Skip to main content

GIRLFRIEND WANGU ANATOA HARUFU MBAYA SANA MDOMONI





Nina  rafiki  yangu  wa  kike  ambae  ninampenda  sana, ila  ana tatizo  moja  ambalo  kusema  ukweli  linanipa  karaha  sana  na  kunifanya  nikose  furaha  kila  unapofika  wasaa  wa kukutana  nae. 

Ni  hivi, girlfriend  wangu  anatoa  harufu  mbaya  sana  mdomoni, jambo  linalo  niwia  vigumu  kufanya  nae  romance  au  hata  kuzungumza  nae  kwani  harufu  anayo toa  mdomoni  ni mbaya  sana.

Honestly, napenda  sana  romance  na  mpenzi  wangu  anapenda  sana  romance  ila  nimemwambia  huwa  sipendi  kufanya  romance  kwa  sababu  ya  kuhofia  kero  ya  harufu  mbaya.

Kibaya  zaidi, mpenzi  wangu  huyu  hajitambui  kama  anatoa  harufu  mbaya mdomoni  na  yupo very  comfortable  hata  anapokuwa  anazungumza  na  mimi.

Smetimes  nafikiria  kusitisha  nae  uhusiano  ili  niondokane  na  hii kero lakini  bado  nampenda.

Nafikiria  ni namna  gani  nitaanza  kumueleza  kwamba  ana  harufu  mbaya  ya  kinywa  lakini  naogopa  kufanya  hivyo  coz  nahisi  atajisikia  vibaya  sana.
Nifanye  nini  ili kumsaidia  mpenzi  wangu  huyu ?  USHAURI   TAFADHALI   ?

Kwa   mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mambo  yanayo  sababisha  tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  ya  kinywa  ni  pamoja  na  bacteria  wanao  sababishwa  na  magonjwa  ya  kinywa  kama  vile  matatizo  ya  meno  na  fizi , kutosafisha  kinywa  na  ulaji  wa muda  mrefu  wa  baadhi  vyakula.
UNAWEZA  KUJITIBU  NA  KUPONA  KABISA  TATIZO  LA  KUTOKWA  NA  HARUFU  MBAYA  YA  KINYWA  KWA KUTUMIA  DAWA  ZA  ASILI.  WASILIANA  NA DUKA  LA  NEEMA  HERBALIST  KWA  SIMU  NAMBA 
0766  53  83  84.
Tunapatikana  UBUNGO  jijini  Dar  Es  Salaam, jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.


Kufahamu  zaidi  kuhusu  tatizo  hili, tembelea   link  hii  hapa  chini :

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...