.k )
19.                        Dawa  asilia  ya kupunguza  kitambi, uzito  na  unene  uliozidi.
20.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  vinyama  vya  puani.
21.                        Dawa asilia  ya  kutibu  tatizo  la  bawaziri.
22.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  uchungu  wa  pili  baada  ya  kujifungua.
23.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  majeraha ya moto  pamoja na  makovu yatokanayo  na  moyo.
24.                        Dawa  asilia  ya  kutiu  tatizo  la  kwikwi
25.                        Dawa asilia  ya  kutibu  tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  kinywani
26.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  kutoa harufu  mbaya mwilini
27.                        Dawa  asilia  ya  kusaidia  kunenepesha  mtu  aliye  dhoofu  mwili
28.                        Dawa  asilia ya kutibu  tatizo  la  uvimbe  wa  tumboni  ( FIBROID )
29.                        Dawa  asilia  ya  kisukari
30.                        Dawa  asilia  kwa  watu  wenye  tatizo  la  moyo, presha  ya  kupanda, presha ya  kushuka, moyo  kupanuka  na  matundu  kwenye moyo.
31.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  U.T.I, kaswende, kisonono sugu  na  Taifodi.
32.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  magonjwa  mbalimbali ya  ngozi
33.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo la  kubanwa mkojo na  maumivu  kwenye  njia  ya  mkojo
34.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  kujikojolea
35.                        Dawa  asilia  ya  kusafisha  figo  na  kibofu  cha  mkojo
36.                        Dawa  asilia  ya  kuondoa  sumu  mwilini
37.                        Dawa asilia  ya  kuondoa  maumivu  ya  hedhi
38.                        Dawa  asilia  za  kuondoa  sumu  ya  nyoka, na  nge.
39.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  pumu
40.                        Dawa  asilia  ya  kuyeyusha uvimbe  kwenye  lango  la  uzazi.
41.                        Dawa asilia ya kutibu  malaria  sugu
42.                        Dawa  asilia  ya kutibu  tatizo  la  upara  
43.                        Dawa  asilia ya  kutibu  tatizo la  kikohozi sugu  na  kimeo.
44.                        Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  ngiri
45.                        Mawe  kwenye  figo
46.                        Kukosa  choo
47.                        Kukosa  hamu  ya  kula
48.                        Chango  la  kike
49.                        Kutanua  nyonga ( Kuzaa  bila  kupasuliwa )
50.                        Nguvu za  kiume
51.                        Hamu  ya tendo  la  ndoa  kwa  wanawake.
52.                        Mtoto kuchelewa  kutembea

DAWA   ZOTE  HIZI  NI  ZA  ASILIA KABISA  NA  HAZINA   KEMIKALI ZA  VIWANDANI.
Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR ES  SALAAM, jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING, nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO PLAZA.
Kwa  wateja  waliopo  Dar  Es  Salaam, ambao  hawana  nafasi  ya  kufika  ofisini  kwetu, watapelekewa  dawa  mahali  popote  walipo.
Kwa  wateja  waliopo  mikoani, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  mabasi.
Kwa wateja  waliopo  Zanzibar, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  boti.
Kwa wateja  waliopo Mombasa, watatumiwa  dawa  kupitia  basi  la  TAHMEED.
Kwa  wateja waliopo  jijini  Nairobi, watatumiwa  dawa  kupitia  basi  la  DAR  EXRESS.
Na kwa  wateja  waliopo  ughaibuni, watatumiwa  dawa  kwa  njia ya  POSTA  au  DHL.
WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA:
0766 – 53 83  84.
Kwa  taarifa  zaidi  kuhusu huduma zetu, tutembelee  kila  siku, kupitia :
  

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...