Skip to main content

ASHITAKIWA KWA KOSA LA KUJICHUA MBELE YA WATOTO WADOGO!




Abraham  Parnes ( 43 ), mwanaume  anaedaiwa  kukutwa  akiwa  anajichua  hadharani.



ASHITAKIWA  KWA  KOSA  LA  KUJICHUA MBELE  YA WATOTO  WADOGO!


Polisi  wa  jimbo  la  New  Jersey  nchini  Marekani  wanamshikilia  mwanaume  mmoja  kwa  kosa  la  kujichua  mbele  ya watoto  wadogo.
Mwanaume  huyo, Abraham  Parnes  mwenye  umri  wa  miaka  43  anadaiwa  kutenda  kosa siku  ya  tarehe  28  July  mwaka  huu  kwenye  ukumbi  wa  sinema  ujulikanao  kama Xscape  Movie  Theater.

Taarifa  zinasema  kuwa, wakati watu  wapo  busy  wanatazama  sinema, mama  mmoja  aliyekuwa  akitazama  sinema   na  watoto  wake  katika  ukumbi  huo  alimuona  mwanaume  huyo  akiwa  amekaa  peke  yake  kwenye  benchi  lililokuwa  nyuma  yao  huku  akijichua.

Imedaiwa  zaidi, mwanamke huyo  baada  ya  kuona  tukio  hilo  aliutaarifu  uongozi  ambao  ulimuomba   aondoke  katika  eneo  hilo.

Baada  ya  taarifa  kuwafikia  polisi, wali  toa  picha  za  mwanaume  huyo  ambae  baadae  aliripoti   mwenyewe  polisi.

Baada  ya  kufika  polisi, mwanaume  huyo  alifunguliwa  mashtaka ya  kufanya  vitendo  vya  aibu  hadharani  na  sasa  yupo  nje  kwa  dhamana.

KWA  HISANI  YA  MITANDAO  MBALIMBALI  YA  HABARI.

Tabia  ya kujichua  kwa  wanaume  ni  tabia yenye  madhara  makubwa  sana  kwa  wahusika. Moja  kati  ya  madhara  wayapatayo  wanaume  wanao  jihusisha  na  tabia  ya  kujichua  ni  pamoja  na  kulegea na  kusinyaa  kwa  mishipa  na  misuli  ya  uume, kutofurahia  tendo la  ndoa, kutokuwa  na uwezo wa  kufanya  tendo  la  ndoa  pamoja  kukosa  kabisa  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa.

Kufahamu jinsi  tabia  ya  kujichua   inavyo  sababisha  ukosefu  na  upungufu wa nguvu  za  kiume, tembelea  link  hii  hapa  chini :


Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...