Skip to main content

KICHANGA KILICHO KATWA NYETI ZAKE NA MAMA KAMBO CHAFARIKI DUNIA !

Kushoto  ni  kitoto  kilicho  fanyiwa  ukatili  na  kulia  ni  mama  yake  wa  kambo ambae  anadaiwa  kukifanyia  unyama  huo.
Tarehe  18  Juni  2016, vyombo  mbalimbali  vya habari  nchini  Nigeria, viliripoti  kuhusu  tukio  la  kichanga  cha  miezi  miwili  Baby  Dauda, kukatwa  sehemu  zake  za  siri  na  mama  ake  wa  kambo, Bara’atu  Rabiu  mwenye  umri  wa  miaka .  Taarifa  za  hivi  punde  zinasema, kitoto  hicho  kimefariki  dunia  mapema  leo  baada  ya  kuugua  kwa  muda  mrefu.
Kikiwa  na  msamaria  mwema  enzi  za  uhai  wake
Taarifa  zaidi  zinasema, umauti  umekifika  kichanga  hicho  katika  kipindi  ambacho  ndugu  wa baba  yake  kwa  msaada  wa  wasamaria  wema walikuwa wanapanga  kukisafirisha  kwenda  nchini Uingereza  kwa  matibabu  zaidi.


Kitendo hiki  cha  ukatili  kimelaaniwa  vikali  na watu  pamoja  na  taasisi  mbalimbali  zinazo  pingana  na  vitendo  vya  ukatili  dhidi  ya  watoto.

Mungu  ailaze  roho  ya  kichanga  hiki  mahali pema  peponi. Amina !

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...