Skip to main content

MTI HUU WAPEWA TUZO YA MTI BORA WA MWAKA 2017 BARANi ULAYA..SABABU ITAKUSTAAJABISHA.



MTI  HUU  WAPEWA  TUZO  YA  MTI  BORA  WA MWAKA 2017  BARANI  ULAYA..SABABU   ITAKUSTAAJABISHA.

Two Jewish brothers used Oak Józef (pictured) as a shelter for hiding from the Nazis during World War Two
Ndugu  wawili  wa  kiyahudi  walijificha  kwenye  mti  huu  wakikimbia  mauaji  yaliyo  kuwa  yakifanywa  na  wanazi  dhidi  ya  wayahudi  wakati  wa  vita  kuu  ya  dunia.
The Polish tree with its extraordinary history was voted European Tree of the Year for 2017


Mti  huu  pichani, unapatikana  katika  kijiji  kiitwacho  Wisniowa  kilichopo  huko mashariki  mwa  nchi  ya  Poland  barani  Ulaya.
 The Mycielski family was so charmed by the beauty of the area that they bought a mansion there that became a cultural and intellectual centre of the region

The Mycielski family was so charmed by the beauty of the area that they bought a mansion there that became a cultural and intellectual centre of the region
Mti  huu  ambao  kwa  muda  mrefu  sasa  umekuwa  ukitumika  kama  kivutio  cha  utalii  nchini  Poland, umechaguliwa  kuwa  mti  bora  wa  mwaka  2017  barani  Ulaya.
 Today, oak Józef is admired by many visitors and is captured in photos and paintings
Oak Józef, in the village of Wiśniowa, south-eastern Poland, was also printed on Polish 100 złoty bills
Katika  kutambua  uhumimu  wa  mti  huu, serikali  ya  nchi  ya  Poland, imeweka picha  ya  mti  huu  kwenye  moja  kati  ya  noti  zake.

Sababu  kuu  iliyo  fanya  mti  huu  kupewa  tuzo  hiyo  ni  kile  kinacho  tajwa  kuwa  mti  huu  ulitumika  kuwahifadhi  ama  kuwaficha   ndugu  wawili  wa  kiyahudi  waliokuwa  wakiwambia  askari  wa  kinazi  walio kuwa  wakifanya  mauaji  dhidi  ya  wayahudi  wakati  wa  vita  kuu  ya  pili  ya  dunia.

This lime tree grows by a road connecting the 13th-century Lipka manor and a former cemetery, now tomb of the manor’s first owners, the Kustoš family. It is said that a couple that make love under the tree will share an everlasting love

Ndugu  hao  wawili  wa  kiyahudi  wanajulikana  kwa  jina  la  Hymi  ambalo  linatajwa  kuwa  jina  lao  la  ukoo.

The Brimmon Oak (pictured) received 16,203 votes, the Oak Jósef had 17,597 and the third place Lime Tree at Lipka, in the Czech Republic, had 14,813
Huu  ni moja  kati  ya  miti  iliyo shindanishwa  kwenye  tuzo  hizo  na  ulichukua  nafasi  ya  pili.
The Brimmon Oak in Newtown - around which a new bypass will be built after a petition attracted 5,000 signatures - finished runner up to an even older oak from Poland
Mti  ulioshika  nafasi  ya  pili
Watalii  kutoka  sehemu  mbalimbali  duniani  wamekuwa  wakimiminika kila  mwaka  kwenye  kijiji cha  Wisniowa  mashariki  mwa  Poland  kwa  ajili  ya  kuushuhudia  mti  huu ulio  pewa  jina  la  Oak  Jozef.


  CREDIT  : MTANDAO  WA  DAILY  MAIL  WA  NCHINI  UINGEREZA.


                                       MAKALA  NYINGINEZO

JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME


JINSI  KITAMBI  KINAVYO PATIKANA  NA  JINSI  UNAVYO WEZA  KUKIONDOA  KWA  TIBA  ASILIA


JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

IJUE  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA   KIUME

UHUSIANO  KATI  YA  UNENE  ULIO  ZIDI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZAP  KIUME


KISA  UGONJWA  WA  KISUKARI  MWANAMKE  AMKIMBIA  MUMEWE  WA  NDOA  NA  KWENDA  KUISHI  NA  JIRANI


KUTANA  NA  MWANAMKE    AIYE  JITOLEA  KUMTIBU   MUMEWE  MARADHI  YA  AJABU


PUNYETO  ILISABABISHA  NINUSURIKE  KWENDA  JELA

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...