Skip to main content

JINSI TANGAWIZI, MANJANO NA TUI LA NAZI VINAVYO SAIDIA KUREKEBISHA KIWANGO CHA SUKARI MWILINI PAMOJA NA KUONDOA SUMU MWILINI





Tui  la  nazi, mafuta  ya  nazi,  tangawizi , pilipili  na  binzari  ya  unga au  manjano  vinapo changanywa  kwa  pamoja  huwa  na  faida  kubwa  sana  kwenye  afya  ya  mwanadamu.
Mchanganyiko  huu  pamoja  na faida  nyingine, husaidia  kurekebisha  kiwango  cha  sukari kwenye  damu, kuondoa  sumu kwenye  ini na   mwilini  kwa ujumla  pamoja  na  kuondoa  lehemu  isiyo faa.
MAHITAJI :
1.    Kijiko kidogo  cha  unga  wa  manjano
2.    Tangawizi  kipande  kimoja
3.    Vikombe  vikubwa  viwili  vya  tui  la  nazi
4.    Kijiko  kimoja  kikubwa  cha  mafuta  ya  nazi
5.    Kipande  kimoja  cha  pilipili  au  kama  utatumia  pilipili  manga, weka  punje  saba  za  pilipili  manga.
6.    Kijiko  kikubwa  cha  asali
7.    Mdalasini  nusu  kijiko  kidogo
MATAYARISHO
Weka  mchanganyiko  wako  kwenye  sufuria  kisha  chemsha  huku  ukiwa  unakoroga  kwa  muda  wa  dakika  kumi hadi  kumi  na  tano.

MATUMIZI
Tumia  kunywa  kikombe  cha  robo  lita  kimoja  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni, una  shauriwa  ufanye  hivyo  mara  mbili  kwa  wiki kwa  muda  wa  wiki nne.
Yaani  wiki ya  kwanza  tumia  mchanganyiko  huu  mara  mbili asubuhi  na  jioni, wiki ya  pili ufanye  hivyo  hivyo  hadi zifike  wiki  nne. Utapata  matokeo  mazuri  sana.
 
MAKALA  NYINGINE


JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME


JINSI  KITAMBI  KINAVYO PATIKANA  NA  JINSI  UNAVYO WEZA  KUKIONDOA  KWA  TIBA  ASILIA


JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

IJUE  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA   KIUME

UHUSIANO  KATI  YA  UNENE  ULIO  ZIDI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZAP  KIUME


KISA  UGONJWA  WA  KISUKARI  MWANAMKE  AMKIMBIA  MUMEWE  WA  NDOA  NA  KWENDA  KUISHI  NA  JIRANI


KUTANA  NA  MWANAMKE    AIYE  JITOLEA  KUMTIBU   MUMEWE  MARADHI  YA  AJABU


PUNYETO  ILISABABISHA  NINUSURIKE  KWENDA  JELA

Comments