Skip to main content

KUTANA NA MWANAMKE ALIYE JITOLEA KUMTIBU MUME WAKE TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.


KUTANA  NA  MWANAMKE  ALIYE  JITOLEA  KUMTIBU  MUME  WAKE  TATIZO  LA  NGUVU  ZA  KIUME.


Picha ya Neema Herbalista
Mwanadada  Tina  akionyesha  korodani  za  jogoo. Hizi  hutumiwa   pamoja  na  dawa  asilia  ya  Jiko  katika  tiba  ya  nguvu  za  kiume,. Jinsi  zinavyo  tumika, unazipaka  kwenye  dawa  ya  Jiko, halafu  unameza  na  maji  ya  moto. Unaweza  kuzimeza  zikiwa  mbichi  au  unaweza  kuzichemsha  kwanza  ndio  ukazimeza. Na  unaweza  kumeza  mara  moja  tu ndani  ya  mwezi  mzima  wa  dozi ya jiko  au  unaweza  kuzimeza  kwa  kadri  ya  uwezo wako  lakini  moja  inatosha  sana.  Unaweza  kuzimeza  wakati  unaanza  kutumia  dozi, kati  ya  dozi, mwishoni  mwa  dozi  au  hata  baada  ya  kumaliza  dozi.

 Picha ya Neema Herbalista



Wakati  baadhi  ya  wanawake  huamua  kuwakimbia  waume  au wapenzi  wao  au  kutoka  nje  ya  ndoa  au  mahusiano  yao, hali ni  tofauti  kwa  mwanadada  Tina ( Sio jina  lake  halisi  )   ( 33  )  mkazi  wa  Tabata  jijini  Dar  Es  Salaam.
Picha ya Neema Herbalista
Mwanadada  Tina  akimuandaa  jogoo  kwa  ajili  ya  kumpasua  na  kunyofoa  korodani  zake, ambazo  mwanaume  mwenye  shida  ya  nguvu  za  kiume, huzimeza   pamoja  na  dawa  ya  Jiko 


Mara  baada  ya  kugundua  kuwa  mume  wake  ana  tatizo  la  ukosefu na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume,  mwanadada  huyu, mbali  na  kuendelea  kuwa  mwaminifu  katika  ndoa  yake, lakini  pia  ameamua  kuchukua  uamuzi  wa  kusimamia  zoezi  zima  la  kuhakikisha  mumewe   anapata  tiba  sahihi  na  hatimaye  kupona  kabisa  tatizo  la  nguvu  za  kiume.
Picha ya Neema Herbalista 

Picha ya Neema Herbalista
Maandalizi  yanaendelea.

Mwanadada  Tina  anafanya  zoezi  hili  kwa  kumuandalia  na  kumtayarishia  mumewe  dawa  asili ya  kutibu  nguvu  za  kiume  iitwayo  JIKO  pamoja  na  lishe  maalumu  inayo endana  na  tiba  hii  ya asili.
Picha ya Neema Herbalista
Hizi  ni  Raisins  ama  zabibu  kavu. Hizi  husaidia  kuimarisha  afya  ya  ubongo. Ni nzuri  sana  hizi  Raisins  kwa  afya  ya  ubongo. Husaidia  kuimarisha  stamina  ya  ubongo, kuimarisha  kumbukumbu  na pia  hutumika  katika  tiba dhidi  ya  tatizo  la  kupoteza  kumbukumbu  ambaloi  kitaalamu  hujulikana  kama  Alzheimer.  Kwa  mwanaume  mwenye  shida  ya  nguvu  za  kiume, unashauriwa  kutumia  dawa  ya  Jiko  pamoja  na  hizi  Raisins, walau  robo  kilo  kwa  kila  wiki  kwa  wiki  nne, ingawa  kama  uwezo  wako unakuruhusu  kutumia  robo  kilo  au  hata  nusu kilo kila  siku  kwa  muda  wa  hizo  wiki nne  unaruhusiwa  pia.

Picha ya Neema Herbalista
Tangawizi , Pilipili manga  nyeusi, Nyanya Chungu  pamoja  na  rozera. Tangawizi  na  Pilipili  manga  zinatumika  kutengeneza  chai , Nyanya  chungu  hutumika  kutengeneza  supu  ya  nyanya  chungu  na  rozera  hutumika  kutengeneza  juisi  ya  rozera . Vyote  hivi  ni  maalumu  kwa  mwanaume  anaesumbuliwa  na  tatizo  la  nguvu  za  kiume.


 
Akitayarisha  blenda  kwa  ajili  ya  kutengeneza  juisi  ya  kitunguu  swaumu  na  kitunguu  maji.

Tina  anasema  aligundua  tofauti  kwa  mumewe  mara  baada  ya  mumewe  kurejea  nchini  akitokea  masomoni  nchini  Malaysia  ambako  alikaa  kwa  muda  wa  mwaka  mmoja  na  miezi  minane.
]
“ Kila  nilipo  kuwa  nikikutana  faragha  na  mume  wangu, niligundua  tofauti  kubwa  sana, kwani  uwezo  wa  mume  wangu  katika  tendo  la  ndoa  ulikuwa  umepungua  kwa  kiasi  kikubwa  sana  na  wakati  mwingine  hakuwa  kabisa  na  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa “.

Baada  ya  kugundua  tofauti  hii,  niliamua  kumueleza   mume  wangu  wazi  wazi  na  kumtaka  tutafute  tiba  kwa  ajili  ya  tatizo  lake .

Niliamua  kufanya  hivi  kwa  sababu  ninampenda  sana  mume  wangu  na  sikutaka  kutoka  nje  ya  ndoa  yangu  kwa  sababu  eti  mume  wangu  ana  udhaifu  katika  tendo  la  ndoa.

Akielezea  kuhusu  chanzo  cha  yeye  kuwa  na  udhaifu  mkubwa  katika  tendo  la  ndoa , mume  wa  Tina  alisema :

   Kwa  muda  wote   wa  mwaka  mmoja  na  nusu  nilio kuwa  nasoma  nje ya  nchi  nilikuwa  nafanya  masturbation  ili  kukudhi  haja  zangu.  Alisema .
Mume  wa  Tina  aliongeza   kuwa     Niliporudi  nyumbani  Tanzania, mchezo  huu  ulikuwa  tayari  umeniathiri  kisaikolojia na  kimaumbile  pia. 

                           JINSI   KUJICHUA   KULIVYO   MUATHIRI  MUME  WA  TINA 

Mume  wa  Tina  anasema  , mchezo  wa  kujichua  ulimuathiri  kwa  kiwango  kikubwa  sana.  Akielezea  baadhi  ya  madhara  ambayo  ameyapata  kutokana  na  kujichua, mume  wa  Tina  anasema :

1.    Kwanza  maumbile  yangu  ya  kiume  yamelegea  na  kusinyaa  sana.

2.    Ngozi ya  kwenye  uume  wangu  imekufa  ganzi. Huwa  sihisi  chochote  kabisa. Hata  ninapomuingilia  mke  wangu  huwa   nakuwa  kama  sijamuingilia. Yani  sihisi  chochote  kabisa.

3.    Kama  hiyo  haitoshi, hata ninapokuwa  nafanya  masturbation, nikifika  kileleni  huwa  nakuwa  sisikii  chochote  yani  nakuwa  kama  nimekojoa  tu mkojo  wa  kawaida… Ili  kusikia  hali ya  kawaida, inanibidi  nikae  labda kwa  siku  tatu au  nne halafu nifanye  tena  masturbation, hapo ndio ninaweza  kusikia  kawaida.

4.    Ikitokea  nimefanikiwa  kufanya  tendo  la  ndoa, hufanya  katika  hali  ya  ulegelege  na  huwa  ninamaliza  ndani  ya  sekunde  chache  sana, nikijitaidi  sana   naweza  chukua  dakika  moja  tu.

5.    Ninapo  maliza  kufanya  tendo  la  ndoa, misuli  ya  uume  huwa  inauma  sana  na  huwa  sina  uwezo  wa  kurudia  tena  tendo  mpaka  kesho  au  baada  ya  siku mbili.

6.    Uume  wangu  hauwezi  kusimama  wenyewe  mpaka  niupapase  mimi  mwenyewe  tena  kwa  muda  mrefu  sana.

7.    Na  mara  nyingi  huwa  ninakosa  kabisa  hamu  ya  tendo  la  ndoa  hata  ninapokuwa  na  mke  wangu kitandani.

Mwanaume  huyu  anaeleza  kuwa   suala  la  kujichua  kwa  muda  mrefu limemuathiri  kisaikokojia  kiasi  kwamba, wakati mwingine  inambidi  kutumia  dawa  kali  za  kizungu  za  kuongeza  nguvu  ili  aweze  kufanya  masturbation.

“ Wakati  mwingine, nakuwa   nahitaji  kufanya  masturbation, lakini  nakuwa  sina  nguvu  ya  kufanya  hivyo, hivyo  inanibidi  niende  kununua  na  kutumia  madawa  makali  ya  kizungu  kwa  ajili  ya  kupata  uwezo  wa  kufanya  masturbation. “  Anasema .

Tina anasema  mara  baada  ya  kugundua  hali  hii, alimshawishi mume  wake  waanze  kutafuta  suluhisho  sahihi  la  tatizo  linalo  mkabili, na  mwisho  wa  siku  wakafanikiwa  kupata  taarifa  kuhusu  tiba  asilia  iitwayo  Jiko , na  kufanikiwa  kupata  tiba  hiyo  pamoja  na  maelekezo  yake  ya  namna  ya  kuitumia  pamoja  na  lishe  yake.

Jumapili ya  jana  tarehe  13  AGOSTI  2013 , Neema Herbalist BLOG , ilienda  kuitembelea  familia  ya  Tina  ili  kuwajulia  maendeleo  yao  na  kuona   jinsi  wanavyo  endelea na  tiba  na  maendeleo  ya  tiba  yapo  vipi.

Tulifurahi  kuona  kuwa, mwanadada  Tina  amesimamia  zoezi  zima  ka  kuhakikisha  mume  wake  anatumia  tiba  ya  Jiko  kwa  usahihi  kabisa   na  hatimaye  tatizo  lake liweze  kupona  kabisa .

Tina  anasimamia  zoezi  hili  kwa  kumuandalia  na  kumtayarishia  mumewe  dawa  ya  Jiko pamoja  na  kumuandalia  na  kumtayarishia  lishe  na  vyakula  mbalimbali  ambavyo  ni  muhimu kwa  mwanaume  anae  tumia  tiba  ya  kumaliza  tatizo  la  ukosefu na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

Kuhusu  maendeleo ya  mumewe, Tina  anasema  anashukuru  Mungu  sasa  hivi  mumewe  ameonyesha  maendeleo  makubwa sana  na  ana  amini  baada  ya  mwezi  mmoja  wa  kutumia  tiba  hii, mume  wake  atakuwa  amepona  kabisa  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

KUHUSU  SWALA  LA  MUMEWE  KUWA ADDICTED   NA  KUJICHUA

Kuhusu  suala  la  mumewe  kuwa  addicted  na  tabia  ya  kujichua  Tina  anasema,  anatumia  dawa  maalumu   aliyo  ipata  katika  duka  la  NEEMA  HERBALIST .

Dawa  hii  ya  asili  ( KAMA  INAVYO  ONEKA  HAPO  CHINI, YENYE RANGI  YA  BLUE ), haimfanyi  mtu  kuacha  kujichua  moja  kwa  moja, ila  inasaidia   kumuondolea  mtu  uwezo wa  kufanya  masturbation.
Picha ya Neema Herbalista
Dawa  hii  huchanganywa  na  mafuta  maalumu  ya  asili  halafu  mhusika, anajipaka  kwenye  mikono, akijipaka  kwenye  mikono… Akijipaka  kwenye  mikono  hawezi  kujishika  kwenye  sehemu  yoyote  ile  laini  ikiwemo sehemu  za  kiume, kwani  akifanya  hivyo, itamuwasha  na  kuchoma sana  sehemu laini  ya  mwili aliyo  igusa. Hivyo automatically  mhusika  hawezi  kabisa  kujaribu  kufanya  masturbation, kwani  akijaribu  kufanya  hiovyo  itamuwasha  sana.
DAWA  HII  PIA, NI  KIBOKO  YA  KUTIBU  NA  KUPONYESHA  KABISA  MAJERAHA   YASIYO PONA  ( VIDONDA  NDUGU )

Tina anasema; kila  inapo fika  asubuhi  huwa  nahakikisha  mume  wangu  anajipaka  dawa  hii  kwenye mikono  yake, ili niwe  na  uhakika  kwamba  hatoweza  kufanya  masturbation  nitakapo  kuwa  mbali  nae.

Tunatoa  pongezi  kubwa  sana  kwa  mwanadada  Tina,  kwani  ni  wanawake  wachache  sana  wanao  weza  kuwa  na  moyo  kama  wa  Tina.    

Kama  wanawake  wote walio  katika  ndoa, wangekuwa  na  moyo  kama  wa   Tina, basi  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, lingeweza  kudhibitiwa  na  hatimaye  kutokomezwa  kabisa, kwa  sababu  uzoefu  wetu  unaonyesha  kuwa,  asilimia  kubwa  ya  wanaume  walio  katika  ndoa , huwa  hawataki  kuwashirikisha  wake  zao, pindi  wanapo  jigundua  kuwa  wana  tatizo  la  ukosefu  na  ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume na  hivyo  kuendelea kulifanya  tatizo  kuwa  kubwa  zaidi, kwani wanaume  hawa  huwa  wanashindwa  kutumia  kwa uwazi  tiba  ya  kutibu  tatizo  lao kwa  kuhofia  wake  zao  kujua.

KUHUSU  NAMNA  TABIA  YA  KUJICHUA  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME, BONYEZA  LINK  HII  HAPA  :

NA   JINSI  YA  KUPATA  DAWA  YA  JIKO. FIKA  KATIKA  DUKA  LA  NEEMA  HERBALIST  LILILOPO  UBUNGO  JIJINI  DAR  ES  SALAAM,  JIRANI  NA  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO   NATIONAL  HOUSING, NYUMA  YA JENGO   LA  UBUNGO  PLAZA.
WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA  0766  53  83  84.
Na  kwa  taarifa  zaidi  kuhusu   huduma  zetu, tembelea  :  www.neemaherbalist.blogspot.com




Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...