Skip to main content

MUONEKANO WA MWANAMUZIKI MAARUFU BILA MAKE UP!


Ni mama  wa  watoto  wawili  mwenye  umri  wa  miaka  36  aliye  sumbua  sana  mwanzoni  mwa  miaka  ya  2000.  

 
Picha  za  muonekano  wake  bila  make  up  zimewafanya  watu  washindwe  kumtambua  haraka.  Baadhi  ya  wachangiaji   wa  maoni  kwenye  picha  hiyo  wamekuwa  na  maoni  kwamba, mwanamuziki  huyu   anao onekana  mkubwa  kwa  miaka  kumi zaidi   kuliko  umri  wake. 


Yaani  kwa  lugha  nyingine anaonekana  akiwa  na  umri  wa  miaka  46  wakati  yeye  ana  umri  wa  miaka  36.

Anaitwa  Britney  Spears  na  hii  hapa  chini  ndio  picha  yake  akiwa  amefanya  make  up

Related image

MWANAMKE  ANAWEZA  KUTUMIA  NJIA  GANI   ILI KUONDOA  MUONEKANO  WA  UZEE?


Zipo  njia  nyingi  ambazo  mwanamke  anaweza  kuzitumia  kwa  ajili  ya  kunawirisha  sura  na  muonekano  wake  wa  ngozi  na  kufanya  aonekane  mbichi.  Moja  kati  ya  njia  hizo  ni  pamoja  na  ile  ya  kutumia  maziwa , asali , maji  ya  mchele    ambavyo  vinaandaliwa  kisha  mtumiaji  anakuwa  anatumia  kujichua  usoni  mara  mbili  kwa  wiki.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...