Weusi kwenye
ngozi ya magoti
na kwenye viwiko
vya mikono ni
jambo linalo wakera
wanawake wengi.
Unaweza kun’garisha
ngozi ya kwenye
magoti na nyuma
ya mikono kwa
kutumia dawa asilia zifuatazo :
1.
MAFUTA YA
MZEITUNI NA SUKARI.
Chukua vijiko
vikubwa vine vya
mafuta ya mzeituni
kisha changanya na
kijiko kikubwa cha sukari
kimoja halafu tumia
kupaka kama scrub kwenye
magoti au nyuma ya mikono
kisha tumia kuchua
kwa muda wa
dakika tatu mpaka
tano halafu kaa kwa
muda wa dakika thelathini kisha
nawa kwa maji ya
uvugu vugu. Utafanya hivyo
mara mbili kwa siku asubuhi na
jioni kwa muda
wa siku thelathini.
2.
JUISI YA ALOVERA
Paka
fresh
juice ya rozera
kwenye ngozi ya goti
halafu iache kwa
muda wa nusu saa kisha tumia kusafisha kwa maji ya
moto au vuguvugu.Utafanya hivi
kwa mara mbili
kwa siku asubuhi
na jioni hadi
ngozi yako itakapo
anza ku’ngaa.
3.
BINZARI MANJANO, ASALI NA MAZIWA
Chukua
binzari
ya manjano kijiko
kimoja kikubwa, asali
vijiko vine vya chakula na
maziwa fresh vijiko
vinne vikubwa vya
chakula. Vichanganye vyote
kwa pamoja kisha
tumia kupaka kwenye magoti
halafu iache kwa
muda wa dakika thelathini kisha
naw kwa maji
ya uvugu vugu. Utafanya hivyo
mara mbili kwa siku
asubuhi na jioni hadi
utakapo pata matokeo utakayo
ridhika nayo
4. NDIMU
Kata
kipande
cha ndimu kisha
tumia kusugua kwenye
magoti. Goti moja
kwa kila kipande.
Sugua kwa muda
wa dakika tatu
hadi tano kisha kaa
nayo kwa muda
wa lisaa limoja . Utafanya
hivyo mara mbili
kwa siku asubuhi
na jioni hadi
utakapo pata matokeo utakayo
ridhika nayo.
MAKALA NYINGINEZO
JINSI KISUKARI KINAVYO
SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO
PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA
TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO
SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU
WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU
ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE
ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA
UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA
KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA
NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE
AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI
YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA
NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment