Mwanaume mmoja
nchini Nigeria Pearl
Clement , kupitia ukurasa
wake wa
facebook ametoa ushuhuda
kuhusu namna mke
wake alivyo fanikiwa kujifungua
salama licha ya
kwamba, miaka kadhaa iliyo
pita mke
wake huyo alifanyiwa operation
iliyo ondoa kizazi .
Katika ushuhuda
wake huo mwanaume
huyo amenukuliwa akimshukuru Mungu
kwa kumtendea muujiza mkubwa katika
maisha yake, kwani mke wake
alilazimika kufanyiwa operation ya
kuondoa kizazi ili kumnusuru
na uvimbe mkubwa
( fibroid ) ulio kuwa kwny kizazi
chake ambao madaktari walishauri, ili mwanamke huyo aweze
kusurvive, ni lazima aondelewe kizazi .
“ Baada ya
operation hii , sikuamini
kama mke wangu
angeweza kujifungua tena, lakini
Mungu Mkubwa. Mke wangu
ameweza kubeba ujauzito
na kujifungua “. Alisema mwanaume huyo
anae abudu katika kanisa
la Winners Chapel tawi la
Ikot Ebido Oku jimbo la Akwa
Ibom lililopo chini ya
Mchungaji Dennis Ekere .
Comments
Post a Comment