Tafiti
mbalimbali zap kitaalamu
zimeuthibitisha mti wa
mpera kuwa na
faida nyingi kiafya. Moja
kati ya faida
lukuki za mmea
wa mpera ni
pamoja na majani
ya mpera kutumika
katika tiba dhidi
ya tatizo la
kunyonyoka kwa nywele.
Majani
ya mpera yana tajwa kuwa
na virutubisho muhimu
katika kuimarisha afya
ya nywele pamoja
na ukuaji wa
nywele.
JINSI
YA KUTUMIA MAJANI
YA MPERA KATIKA
KUKUZA NYWELE NA
KUTIBU TATIZO LA
KUNYONYOKA KWA NYWELE
Chukua majani
ya mti wa
mpera , chemsha kwenye maji kwa
muda wa dakika
ishirini, kisha ipua halafu
tumia majani hayo
uliyo yachemsha pamoja
na kimiminika chake
kujikanda kichwani na
kusugua sehemu yenye
upara au yenye
nywele zilizo nyonyoka.
Fanya hivyo mara
mbili kwa siku
asubuhi na jioni
hadi utakapo pata
matokeo yatakayo kuridhisha.
Ndugu msomaji
mwenye tatizo la
kunyonyoka nywele au
mwenye nywele zisizo na
afya, una ngoja nini
kujaribu tiba hii? JARIBU
LEO UONE MATOKE
YAKE.
Comments
Post a Comment