Skip to main content

UNAKUBALIANA NA USHAURI WA MREMBO HUYU KUHUSU WANAWAKE WANAO TEMBEA NA WAUME ZA WATU ?



Kwa wale wanaotembea na waume za watu



Goodafternoon...I hope you are all having a splendid weekend.
Straight to the point, this is special for my fellow women and girls.Kuna wadada wanatembea na wanaume za watu but wengine wanatamani kuacha but inakuwa ngumu sana simply because you are in love already and I won't blame you.Ila put yourself in the wife's shoe halaf ujipe majibu.. ( I wont talk much) but pia the worst part inayouma ni kutembea na mume wa mtu and yet you are aware anampenda saaanaa mkewe not to mention kamzalia very beautiful kids and anaipenda sana familia yake na ny**e zake zikizidi anatafta kigenerator chake ambacho ndo wewe anamalizia zingne anaweza kumwachia his lovely wife zingne za usiku ..lol..And still bado unangangania in the name of love or perhaps MONEY as usual but still I won't blame you.Na siku nyingne unasikia baridi usiku au una miny **ge   but mwenzio ndo kakumbatiwa... Hapohapo perhaps kwake hupajui na mkewe humjui anafananaje but ukasearch wewe mwenyew unavyojua kwenye social networks unakutana na jamaaa anavyompost mkewe ad harusi aliweka but wewe unampa utamu gizani ila hadharani wanamjua MKE au pengne anakuintroduce to his foolish friends who are just like him and you feel proud cuz you are a side chick but they see you as the side  b**h huku wanakuchekea chekeachekea kinafiki.

Sasa basi niko na wale tu ambao they don't want this anymore and are really fighting hard kuachana na hii hali but still go back cuz of their reasons or being in love.Darling you are vulnerable and remember age will not wait for you ooooo...mwingne eti ndoa kakuahid so you are waiting lol...if he is willing to leave his wife for you what do you think he will do to you? So just tune your mind to your success .Usiwe idle not for a second because utakua unamuwaza..keep yourself busy maaa focus on your work kama hauna tafta biashara futa namba zake..And learn how to spoil yourself, take yourself out nenda mall kafanye window shopping mind you kwenye malls hakuna hata bei yale ni majengo tu au you go find yourself siku za discount then treat yourself well.Au jifanye shopping sehem ambayo unaridhika mayo.Eat well, fanya mazoezi, jipeleke sehem nzuri have a different lifestyle jipende dada make yourself look good and beautiful and be proud of your feminism..On week days tafta Ankara( pesa) mama usikubali mwanaume akugalagaze kisa pesa kwanza ukitafta kwa Jasho lako you will feel proud kuzitumia na utazitumia kwa adabu.Remember love will come around when least expected na usiwe kikwazo kwa mwanamke mwenzio kwa kuingilia ndoa yake haikuhusu kama ni ya furaha au karaha.
Nawapenda.
  CREDIT  :   Jamii  Forums


                  MAKALA  NYINGINEZO

JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME


JINSI  KITAMBI  KINAVYO PATIKANA  NA  JINSI  UNAVYO WEZA  KUKIONDOA  KWA  TIBA  ASILIA


JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

IJUE  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA   KIUME

UHUSIANO  KATI  YA  UNENE  ULIO  ZIDI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZAP  KIUME


KISA  UGONJWA  WA  KISUKARI  MWANAMKE  AMKIMBIA  MUMEWE  WA  NDOA  NA  KWENDA  KUISHI  NA  JIRANI


KUTANA  NA  MWANAMKE    AIYE  JITOLEA  KUMTIBU   MUMEWE  MARADHI  YA  AJABU


PUNYETO  ILISABABISHA  NINUSURIKE  KWENDA  JELA

Comments