Habari
za kazi, mimi ni mwanaume mwenye
umri wa miaka
44.
Nimejihusisha na tabia
ya kujichua kwa
zaidi ya miaka
kumi.
Sasa
hivi uume wangu
umepinda kuelekea upande wa
kulia.
Hali hii
huwa hivi hivi
hata ninapo kuwa
nime erect.
Na
ninapokuwa nafanya tendo
la ndoa, misuli ya
uume huwa inauma
sana hasa hasa
baada ya kufika
kileleni.
Pia manii huwa
hazimwagiki kwa kasi
na mara nyingi
huwa hazitoki kabisa , zinabaki ndani kwenye
mirija.
Nimejaribu kutafuta ufumbuzi
wa tatizo hili
kwa muda mrefu, pasi
na msaada wwowote.
Tafadhali naomba
nisaidieni kupata
ufumbuzi wa tatizo
langu.
Tatizo
la uume kupinda
eidha upande wa
kulia ama upande
wa kushoto ni tatizo
linalo wakabili wanaume
wengi duniani.
Kufahamu kuhusu
chanzo cha tatizo
hili na jinsi
unavyo weza kujiepusha nalo
ama kutibu tatizo
hilo tafadhali tembelea link
hii hapa chini;
Comments
Post a Comment